MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943
Makombe yote ya Zanzibar huwa yana mkosiKombe lenye gundu ni mapinduzi
Kwa kikosi cha Yanga nikajua itachukua kombe la Champion League na matokeo yake ikaishia makundi ya Champion LeagueRasmi Yanga ni Mabingwa 2025 na Mabingwa mara nyingi zaidi wa kombe hili la Muungano. Napenda kuwakumbusha Viongozi, Wanachama wapenzi na mashabiki wa club hii kubwa zaidi Afrika Mashariki tusibweteke, Kombe hili lina historia mbaya ya kuwa na gundu ambapo mara nyingi mshindi wake huishia kupoteza mashindano mengine, Hivyo tuvunje huo mwiko tukaze kwa mechi chache za Ligi zilizosalia tuchukue CRDB na tukaanze msimu 2025/26 Kwa ari na nguvu zaidi.
#Daima Mbele #Nyuma Mwiko
View attachment 3322180
Kutoka Champion League mpaka kombe la mapinduzi.Nadhani ndio maana kocha aliamua kubalance kikosi ili kulinda nguvu kazi
Kombe la kina Enyimba, sijui Stellamaboksi halina hadhi sawa na CRDB 😀 hiyo ni aibu. Makundi CAFCL ni sawa na bingwa huko shirikishoKwa kikosi cha Yanga nikajua itachukua kombe la Champion League na matokeo yake ikaishia makundi ya Champion League
Yanga hakuna timu kwasasa mpaka wanajivunia ubingwa wa kombe la mapinduzi pamoja na kutoa dozi 3, 4, 5 mpaka 8 lakini hakuna faida yoyote.
Mnyama anachukua kombe la shirikisho
Hilo kombe la kina Enyimba hata Mtibwa sugar angeweza kubeba😀 usilinganishe na makombe yenye heshimaKutoka Champion League mpaka kombe la mapinduzi.
Hilo siyo kombe bali ni utopolo maana hilo kombe unaweza kuchezesha kikosi B cha Yanga kikachukua kombe.
Kipindi Simba anajiandaa kuchukua kombe la shirikisho, yanga yupo kombe la mapinduzi. Medali za mapinduzi nazo zipo kwenye kabati la Yanga ni nini?
hapo kwenye gundu na kazia nalitawakuta tu safari hiiRasmi Yanga ni Mabingwa 2025 na Mabingwa mara nyingi zaidi wa kombe hili la Muungano. Napenda kuwakumbusha Viongozi, Wanachama wapenzi na mashabiki wa club hii kubwa zaidi Afrika Mashariki tusibweteke, Kombe hili lina historia mbaya ya kuwa na gundu ambapo mara nyingi mshindi wake huishia kupoteza mashindano mengine, Hivyo tuvunje huo mwiko tukaze kwa mechi chache za Ligi zilizosalia tuchukue CRDB na tukaanze msimu 2025/26 Kwa ari na nguvu zaidi.
#Daima Mbele #Nyuma Mwiko
View attachment 3322180
hiki kikombe mbona ni kama wamekabidhiwa taa ya chemli ile ya zamaniRasmi Yanga ni Mabingwa 2025 na Mabingwa mara nyingi zaidi wa kombe hili la Muungano. Napenda kuwakumbusha Viongozi, Wanachama wapenzi na mashabiki wa club hii kubwa zaidi Afrika Mashariki tusibweteke, Kombe hili lina historia mbaya ya kuwa na gundu ambapo mara nyingi mshindi wake huishia kupoteza mashindano mengine, Hivyo tuvunje huo mwiko tukaze kwa mechi chache za Ligi zilizosalia tuchukue CRDB na tukaanze msimu 2025/26 Kwa ari na nguvu zaidi.
#Daima Mbele #Nyuma Mwiko
View attachment 3322180
Kombe la milioni 50 ambalo goli la mama linalipa hahaha eti muungano...ptuhhh mmeishiwaKombe la kina Enyimba, sijui Stellamaboksi halina hadhi sawa na CRDB 😀 hiyo ni aibu. Makundi CAFCL ni sawa na bingwa huko shirikisho
Hahaha uto bhana wana uswahili sana .Hivi ni kweli mnafurahia hilo kombe au kujibaraguza tu?