Tunapambana sana kutafuta pesa sema sasa MAZINGIRA na wanaotuzunguka ni kikwazo👇👇😠😠😡

Tunapambana sana kutafuta pesa sema sasa MAZINGIRA na wanaotuzunguka ni kikwazo👇👇😠😠😡

1Africa54

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2025
Posts
464
Reaction score
549
Kuna TAPELI huwa anakuja kwa sura ya kutoa msaada au huduma mwisho wa siku ni maumivu na kurudi nyuma

Kuna WAZAZI mara nyingi wazazi wa ki Africa wanataka watoto waishi kwenye mawazo Yao na kusahau kua alie zaliwa ana mawazo yake na falsafa yake

MARAFIKI the way ulivyo mzoesha rafiki ndivyo atavyo kua shida ni kwamba hatubadili marafiki tuna marafiki ambao tunaishi nao kishkaji tangu na tangu hata kama hawana positive impact yeyote kwetu HAMA MTAA, MJI AU MKOA ULIOPO ILI UBADILI MAZINGIRA NA ZONE ULIO IZOEA ILI UWEZE KUBADILI, KUANZA NA KUCHAGUA. ikiwa unaona hakuna MAENDELEO yeyote apo ulipo

SERIKALI bwana weee serikali sometimes inaweza kufanya usifikie malengo Yako ikiwa haitekelezi sera au sera mbovu au utekelezaji wa kusua sua VIJANA TUPAMBANE TUISHIKE NCHI SIASA SIO USHABIKI TU NI UKOMBOZI

JINSI TUNAVYOWAZA wengi wetu tunaamini Kuna namna wenye Hela wanaiba au pesa ni special kwa watu flani amini kwamba kua na pesa nyingi sio dhambi dhambi matumizi mabaya TUKIACHANA NA BAHATI TUNAVYO WAZA NDIVYO INAPELEKEA TUWE TULIVYO
 
Back
Top Bottom