Tunapoichukulia poa Ebola hata kuiita majina yasiyojulikana ni hatari

Tunapoichukulia poa Ebola hata kuiita majina yasiyojulikana ni hatari

Mimi nipo upande wa serikali ilichosema
Huyu brazaJ asitutoe kwenye reli🤣
Kama vipi atupe kwanza vipimo vyake
Na si kuguess tu anachotaka kwa kutumia mambo yaliyopita.

Kwani upande wa serikali ni upi? Au ni ule usiokuwa na majibu hata kwenye yaliyo msingi tu kama haya:

1. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?
2. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?
3. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?
 
Tumekumbwa gonjwa hatari lenye kuuwa hadi 90% ya wahanga.

Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola.

View attachment 2562190

"Kwamba tumependa kutoliita koleo kwa jina lake."

Maajabu ya Mussa.

Tangu lini uswahilini neno Marburg likafahamika? Kwani gonjwa hili lilipokuwa Congo, Uganda, Guinea, Gabon, Sierra Leone au Liberia tuliwahi liita Marburg?

Katika kinachoitwa kuepuka taharuki gonjwa halipewi umuhimu wala coverage yoyote ya maana kwenye media zetu. Kwetu Simba au Yanga kwenda robo fainali ni habari kubwa, Lakini si gonjwa hili.

Maisha yanaendelea kama vile kila kitu ni sawa.

Ya nini kutoambiana ukweli wote tukajipanga kukabiliana nalo ana kwa ana kama nchi?

Kwenye tahadhali zilizotolewa na wizara katika namna za kujikinga, kutogusana nayo imo. Inawezekana namna gani kwenye maisha yetu ya kawaida watu kutokugusana masokoni, magulioni, mashuleni, makanisani, misikitini, kwenye mabasi au kwenye madala dala?

Ebola si ya maji tiririka, barakoa, michaichai, matango pori wala upigaji nyungu.

Walioyasikia ya kwetu wameshtuka kuliko sisi wakati sisi tukichukulia poa. Dhidi ya gonjwa hili dunia tayari inatunyanyapaa.

Angalia Rwanda, The New Times - Rwanda on Marburg alert after Tanzania outbreak

Angalia mabeberu, BBC News - Ebola-like Marburg virus kills five people in Tanzania

Coverage zao ni makini na kamilifu (extensive and focussed). Kwetu wenge la awamu ile na njama za mabeberu bado lingalipo.

Kwanini watu wasiambiwe ukweli wote kukiwa kungali mapema? Ya nini kujidanganya?

Magonjwa haya si vita (vya kiuchumi). Ebola si corona ambayo kuuwa kwake kulikuwa hadi 2%. Hiyo hata ikihusianisha uzee na uwepo wa magonjwa mengine pia.

Kwa hakika kwenye ugonjwa huu tusipoamka mapema, usanii wetu uliozoeleka utatuumbua.
Wewe mbwabwajaji kama wenzio. Waachie wenye taaluma zao kama hujui.
 
Watu wanapingana na ripoti za waziri wa afya.
Ni vema watuletee sasa uchunguzi wao waliowapima hao wagonjwa,
Maana serikali iliyopima wagonjwa inatuambia hivi,ila Kuna watu wanasema hivi,tena kwa maneno matupu bila kuonyesha ni namna gani waliwapima hao wagonjwa.
Ni ugonjwa hatari na uko familia moja na ebola, ila sio ebola ni marburg lakini mtu anashupaza shingo kuwa ni ebola mara imepunguzwa ukali kwa kuitwa marburg yani kuna watu humu haya ubongo hawana achiloa mbali akili
 
Naomba kuuliza; somo la Biology na Chemistry ulipata pass gani Form Four?
Nimeona nianzie hapo nisijekuwa nabishana na mtu asiyekuwa hata na msingi wa Elimu husika.
Labda nikupe mfano rahisi; Typhoid ina dalili zinazofanana na ugonjwa wa malaria kama 85%
Kwa hiyo Mgonjwa akiwa na Typhoid, tuseme tu ana Malaria kwa sababu ndio watu wanaihitaji kusikia?

Kwa ulichoandika hapa hakuna shaka kuwa nina pass marks nzuri zaidi kuliko wewe katika masomo yote yakiwamo mawili uliyoyataja.

Nadhani hapo kwa kuanzia utakuwa umenifahamu angalau kuweza kujipanga kama una nia ya mjadala wowote wenye tija.

Ajabu na kweli, hata mfano wako wa Typhoid dhidi ya Malaria ni aibu nyingine Kwa kuwa hata huo nao ufahamu wako ni wa kubambia bambia.

Zingatia:

Dalili za Typhoid hizi hapa:
  • Weakness.
  • Stomach pain.
  • Headache.
  • Diarrhea or constipation.
  • Cough.
  • Loss of appetite
Wakati dalili za Malaria ni pamoja na:
  • Muscle aches
  • Vomiting
  • Shaking chills
Zaidi pia Malaria huwa haina constipation, pia inaweza kuleta anaemia na jaundice yaani macho na ngozi kuwa njano kutokana na upungufu wa red blood cells tofauti na typhoid.

Sikatai dalili nyingi za Malaria kushabihiana na typhoid na hata kukaribiana. Lakini bado tofauti za kutosha za wazi zipo.

Weka hapa tofauti za Marburg na ebola.

Zaidi sana jipange kushehenesha maswali haya ambapo wajomba kutoka kwa Ummi wamemwaga mbio kimya kimya:

1. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?
2. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?
3. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?

Angalizo: Ummi siyo Ummy.
 
Kazi zetu sisi ni kutenga mchele na Pumba:

1. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?
2. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?
3. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?

Hapo ndipo tunapoachana njia panda.
Ujinga mtupu.

Hufai hata kuwa wakili, unajitutumua tu.

Wewe ni BUMUNDA JUVI.
 
Umesoma comments zangu?

Nipo upande wa Serikali na nlkua namwelimisha mleta mada

Mkuu elimu haina mwisho si nadra kuwa wazi kuelimishana pia. Kwa kuanzia mwongozo wako hapa ingependeza zaidi:

1. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?
2. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?
3. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?

Ustaraabu ni kujadili mambo kistaarabu siyo kama like Mburumundu lenye BICHWA KOMWEE.
 
Hapa sasa nimekuelewa.

Huyu Braza J analazimisha itangazwe kuwa ni Ebola ili kuwaconfuse watu..
Lengo lake ni kwenda tu kinyume na serikali bila kujali serikali ipo sawa au haipo sawa.
Serikali ikikaa upande huu,yeye anakaa huu.

Nadhani Braza angejikita tu kwenye mada nyingine ambazo ana utaalam nazo.

Ninakazia: utakuwa umenisoma vibaya labda kwa kulipuuza forth with BICHWA KOMWEE kama halikuwahi ku exist. Maswali yangu kwa mara nyingine kwako ikikupendekeza:

1. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?
2. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?
3. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?

Mwongozo wako tafadhali.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Aposto kuna muujiza huku.

Chizi la mirembe limefufuka [emoji23][emoji23]
 
Kwa ulichoandika hapa hakuna shaka pass kuwa nina marks nzuri zaidi kuliko wewe katika masomo yote yakiwamo mawili uliyoyataja.

Nadhani hapo kwa kuanzia utakuwa umenifahamu angalau kuweza kujipanga kama una nia ya mjadala wowote wenye tija.

Ajabu na kweli, hata mfano wako wa Typhoid dhidi ya Malaria ni aibu nyingine Kwa kuwa hata huo nao ufahamu wako ni wa kubambia bambia.

Zingatia:

Dalili za Typhoid hizi hapa:
  • Weakness.
  • Stomach pain.
  • Headache.
  • Diarrhea or constipation.
  • Cough.
  • Loss of appetite
Wakati dalili za Malaria ni pamoja na:
  • Muscle aches
  • Vomiting
  • Shaking chills
Zaidi pia Malaria huwa haina constipation, pia inaweza kuleta anaemia na jaundice yaani macho na ngozi kuwa njano kutokana na upungufu wa red blood cells tofauti na typhoid.

Sikatai dalili nyingi za Malaria kushabihiana na typhoid kukaribiana lakini bado tofauti za kutosha za wazi zipo.

Weka hapa tofauti za Marburg na ebola.

Zaidi sana jipange kushehenesha maswali haya ambapo wajomba kutoka kwa Ummi wamemwaga mbio kimya kimya:

1. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?
2. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?
3. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?

Angalizo: Ummi siyo Ummy.
Typhoid na malaria zinafanana sana kwenye dalili ebu punguza ujinga uliokua nao
 
Typhoid na malaria zinafanana sana kwenye dalili ebu punguza ujinga uliokua nao
Nani kakwambia hazifanani?

Uliyaona haya kwenye niliyoandika?

"Sikatai dalili nyingi za Malaria kushabihiana na typhoid au hata kukaribiana. Lakini bado tofauti za kutosha za wazi zipo."

Au ni mwendo wa kudandia treni kwa mbele. Eti umesoma chemistry na biology. Chemistry na biology gani ulizosoma mburula wewe?

Kwa kushindwa kujibu maswali niliyokupa nini tofauti yako BICHWA KOMWEE Mburula mwingine mbobezi?
 
Huyu ni chizi pro max ametoroka mirembe siku sio nyingi ila soon watamrudisha
Ulimwengu aliwaona:

FrmmsPmWIAMDMwY.jpeg

Pole sana.
 
Shida ya Tz tatizo likotokea huwa mamlaka zinataka tukio lifichwe ila hali imeshaanza kuwa mbaya
 
Ni ugonjwa hatari na uko familia moja na ebola, ila sio ebola ni marburg lakini mtu anashupaza shingo kuwa ni ebola mara imepunguzwa ukali kwa kuitwa marburg yani kuna watu humu haya ubongo hawana achiloa mbali akili

Kwanini ni vigumu kwako wewe usiyeshupaza shingo maswali haya:

1. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?
2. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?
3. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?
 
Shida ya Tz tatizo likotokea huwa mamlaka zinataka tukio lifichwe ila hali imeshaanza kuwa mbaya

Ngoja tusubiri.

Ila kabla halijakuwa baya huibuka ID mpya mpya za msaada zenye mabandiko hata 10 kwa miaka 5.

Uzuri waimba mapambio hao huwa ni wazuri pia kwenye kuunga juhudi mamlaka za juu zikibadili mawazo.

Wanajulikana wote. Wanaitwa bendera fuata upepo.
 
Back
Top Bottom