Mungu alitupa vitu kisha akatupa akili ya kuvitumia vile vitu. Nchi hii tuna mito mikubwa sana tuna Mto Ruvuma Mto Kagera, mto Mara mto Maragarasi nk. Sanjari na hayo tuna Ziwa Eyasi, ziwa Rukwa ziwa Burigi, ziwa Nyasa ziwa Tanganyika na kubwa lao ziwa Victoria. Hizi ni baraka tayari ambazo Mungu katupa, nchi nyingine hawana kabisa, wanategemea mvua
Leo hii unafanya maombi ya mvua eti ili tupate maji. Mungu anacheka. Akili tunazo tumeshindwa kuzitumia. Nchi inapoteza fedha nyingi bila sababu za mashiko mpaka kuna wabunge hewa bungeni wanalipwa tu. Tanzania haikustahili kuwa na tatizo la maji kamwe. Nchi nyingine duniani kumbe mpaka zinavuna maji baharini. Sisi tumejaaliwa maziwa na mito tumeshindwa tukiachilia mbali Bahari ya Hindi?
Hii nchi Kwanza niseme tu CCM imefeli kuwajali wananchi bungeni wabunge 400 hamna lolote la msingi. Nchi hii imejaa maji ardhini sehemu nyingibsana watu wanachimba visima na maji yanapatikana arshini ya kutosha. Kwahiyo nchi ime give up tumebaki tunategemea maombi ya mvua? Vipi kama isiponyesha kabisa?
Wazungu wakisema Africa inapaswa kutawaliwa tena mnawajia juu, hivi sisi ni wa kufanya maombi ya mvua ili tupate maji? Nimeudhika sana na nina hasira kupita kiasi
Tunafanya mambo ya Kinjekitile Ngwale hapa