RESOLVED Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa JamiiForums, baada ya msaada changamoto yetu imetatuliwa

Imefanyiwa kazi au kupatiwa ufumbuzi na Mamlaka husika

lawi Nehemiah

New Member
Joined
Sep 9, 2020
Posts
3
Reaction score
0
Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa JamiiForums kwa kutupa nafasi ya kuwasilisha changamoto iliyokuwa inawakabili wanafunzi wa Diploma March Intake 2025/2026 – CBE Mwanza, kuhusu matokeo yetu kutopandishwa kwenye mfumo wa NACTVET.

Suala hili lilikuwa muhimu sana kwetu, kwani kutokuwepo kwa matokeo kwenye mfumo kulikuwa kunatuzuia kuendelea na michakato mingine muhimu iliyohitaji taarifa hizo.

Baada ya changamoto hii kufikishwa kwa umma kupitia JamiiForums, tunafurahi kuwajulisha kuwa changamoto hiyo sasa imetatuliwa na matokeo yetu yamepandishwa kwenye mfumo wa NACTVET.

Tunatoa shukrani za pekee kwa Uongozi wa College of Business Education (CBE), Mwanza Campus, kwa kuchukua hatua na kuhakikisha suala hili linapatiwa ufumbuzi.

Vilevile, tunawashukuru JamiiForums kwa kusimama nasi, kutupa jukwaa la kueleza changamoto yetu na kusaidia ujumbe wetu kuwafikia wahusika.

Tunathamini ushirikiano wa pande zote mbili katika kuhakikisha changamoto hii inapata ufumbuzi.

Asanteni sana CBE Mwanza na JamiiForums. 🙏👏

Kwa niaba ya wanafunzi wa Diploma March Intake 2025/2026 – CBE Mwanza.

Pia soma:
 
Pia soma

Hongera Maxence Melo

Hongera Maxence Melo for this achievement of your platform ..... Mastery for service
 
Back
Top Bottom