House4Rent Tunapangiasha na kuuza Nyumba na majengo Tanzania

Asee dili nililokua nalitegemea limeota mbawa.
 
Nyumba inapatikana kitunda Relini 5km kutoka Airport
Kutoka lami ni dakika 3 (kwa mwendo wa mguu)
Ina chumba kimoja ambacho ni self-contained.
Ina seating room
Open kitchen
Full ac
Wapangaji wawili tu.
( kutoka posta/kivukoni, gerezani (k.koo), mnazi mmoja, machinga complex kwa usafiri wa daladala ni gari moja unapanda.

KODI NI tsh 200,000/ (kwa mwezi)
Malipo ni kuanzia miezi mitatu.

Mawasiliano: 0785 857564


 
Masha Allah
Ni nzuri kiasi chake
 
Habari za majukumu wanajukwaa
Nyumba ina vyumba vinne
Ina seating room pamoja na dinning room
Ina public toilet.
Full tiles, gypsum
Ina feni vyumba vyote.
Maji + umeme √
Car parking √
Location: nyumba ipo kitunda (Kibeberu)
Kodi imepungua kutoka 200k hadi 180k
Malipo ni kuanzia miezi 3+
Umbali kutoka stand ya daladala ni dakika 2-3

Kwa mhitaji tuwasiliane: 0785 857564




View attachment 1681638
 
Toa location
 
Ngoja nijitafakari ntakutafuta,ila kwanza ni lazima nipate historia yake kwa majirani kabla sijafanya maamuzi magumu ya kuichukua...
 
Hii nyumba bado ipo boss?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…