Tunapofunga kwa ajili ya maombi ya mvua ilete maji tunamshangaza sana Mungu

Viongozi wa dini mumshauri Mheshimiwa Rais bila unafiki wala uoga. Kama kuna dhambi amezirithi kutoka kwa mtangulizi wake aachane nazo. Zinaweza kuonekana ni ndogo na za kawaida, ila Mungu anayaona machozi ya Wanaolia kutokana na dhulma za Watawala. Bahati nzuri Mungu wetu ni wa Haki, Sio Mwepesi wa Hasira ila mwingi wa Rehema. Tukitubu kama Taifa, tukiziacha njia zetu mbaya, tukiacha kushupaza shingo, na tukiacha dhulma dhidi ya wenzetu, Mungu ataliponya Taifa letu. Tusishangae watu kushindwa kutumia Akili alizotupa Mungu, washapigwa upofu kutokana na kudhulumu Haki za wengine!


#MboweSioGaidi
 
Wanatuchanganya tu hawa

Kwanza nimechukia kishenzi kuona hao viongozi wa dini wanaitisha maombi ili mvua inyeshe. Wameshaona dalili zote za kunyosha karibuni, sasa wanaanza usanii wao. Hawana lolote la maana wanafanya kwenye jamii, wamebaki kuitisha maombi kuhadaa waumini kuwa wanaweza kuongea na Mungu.
 
😄
 
Hii nchi haito endelea hadi sisiyemu itoke madarakani au iwekwe katiba mpya
 
Na mafuriko ya juzi huko Canada ni kwa sababu ya kukata miti ya Selous?
Endelea kujishangaza mwenyewe!
 
Tunashindwa hata kupasua miamba chini ya ardhi ,duu kweli hii ni bongo lala
 
Mungu ametupa akili lakini tuliowapa dhamana uwezo wao wakufikiri ni mdogo' they do not exercise much of their brains (lazy thinkers)
Sio kwamba hawana akiri, akiri wanazo sana. Shida ni kwamba wanajua kwa lolote watakalofanya hamna wa kuwawajibisha. Wanajua watz watasema mchana usiku watalala, au itakuja habari ya hamonize tutaenda kushabikia huko🤣
 
Na mafuriko ya juzi huko Canada ni kwa sababu ya kukata miti ya Selous?
Endelea kujishangaza mwenyewe!

Sio kwamba hawana akiri, akiri wanazo sana. Shida ni kwamba wanajua kwa lolote watakalofanya hamna wa kuwawajibisha. Wanajua watz watasema mchana usiku watalala, au itakuja habari ya hamonize tutaenda kushabikia huko🤣
ni kwel
 
Hivi mbunge akilipwa million 5 kuna ubaya gani ukichukulia gari anapewa na posho ya kikao anapewa?

Yanini kulipa mtu milioni 11 kila mwezi kwa kazi ya mtu mwenye uwezo wa kujua kusoma na kuandika tu?
Ndiyo maana tuliona wabeba mabegi yaliyoja kwenye uchaguzi wa 2020
 
Kuombea mvua badala ya kudhibiti shughuli haramu za kibinadamu zinazosababisha ukame ndiyo ujinga mkuu kuliko ujinga wowote ule ambao binadamu anaweza kuwa nao.

Mungu alishamaliza wajibu wake wa kuweka mazingira ya mvua kunyesha.Ni wajibu wetu sasa kutunza mazingira hayo.Hatutimizi wajibu huo.Mungu hawezi kuwa na muda na wajinga kama hawa,he is too busy with things that matter.
 
Wabunge kaziyao sasanaona ni kupitisha bajetitu.
 
sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…