Of course haturidhiki lakini nimebaki kinywa wazi, say ningekuta laki 5 at least huo mshangao nisingekuwa nao. Ni sawa na siku nilikuta supu ya nyama ya 500 pale Sikonge. Sikula Mimi!!!Na vipi ungekuta inapangishwa kwa laki 5.
Naamini ungeshangaa maeneo kama ya ukonga kuwa na gharama kubwa ya kodi.
Binadamu huwa haturidhiki.
Hahahaaa hatari poa Jamaa yanguSikonge mbona ni kawaida kabisa mkuu, kuna mzee wangu ni teacher yuko pale nikiendaga ni Mwendo wa supu na nyama choma tu.
Warning: kama huna wenyeji hata nyama ya punda unauziwa.
Umezoea kupigwaOf course haturidhiki lakini nimebaki kinywa wazi, say ningekuta laki 5 at least huo mshangao nisingekuwa nao. Ni sawa na siku nilikuta supu ya nyama ya 500 pale Sikonge. Sikula Mimi!!!
Sana tu, sawa na pombe unakuta kichupa kinaitwa burudani kinauzwa mia nane, ninywe kweli?Umezoea kupigwa
Bei za nyumba zimepanda kiasi hicho huko Dodoma.???Ihamishie Dodoma, upige 450,000/=
Baada ya Serikali kuhamishiwa hapo, Kodi ni zaidi ya Dar.Bei za nyumba zimepanda kiasi hicho huko Dodoma.???