Sasa tumuamini nani?
Mnatuchanganya
Serikali inasema hivi,nyie mnasema hivi..
Tumuamini nani?
It's Ebola-like disease but it's not Ebola [emoji187]
Kama ninavyoshangaa pia. Hivyo tunashangaana.Sana anashangaza
Yeye itakua kaona Serikali labda imeamua ifiche kitu( labda kutokana na historia ya Serikali iliyopita kuficha mambo ya corona) asichofahamu ni kwamba hauwezi kuficha sababu ukificha unaiweka Dunia nzima hatarini hata nchi za jirani unaziweka hatarini
Kwenye tafiti kama hizi za magonjwa kama haya WHO huwa makini Sana na wao pia hutuma wataalamu wao
Kuthibitisha hili ingawa bado sijaangalia ila nenda website ya WHO lazima washatoa tangazo kwamba Tanzania eneo flani Kuna Marburg watalii, wasafiri kuweni makini
Alooo apa mimi taya ipo chini kwa kushangaaKama ninavyoshangaa pia. Hivyo tunashangaana.
Ngoja niweke tu comment ya Isanga family wa pale Mwanjelwa Mbeya [emoji1787]
View attachment 2562531
Bumunda angalia familia yako isipate ebola achana na mimiKwanini ni vigumu kwako wewe usiyeshupaza shingo maswali haya:
1. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?
2. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?
3. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?
What is the Marburg virus and how dangerous is it? - BBC News
Tanzania is the latest African country to have an outbreak of the highly-infectious Marburg virus.www.bbc.com
Achilia Uganda kuwahi kukumbwa na mlipuko source ya Marburg virus ni ‘green monkeys’ kutoka huko Uganda pia.
Busara ni kuheshimu vipimo vya wataalamu kuliko kuanza kuichanganya jamii.
Ugonjwa tunaambiwa ni ebola like condition; maana yake impacts zake zinafanana, sasa kwanini watu waongope.
Bumunda angalia familia yako isipate ebola achana na mimiBumunda angalia familia yako isipate ebola achana na mimi
BICHWA KOMWEE msaada tafadhali niepushe na hili bumundaBumunda angalia familia yako isipate ebola achana na mimi
Sasa umenicheka ndugu yangu mimi nasema tu nilichosikia nielimishe usinichekeSatellite ni satelaiti? Vipi typhoid ni taifodi? Kumbe Marburg ni Ebola?
Why is Uganda's Ebola outbreak so serious? - BBC News
Huu ugonjwa umetokea pande za ugonjwa siyo?
Kimakonde au kimakua ukisimama nchale ukiketi nchale na sio chitopu chimama hii dunia in vituko vingi lakini usichezee Ebola,Covid na ukimwi kweli utakufa kama mwendazakeKama kula nyani basi wamakonde wasingekuepo kwenye uso wa dunia mana wale watu hawaachi kitu kuanzia Nyani,tumbili,fungo,bundi,yani wana msemo wao "kila kilichoumbwa na Mungu rukhsa kuliwa" kwa kimakonde sijui wanasemaje
Hata UKIMWI ulipewa jina Acha Iniue Dogodogo Siachi wananchi wakapata ujasiriTumekumbwa gonjwa hatari lenye kuuwa hadi 90% ya wahanga.
Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola.
View attachment 2562190
"Kwamba tumependa kutoliita koleo kwa jina lake."
Maajabu ya Mussa.
Tangu lini uswahilini neno Marburg likafahamika? Kwani gonjwa hili lilipokuwa Congo, Uganda, Guinea, Gabon, Sierra Leone au Liberia tuliwahi liita Marburg?
Katika kinachoitwa kuepuka taharuki gonjwa halipewi umuhimu wala coverage yoyote ya maana kwenye media zetu. Kwetu Simba au Yanga kwenda robo fainali ni habari kubwa, Lakini si gonjwa hili.
Maisha yanaendelea kama vile kila kitu ni sawa.
Ya nini kutoambiana ukweli wote tukajipanga kukabiliana nalo ana kwa ana kama nchi?
Kwenye tahadhali zilizotolewa na wizara katika namna za kujikinga, kutogusana nayo imo. Inawezekana namna gani kwenye maisha yetu ya kawaida watu kutokugusana masokoni, magulioni, mashuleni, makanisani, misikitini, kwenye mabasi au kwenye madala dala?
Ebola si ya maji tiririka, barakoa, michaichai, matango pori wala upigaji nyungu.
Walioyasikia ya kwetu wameshtuka kuliko sisi wakati sisi tukichukulia poa. Dhidi ya gonjwa hili dunia tayari inatunyanyapaa.
Angalia Rwanda, The New Times - Rwanda on Marburg alert after Tanzania outbreak
Angalia mabeberu, BBC News - Ebola-like Marburg virus kills five people in Tanzania
Coverage zao ni makini na kamilifu (extensive and focussed). Kwetu wenge la awamu ile na njama za mabeberu bado lingalipo.
Kwanini watu wasiambiwe ukweli wote kukiwa kungali mapema? Ya nini kujidanganya?
Magonjwa haya si vita (vya kiuchumi). Ebola si corona ambayo kuuwa kwake kulikuwa hadi 2%. Hiyo hata ikihusianisha uzee na uwepo wa magonjwa mengine pia.
Kwa hakika kwenye ugonjwa huu tusipoamka mapema, usanii wetu uliozoeleka utatuumbua.
Kuongopa kinakuja hivi:
Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola.
Zingatia:
Tangu lini uswahilini neno Marburg likafahamika? Kwani gonjwa hili lilipokuwa Congo, Uganda, Guinea, Gabon, Sierra Leone au Liberia tuliwahi liita Marburg?
ZaIdi sana:
Katika kinachoitwa kuepuka taharuki gonjwa halipewi umuhimu wala coverage yoyote ya maana kwenye media zetu. Kwetu Simba au Yanga kwenda robo fainali ni habari kubwa, Lakini si gonjwa hili.
Kipi hakisomeki hapo?
BICHWA KOMWEE msaada tafadhali niepushe na hili bumunda
Usikonde ndugu yangu. Kupeana elimu ndiyo ustaraabu wenyewe tatizo wajinga wengi nao inabidi kushughulika nao kikamilifu pia.Sasa umenicheka ndugu yangu mimi nasema tu nilichosikia nielimishe usinicheke
Hata UKIMWI ulipewa jina Acha Iniue Dogodogo Siachi wananchi wakapata ujasiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]BICHWA KOMWEE msaada tafadhali niepushe na hili bumunda
Marburg and Ebola Virus Infections - Marburg and Ebola Virus Infections - MSD Manual Professional Edition
Marburg and Ebola Virus Infections - Etiology, pathophysiology, symptoms, signs, diagnosis & prognosis from the MSD Manuals - Medical Professional Version.www.msdmanuals.com
Pitia hiyo article imeelezea similarities, na slight differences kati ya Ebola na Marburg.
Watu waweze distinguish five variants of Ebola viruses, kwanini huyo aitwe Marburg virus; itakuwa kuna tofauti.
Hadi WHO wa endorse ni Marburg Virus iliyopo Kagera na ina maana ata wao wamejiridhisha kwa vipimo na si ajabu virologist wao wameshiriki.
Wakikataa WHO hakuna atakae bisha duniani; na wanapokubali WHO huo ndio unakuwa uelewa wa dunia.
Sasa WHO wenyewe washakubali ni Marburg; maana yake ni hivyo wana vigezo vya kukubali sio watu wakulishwa matango pori.