MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943
Rasmi Yanga ni Mabingwa 2025 na Mabingwa mara nyingi zaidi wa kombe hili la Muungano. Napenda kuwakumbusha Viongozi, Wanachama wapenzi na mashabiki wa club hii kubwa zaidi Afrika Mashariki tusibweteke, Kombe hili lina historia mbaya ya kuwa na gundu ambapo mara nyingi mshindi wake huishia kupoteza mashindano mengine, Hivyo tuvunje huo mwiko tukaze kwa mechi chache za Ligi zilizosalia tuchukue CRDB na tukaanze msimu 2025/26 Kwa ari na nguvu zaidi.
#Daima Mbele #Nyuma Mwiko
#Daima Mbele #Nyuma Mwiko