Mimi nipo upande wa serikali ilichosema
Huyu brazaJ asitutoe kwenye reli🤣
Kama vipi atupe kwanza vipimo vyake
Na si kuguess tu anachotaka kwa kutumia mambo yaliyopita.
Wewe mbwabwajaji kama wenzio. Waachie wenye taaluma zao kama hujui.Tumekumbwa gonjwa hatari lenye kuuwa hadi 90% ya wahanga.
Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola.
View attachment 2562190
"Kwamba tumependa kutoliita koleo kwa jina lake."
Maajabu ya Mussa.
Tangu lini uswahilini neno Marburg likafahamika? Kwani gonjwa hili lilipokuwa Congo, Uganda, Guinea, Gabon, Sierra Leone au Liberia tuliwahi liita Marburg?
Katika kinachoitwa kuepuka taharuki gonjwa halipewi umuhimu wala coverage yoyote ya maana kwenye media zetu. Kwetu Simba au Yanga kwenda robo fainali ni habari kubwa, Lakini si gonjwa hili.
Maisha yanaendelea kama vile kila kitu ni sawa.
Ya nini kutoambiana ukweli wote tukajipanga kukabiliana nalo ana kwa ana kama nchi?
Kwenye tahadhali zilizotolewa na wizara katika namna za kujikinga, kutogusana nayo imo. Inawezekana namna gani kwenye maisha yetu ya kawaida watu kutokugusana masokoni, magulioni, mashuleni, makanisani, misikitini, kwenye mabasi au kwenye madala dala?
Ebola si ya maji tiririka, barakoa, michaichai, matango pori wala upigaji nyungu.
Walioyasikia ya kwetu wameshtuka kuliko sisi wakati sisi tukichukulia poa. Dhidi ya gonjwa hili dunia tayari inatunyanyapaa.
Angalia Rwanda, The New Times - Rwanda on Marburg alert after Tanzania outbreak
Angalia mabeberu, BBC News - Ebola-like Marburg virus kills five people in Tanzania
Coverage zao ni makini na kamilifu (extensive and focussed). Kwetu wenge la awamu ile na njama za mabeberu bado lingalipo.
Kwanini watu wasiambiwe ukweli wote kukiwa kungali mapema? Ya nini kujidanganya?
Magonjwa haya si vita (vya kiuchumi). Ebola si corona ambayo kuuwa kwake kulikuwa hadi 2%. Hiyo hata ikihusianisha uzee na uwepo wa magonjwa mengine pia.
Kwa hakika kwenye ugonjwa huu tusipoamka mapema, usanii wetu uliozoeleka utatuumbua.
Wewe waachie wenye fani zaoHiyo ni ebola
Ni ugonjwa hatari na uko familia moja na ebola, ila sio ebola ni marburg lakini mtu anashupaza shingo kuwa ni ebola mara imepunguzwa ukali kwa kuitwa marburg yani kuna watu humu haya ubongo hawana achiloa mbali akiliWatu wanapingana na ripoti za waziri wa afya.
Ni vema watuletee sasa uchunguzi wao waliowapima hao wagonjwa,
Maana serikali iliyopima wagonjwa inatuambia hivi,ila Kuna watu wanasema hivi,tena kwa maneno matupu bila kuonyesha ni namna gani waliwapima hao wagonjwa.
Naomba kuuliza; somo la Biology na Chemistry ulipata pass gani Form Four?
Nimeona nianzie hapo nisijekuwa nabishana na mtu asiyekuwa hata na msingi wa Elimu husika.
Labda nikupe mfano rahisi; Typhoid ina dalili zinazofanana na ugonjwa wa malaria kama 85%
Kwa hiyo Mgonjwa akiwa na Typhoid, tuseme tu ana Malaria kwa sababu ndio watu wanaihitaji kusikia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namuona Bichwa komwe kwa mbaaali
Soon anatinga humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ujinga mtupu.Kazi zetu sisi ni kutenga mchele na Pumba:
1. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?
2. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?
3. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?
Hapo ndipo tunapoachana njia panda.
Akili za kuambiwa tusichanganye na za kwetu siyo? Unyumbu kumbe utakuwa u nini basi?Wewe waachie wenye fani zao
Umesoma comments zangu?
Nipo upande wa Serikali na nlkua namwelimisha mleta mada
Hapa sasa nimekuelewa.
Huyu Braza J analazimisha itangazwe kuwa ni Ebola ili kuwaconfuse watu..
Lengo lake ni kwenda tu kinyume na serikali bila kujali serikali ipo sawa au haipo sawa.
Serikali ikikaa upande huu,yeye anakaa huu.
Nadhani Braza angejikita tu kwenye mada nyingine ambazo ana utaalam nazo.
Typhoid na malaria zinafanana sana kwenye dalili ebu punguza ujinga uliokua naoKwa ulichoandika hapa hakuna shaka pass kuwa nina marks nzuri zaidi kuliko wewe katika masomo yote yakiwamo mawili uliyoyataja.
Nadhani hapo kwa kuanzia utakuwa umenifahamu angalau kuweza kujipanga kama una nia ya mjadala wowote wenye tija.
Ajabu na kweli, hata mfano wako wa Typhoid dhidi ya Malaria ni aibu nyingine Kwa kuwa hata huo nao ufahamu wako ni wa kubambia bambia.
Zingatia:
Dalili za Typhoid hizi hapa:
Wakati dalili za Malaria ni pamoja na:
- Weakness.
- Stomach pain.
- Headache.
- Diarrhea or constipation.
- Cough.
- Loss of appetite
Zaidi pia Malaria huwa haina constipation, pia inaweza kuleta anaemia na jaundice yaani macho na ngozi kuwa njano kutokana na upungufu wa red blood cells tofauti na typhoid.
- Muscle aches
- Vomiting
- Shaking chills
Sikatai dalili nyingi za Malaria kushabihiana na typhoid kukaribiana lakini bado tofauti za kutosha za wazi zipo.
Weka hapa tofauti za Marburg na ebola.
Zaidi sana jipange kushehenesha maswali haya ambapo wajomba kutoka kwa Ummi wamemwaga mbio kimya kimya:
1. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?
2. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?
3. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?
Angalizo: Ummi siyo Ummy.
Wewe mbwabwajaji kama wenzio. Waachie wenye taaluma zao kama hujui.
Huyu ni chizi pro max ametoroka mirembe siku sio nyingi ila soon watamrudisha[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Aposto kuna muujiza huku.
Chizi la mirembe limefufuka [emoji23][emoji23]
Nani kakwambia hazifanani?Typhoid na malaria zinafanana sana kwenye dalili ebu punguza ujinga uliokua nao
Ulimwengu aliwaona:Huyu ni chizi pro max ametoroka mirembe siku sio nyingi ila soon watamrudisha
Ni ugonjwa hatari na uko familia moja na ebola, ila sio ebola ni marburg lakini mtu anashupaza shingo kuwa ni ebola mara imepunguzwa ukali kwa kuitwa marburg yani kuna watu humu haya ubongo hawana achiloa mbali akili
Shida ya Tz tatizo likotokea huwa mamlaka zinataka tukio lifichwe ila hali imeshaanza kuwa mbaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ni chizi pro max ametoroka mirembe siku sio nyingi ila soon watamrudisha