Tunapoichukulia poa Ebola hata kuiita majina yasiyojulikana ni hatari

Sasa tumuamini nani?
Mnatuchanganya
Serikali inasema hivi,nyie mnasema hivi..
Tumuamini nani?

Una maana serikali hii hii iliyoacha kupima watu ikaenda kupima mbuzi, oil na mapapai kwenye machine za kupima watu?

Hudhani kuwa wanawaona wengine kuwa labda ni mbuzi tu?
 
It's Ebola-like disease but it's not Ebola [emoji187]

Who's disputing Marburg to be Ebola-like?

Don't you think answers to the below could have been of great use?

1. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?
2. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?
3. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?
 
Yeye itakua kaona Serikali labda imeamua ifiche kitu( labda kutokana na historia ya Serikali iliyopita kuficha mambo ya corona) asichofahamu ni kwamba hauwezi kuficha sababu ukificha unaiweka Dunia nzima hatarini hata nchi za jirani unaziweka hatarini

Kwenye tafiti kama hizi za magonjwa kama haya WHO huwa makini Sana na wao pia hutuma wataalamu wao

Kuthibitisha hili ingawa bado sijaangalia ila nenda website ya WHO lazima washatoa tangazo kwamba Tanzania eneo flani Kuna Marburg watalii, wasafiri kuweni makini

1. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?
2. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?
3. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?

Mwongozo wako tafadhali.
 
Achilia Uganda kuwahi kukumbwa na mlipuko source ya Marburg virus ni ‘green monkeys’ kutoka huko Uganda pia.

Busara ni kuheshimu vipimo vya wataalamu kuliko kuanza kuichanganya jamii.

Ugonjwa tunaambiwa ni ebola like condition; maana yake impacts zake zinafanana, sasa kwanini watu waongope.
 
Kwanini ni vigumu kwako wewe usiyeshupaza shingo maswali haya:

1. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?
2. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?
3. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?
Bumunda angalia familia yako isipate ebola achana na mimi
 
Achilia Uganda kuwahi kukumbwa na mlipuko source ya Marburg virus ni ‘green monkeys’ kutoka huko Uganda pia.

Busara ni kuheshimu vipimo vya wataalamu kuliko kuanza kuichanganya jamii.

Ugonjwa tunaambiwa ni ebola like condition; maana yake impacts zake zinafanana, sasa kwanini watu waongope.

Kuongopa kunakuja hivi:

Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola.

Zingatia:

Tangu lini uswahilini neno Marburg likafahamika? Kwani gonjwa hili lilipokuwa Congo, Uganda, Guinea, Gabon, Sierra Leone au Liberia tuliwahi liita Marburg?

ZaIdi sana:

Katika kinachoitwa kuepuka taharuki gonjwa halipewi umuhimu wala coverage yoyote ya maana kwenye media zetu. Kwetu Simba au Yanga kwenda robo fainali ni habari kubwa, Lakini si gonjwa hili.

Kipi hakisomeki hapo?
 
Kama kula nyani basi wamakonde wasingekuepo kwenye uso wa dunia mana wale watu hawaachi kitu kuanzia Nyani,tumbili,fungo,bundi,yani wana msemo wao "kila kilichoumbwa na Mungu rukhsa kuliwa" kwa kimakonde sijui wanasemaje
Kimakonde au kimakua ukisimama nchale ukiketi nchale na sio chitopu chimama hii dunia in vituko vingi lakini usichezee Ebola,Covid na ukimwi kweli utakufa kama mwendazake
 
Tumekumbwa gonjwa hatari lenye kuuwa hadi 90% ya wahanga.

Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola.

View attachment 2562190

"Kwamba tumependa kutoliita koleo kwa jina lake."

Maajabu ya Mussa.

Tangu lini uswahilini neno Marburg likafahamika? Kwani gonjwa hili lilipokuwa Congo, Uganda, Guinea, Gabon, Sierra Leone au Liberia tuliwahi liita Marburg?

Katika kinachoitwa kuepuka taharuki gonjwa halipewi umuhimu wala coverage yoyote ya maana kwenye media zetu. Kwetu Simba au Yanga kwenda robo fainali ni habari kubwa, Lakini si gonjwa hili.

Maisha yanaendelea kama vile kila kitu ni sawa.

Ya nini kutoambiana ukweli wote tukajipanga kukabiliana nalo ana kwa ana kama nchi?

Kwenye tahadhali zilizotolewa na wizara katika namna za kujikinga, kutogusana nayo imo. Inawezekana namna gani kwenye maisha yetu ya kawaida watu kutokugusana masokoni, magulioni, mashuleni, makanisani, misikitini, kwenye mabasi au kwenye madala dala?

Ebola si ya maji tiririka, barakoa, michaichai, matango pori wala upigaji nyungu.

Walioyasikia ya kwetu wameshtuka kuliko sisi wakati sisi tukichukulia poa. Dhidi ya gonjwa hili dunia tayari inatunyanyapaa.

Angalia Rwanda, The New Times - Rwanda on Marburg alert after Tanzania outbreak

Angalia mabeberu, BBC News - Ebola-like Marburg virus kills five people in Tanzania

Coverage zao ni makini na kamilifu (extensive and focussed). Kwetu wenge la awamu ile na njama za mabeberu bado lingalipo.

Kwanini watu wasiambiwe ukweli wote kukiwa kungali mapema? Ya nini kujidanganya?

Magonjwa haya si vita (vya kiuchumi). Ebola si corona ambayo kuuwa kwake kulikuwa hadi 2%. Hiyo hata ikihusianisha uzee na uwepo wa magonjwa mengine pia.

Kwa hakika kwenye ugonjwa huu tusipoamka mapema, usanii wetu uliozoeleka utatuumbua.
Hata UKIMWI ulipewa jina Acha Iniue Dogodogo Siachi wananchi wakapata ujasiri
 
Kuongopa kinakuja hivi:

Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola.

Zingatia:

Tangu lini uswahilini neno Marburg likafahamika? Kwani gonjwa hili lilipokuwa Congo, Uganda, Guinea, Gabon, Sierra Leone au Liberia tuliwahi liita Marburg?

ZaIdi sana:

Katika kinachoitwa kuepuka taharuki gonjwa halipewi umuhimu wala coverage yoyote ya maana kwenye media zetu. Kwetu Simba au Yanga kwenda robo fainali ni habari kubwa, Lakini si gonjwa hili.

Kipi hakisomeki hapo?

Pitia hiyo article imeelezea similarities, na slight differences kati ya Ebola na Marburg.

Watu waweze distinguish five variants of Ebola viruses, kwanini huyo aitwe Marburg virus; itakuwa kuna tofauti.

Hadi WHO wa endorse ni Marburg Virus iliyopo Kagera na ina maana ata wao wamejiridhisha kwa vipimo na si ajabu virologist wao wameshiriki.

Wakikataa WHO hakuna atakae bisha duniani; na wanapokubali WHO huo ndio unakuwa uelewa wa dunia.

Sasa WHO wenyewe washakubali ni Marburg; maana yake ni hivyo wana vigezo vya kukubali sio watu wakulishwa matango pori.
 
BICHWA KOMWEE msaada tafadhali niepushe na hili bumunda

Wewe na nduguyo wa msaada inawahusu kikamilifu:

FpojyuNWIAAJNp3.jpeg
 
Sasa umenicheka ndugu yangu mimi nasema tu nilichosikia nielimishe usinicheke
Usikonde ndugu yangu. Kupeana elimu ndiyo ustaraabu wenyewe tatizo wajinga wengi nao inabidi kushughulika nao kikamilifu pia.

Tuko pamoja mjomba.
 
Hata UKIMWI ulipewa jina Acha Iniue Dogodogo Siachi wananchi wakapata ujasiri

Ukimwi angalau mtu uroda kala na kaenda mwenyewe. Huu Happy Nation buses 3, Abood buses 2, Frester buses 2, Majinja, Travellers nk zinakaribia Dodoma destination Dar. Huko zilikotoka, zilikopita, zilipo, zitakakopita na zitakapoishia nani ajuaye?

Eeh Mola wetu utulinde sisi waja wako.
 
BICHWA KOMWEE msaada tafadhali niepushe na hili bumunda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pitia hiyo article imeelezea similarities, na slight differences kati ya Ebola na Marburg.

Watu waweze distinguish five variants of Ebola viruses, kwanini huyo aitwe Marburg virus; itakuwa kuna tofauti.

Hadi WHO wa endorse ni Marburg Virus iliyopo Kagera na ina maana ata wao wamejiridhisha kwa vipimo na si ajabu virologist wao wameshiriki.

Wakikataa WHO hakuna atakae bisha duniani; na wanapokubali WHO huo ndio unakuwa uelewa wa dunia.

Sasa WHO wenyewe washakubali ni Marburg; maana yake ni hivyo wana vigezo vya kukubali sio watu wakulishwa matango pori.

Ulichoandika hakina ubishi na hakuna anayebisha hicho kiufundi.

Ila zingatia msingi wa mada ambao ni tofauti na wako:

Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola.

Tambua kuwa:

Tangu lini uswahilini neno Marburg likafahamika? Kwani gonjwa hili lilipokuwa Congo, Uganda, Guinea, Gabon, Sierra Leone au Liberia tuliwahi liita Marburg?

Majibu kwa maswali 2 haya ingekuwa la msaada sana.

Hapa ilikuwa ni kukazia tu:

Katika kinachoitwa kuepuka taharuki gonjwa halipewi umuhimu wala coverage yoyote ya maana kwenye media zetu. Kwetu Simba au Yanga kwenda robo fainali ni habari kubwa, Lakini si gonjwa hili.

Mengine haya yakiwa ni maswali yatokanayo kama ikikupendeza:

Back
Top Bottom