Tunapoichukulia poa Ebola hata kuiita majina yasiyojulikana ni hatari

Ulichoandika hakina ubishi na hakuna anayebisha hicho kiufundi.

Ila zingatia msingi wa mada ambao ni tofauti na wako:

Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola.

Tambua kuwa:

Tangu lini uswahilini neno Marburg likafahamika? Kwani gonjwa hili lilipokuwa Congo, Uganda, Guinea, Gabon, Sierra Leone au Liberia tuliwahi liita Marburg?

Majibu kwa maswali 2 haya ingekuwa la msaada sana.

Hapa ilikuwa ni kukazia tu:

Katika kinachoitwa kuepuka taharuki gonjwa halipewi umuhimu wala coverage yoyote ya maana kwenye media zetu. Kwetu Simba au Yanga kwenda robo fainali ni habari kubwa, Lakini si gonjwa hili.

Mengine haya yakiwa ni maswali yatokanayo kama ikikupendeza:

1. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?
2. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?
3. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?
Ebola na Marburg ni ‘communicable diseases’ maana yake ni magonjwa ambayo yanasababishwa na viruses.

Ebola ni jina la virus; anaesababisha ugonjwa unaoitwa Ebola.

Marburg ni jina la virus; anaesababisha ugonjwa unaoitwa Marburg

Chacteristic za Marburg na Ebola virus sio sawa ndio maana wanamajina tofauti.

Virus wanaofanana wanaitwa variants. Ndio maana kuna 5 Ebola virus variants.

Kwa ivyo Ebola na Marburg sio kitu kimoja.
 
Kiswahili ni kifinyu ndugu kukidhi mahitaji yote ya kisayansi yaliyopo. Ndiyo maana Kwa kiswahili hata satellite ni satelaiti, Internet ni internet, Router ni ruta, Malaria ni Malaria, virus ni virusi nk.

Ndivyo hivyo kwa Marburg, Ebola na jamii zake zote kwa kiswahili ni Ebola. Ndiyo maana imekuwa ikisemwa hivyo hapa nchini siku zote isipokuwa juzi.

Zingatia madhulumuni ya lugha ni kuufikisha ujumbe kwa walengwa. Kwa sasa ni kwa watanzania.

Upakeni rangi ugonjwa huu. Uiteni mtakavyo. Anasema mswahili mtamlaumu dobi bure, kaniki rangi yake na la kuvunda halina ubani.

Tatizo si jina tatizo ni ugonjwa.

Tunakabiliwa na ugonjwa mpya. Ugonjwa mbaya wenye kuambukiza kwa urahisi. Kama unaijua ebola basi umeujua ugonjwa huu.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Wewe unajifanya mjuaji sana unaeleweshwa lakini kichwa chako ni kama cha mbuzi hakisikii mpaka kiwe kwenye chungu.

Vitu vya kisayansi kama siyo mtaalamu kaa kimya usubiri kueleweshwa siyo kushupaa.

Haya ni magonjwa mawili tofauti yanayosababishwa na virus wawili tofauti walioko jamii moja

Ebola iligundulika huko congo katika mto Ebola na ndiyo maana wakaiita Ebola virus hili siyo neno la kiswahili

Marburg iligundulika huko Marburg ujerumani na ndiyo maana kirusi kikaitwa Marburg

Namna ya kutoa majina kwa virus imebadilika siku hizi zamani vingi vilikuwa vinapewa majina kulingana na eneo kinapogundulika
Screenshot_20230323-164133_Samsung Internet.jpg
 
Ebola na Marburg ni ‘communicable diseases’ maana yake ni magonjwa ambayo yanasababishwa na viruses.

Ebola ni jina la virus; anaesababisha ugonjwa unaoitwa Ebola.

Marburg ni jina la virus; anaesababisha ugonjwa unaoitwa Marburg

Chacteristic za Marburg na Ebola virus sio sawa ndio maana wanamajina tofauti.

Virus wanaofanana wanaitwa variants. Ndio maana kuna 5 Ebola virus variants.

Kwa ivyo Ebola na Marburg sio kitu kimoja.

Ulichoandika anasema "beberu" ni trivial. Ninakazia hakuna dispute katika hayo.

Hata hivyo maswali yangu 5 kwako sijui kwa nini ni vigumu kuyajibu:

"Tangu lini uswahilini neno Marburg likafahamika? Kwani gonjwa hili lilipokuwa Congo, Uganda, Guinea, Gabon, Sierra Leone au Liberia tuliwahi liita Marburg?"

Hayo ni mawili kutokea kwenye preamble hii:

"Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola."

Matatu ya mwisho ni haya hapa:

1. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?
2. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?
3. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?

Ikikupendeza tafadhali.
 
Nimezielewa hoja za brazaj
Hasa ukizingatia eneo ulipoibukia huo ugonjwa limepakana na nchi jirani ambayo nayo ilifikwa na ugonjwa wa Ebola.
 
Mkuu unadhani wanaobisha hawajui? Kwa kiswahili wanaita kisebu sebu na kiroho papo. Kama ilivyo siku zote wengine wametumwa kukanusha tu hata iweje. Hao ni sehemu ya upotashaji wote tangia kuanza Kwa Ugonjwa huu. Hawajali hata kama sote tutaangamia. Wana roho ngumu kweli kweli.
 
Ulichoandika anasema "beberu" ni trivial. Ninakazia hakuna dispute katika hayo.

Hata hivyo maswali yangu 5 kwako sijui kwa nini ni vigumu kuyajibu:

"Tangu lini uswahilini neno Marburg likafahamika? Kwani gonjwa hili lilipokuwa Congo, Uganda, Guinea, Gabon, Sierra Leone au Liberia tuliwahi liita Marburg?"

Hayo ni mawili kutokea kwenye preamble hii:

"Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola."

Matatu ya mwisho ni haya hapa:

1. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?
2. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?
3. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?

Ikikupendeza tafadhali.
Hii sasa inakuwa shughuli ya kutwanga maji kwenye kinu.

Umeshaelezwa ‘communicable disease’ moja ya sababu za wake ni virus kuhama kutoka from one host to another.

Kwenye kuama kwao ndio kunasababisha magonjwa, virus ata sisi binadamu tunaishi nao wengine ni harmful others aren’t. Maana yake nini virus anaweza kuishi kwa mnyama mmoja bila ya madhara ila akiamia kwa kiumbe mwingine akasababisha madhara.

Marburg ni virus ambae ni common kwa ‘green monkies’ wanaopatikana Uganda, ambao wakiamia kwenye mwili wa binadamu wanaleta madhara, na binadamu alievamiwa na Marburg anaweza sambaza kwa njia zingine na kusababisha epidemic.
48E47533-2138-4146-B7AF-06BC64E59988.jpeg

27076128-7FF5-4118-B3B9-277BF759CDA8.jpeg

18D979C4-1184-4C8F-81B6-5CCDDFBDA7FD.jpeg

Hao virus wawili tofauti wanaweza sababisha dalili za ugonjwa unaofanana. Hila treatment zake za kwenye modification ya immune system ili ziweze kabiliana na virus aziwezi fanana kwa sababu they attack differently.

Mpaka hapo kama ujaelewa bado nikutakie mchana mwema 👋
 
Nimezielewa hoja za brazaj
Hasa ukizingatia eneo ulipoibukia huo ugonjwa limepakana na nchi jirani ambayo nayo ilifikwa na ugonjwa wa Ebola.
Tatizo letu ni kujifanya kujua. Mambo ya kiyasansi yanathibitishwa maabara siyo ngonjera za hoja ingekuwa hivyo watu hospitali wasingepimwa maana dalili za magonjwa zinafanana kwa hiyo ingebaki tiba ya kumsikiliza mgonjwa na kung'amua bila kuchukua vipimo maabara

Kwani hiyo Marburg haijawahi kulipuka Uganda na nchi zingine za afrika

Je haiui watu kama ebola? Angalia CFR yake ndipo useme usiishie tu kugoogle nenda kwenye journal za kisayansi kama Nature Immunology/Microbiology/medicine, frontiers in medicine, mdpi, NEJM . Umeshindwa ingia website ya who usome machapisho kuhusu haya magonjwa

Screenshot_20230323-170024_Samsung Internet.jpg
 
Tatizo letu ni kujifanya kujua. Mambo ya kiyasansi yanasibitishwa maabara siyo ngonjera za hoja ingekuwa hivyo watu hospitali wasingepimwa maana dalili za magonjwa zinafanana kwa hiyo ingebaki tiba ya kumsikiliza mgonjwa na kung'amua bila kuchukua vipimo maabara

Kwani hiyo Marburg haijawahi kulipuka Uganda na nchi zingine za afrika

Je haiui watu kama ebola? Angalia CFR yake ndipo useme usiishie tu kugoogle nenda kwenye journal za kisayansi kama Nature Immunology/Microbiology/medicine, frontiers in medicine, mdpi, NEJM . Umeshindwa ingia website ya who usome machapisho kuhusu haya magonjwa

View attachment 2562797
Mkuu, mimi nimeeleza tu nilichoelewa kutoka kwa mleta uzi. Haya magazeti yako unaweza kuendelea kumchapishia mleta uzi.
 
Huu ugonjwa naona wizara ya Afya ingetuambia ulipotokea ingependeza zaidi, watuambie wagonjwa/marehemu waliopatikana nao kama walikuwa na movement na nchi jirani, hasa Uganda ambao hivi karibuni walikuwa na cases za Ebola.

Lakini kitendo chao cha kutaja jina la ugonjwa pekee, ambazo dalili zake kwa kiasi kikubwa zinafanana na zile za Ebola, ndiko kunakozua maswali na hisia tofauti zilizosababisha mleta mada kuja na haya mawazo yake.
 
Hii sasa inakuwa shughuli ya kutwanga maji kwenye kinu.

Umeshaelezwa ‘communicable disease’ moja ya sababu za wake ni virus kuhama kutoka from one host to another.

Kwenye kuama kwao ndio kunasababisha magonjwa, virus ata sisi binadamu tunaishi nao wengine ni harmful others aren’t. Maana yake nini virus anaweza kuishi kwa mnyama mmoja bila ya madhara ila akiamia kwa kiumbe mwingine akasababisha madhara.

Marburg ni virus ambae ni common kwa ‘green monkies’ wanaopatikana Uganda, ambao wakiamia kwenye mwili wa binadamu wanaleta madhara, na binadamu alievamiwa na Marburg anaweza sambaza kwa njia zingine na kusababisha epidemic.
View attachment 2562800

View attachment 2562802

View attachment 2562803

Hao virus wawili tofauti wanaweza sababisha dalili za ugonjwa unaofanana. Hila treatment zake za kwenye modification ya immune system ili ziweze kabiliana na virus aziwezi fanana kwa sababu they attack differently.

Mpaka hapo kama ujaelewa bado nikutakie mchana mwema 👋

Mkuu 2 + 2 = 4 kuwa ni jibu sahihi hakuna maana kama umejibu ambacho hujaulizwa. Kwa maana nyingine ni kuwa ni sahihi ila irrelevant.

Nikutoe shaka. Ninajua Ebola ni nini na Marburg ni nini. Ninajua pia kufanana na hata kutofautiana kwake ni kupi kisayansi. Ninajua unayajua hayo pia. Kwa kuheshimu ujuzi wako nimekupongeza kiroho safi na wala si mara moja.

Hata hivyo nimekukumbusha mara kadhaa kuwa hayo ni narratively correct but irrelevant.

Mkononi kuna mada ambayo iko live. Mara kadhaa nimekupa preamble na maswali matano ikikupendeza kuyajibu.

Bila kujibu angalau moja katika maswali hayo nimekukumbusha mara kibao maelezo yako yaliyo sahihi kama 2 + 2 = 4, yaliyo nje ya mada yanakuwa hayana maana (yaani irrelevant).

Ninaamini maswali hayo umeyaona. Si kuwa majibu huna ila umependa kuyakimbia.

Zingatia sijakulazimisha kujibu. Kwa maana hata kimya ni jibu pia.

Kumbuka mara zote nimekuwa nikiandika "ikikupendeza" kwa maana kuwa uko huru kujibu, kukataa kujibu au kukaa kimya.

Mwenye macho haambiwi tazama. Asante kutuelewa:

"Hatupendi kupelekeshwa kama mbuzi wakati katika rehani ni maisha yetu."

Habari ndiyo hiyo.
 
Huu ugonjwa naona wizara ya Afya ingetuambia ulipotokea ingependeza zaidi, watuambie wagonjwa/marehemu waliopatikana nao kama walikuwa na movement na nchi jirani, hasa Uganda ambao hivi karibuni walikuwa na cases za Ebola.

Lakini kitendo chao cha kutaja jina la ugonjwa pekee, ambazo kwa kiasi kikubwa zinafanana na zile za Ebola, ndiko kunakozua maswali na hisia tofauti zilizosababisha mleta mada kuja na haya mawazo yake.

Mkuu wakija na majibu hayo nistue niko pale ninasubiri.

"Happy Nation, Frester, Majinja, Travellers na mengine yanapozidi kukata nyika mida hii yakiwa njia moja kuelekea makao makuu Dodoma. Alfajiri kesho Mungu mkubwa yatakuwa mjini, MBT."

Mola atunusuru.
 
Mkuu 2 + 2 = 4 kuwa ni jibu sahihi hakuna maana umejibu ulichoulizwa. Kwa maana nyingine ni kuwa ni sahihi ila irrelevant.

Nikutoe shaka. Ninajua Ebola ni nini na Marburg ni nini. Ninajua pia kufanana na hata kutofautiana kwake ni kupi kisayansi. Ninajua unayajua hayo pia. Kwa kuheshimu ujuzi wako nomekupongeza na wala si mara moja.

Hata hivyo nimekukumbusha mara kadhaa kuwa hayo ni narratively correct but irrelevant.

Mkononi kuna mada ambayo iko live. Mara kadhaa nomekupa preamble na maswali matano ikikupendeza kuyajibu.

Bila kujibu angalau moja katika maswali hayo nimekukumbusha mara kibao maelezo yako yaliyo sahihi kama 2 + 2 = 4, yaliyo nje ya mada yanakuwa hayana maana (yaani irrelevant).

Ninaamini maswali hayo umeyaona. Si kuwa majibu huna ila umependa kuyakimbia.

Zingatia sijakulazimisha kujibu. Kwa maana hata kimya ni jibu pia.

Kumbuka mara zote nimekuwa nikiandika "ikikupendeza" kwa maana kuwa uko huru kujibu, kukataa kujibu au kukaa kimya.

Mwenye macho haambiwi tazama. Asante kutuelewa:

Hatupendi kupelekeshwa kama mbuzi wakati katika rehani ni maisha yetu.

Habari ndiyo hiyo.
Na mimi nikuulize swali moja

Suppose your right

Je Ebola na Marburg kwasababu dalili zake ugonjwa zinafanana. Je, na njia zake za kutibu hayo magonjwa mawili na zenyewe ni sawa?

Kama kuna tofauti, kwanini?
 
Mkuu huu si uzi wangu wa kwanza kuhusiana na ugonjwa huu:

Ugonjwa wa ajabu Kagera uchunguzi siku ngapi?

Hatupendi mnavyotuchukulia poa. Alisema JPM, "mtanzania wa leo siyo yule wa jana, " mwisho wa kumnukuu.

Nikirudi kwenye bandiko lako hili la sasa:

"Honestly kwa nini nijibu maswali yako mawili sasa wakati wewe umekataa kujibu hata moja katika matano niliyokupa? Hii ikiwa ni pamoja na kukubembeleza mno, kuliko hata tunavyobembeleza demu ili upate japo kujibu hata moja tu?" (Excuse my language).

Ninakazia tena:

Samahani kwa lugha hii ninayolazimika kuinukuu kutokea kwa Mwenyekiti Mbowe, katika mazingira magumu kuwashawishi watu wenye roho ngumu kuliko za paka.
 
Mkuu, mimi nimeeleza tu nilichoelewa kutoka kwa mleta uzi. Haya magazeti yako unaweza kuendelea kumchapishia mleta uzi.

"Hayo magazeti inaitwa janja ya nyani kula mahindi mabichi."

Tuna mada au maswali matano tu kwao rahisi kabisa.

Tunaelekea post ya 300 sasa hakuna aliyethubutu kujibu moja.

Hii ni wakati Happy Nation #1 unaongoza convoy ya vyuma vile kutokea Kaitaba.

Mola atufanyie wepesi.
 
Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola.

Tambua kuwa:

Tangu lini uswahilini neno Marburg likafahamika? Kwani gonjwa hili lilipokuwa Congo, Uganda, Guinea, Gabon, Sierra Leone au Liberia tuliwahi liita Marburg?

Majibu kwa maswali 2 haya ingekuwa la msaada sana.

Hapa ilikuwa ni kukazia tu:

Katika kinachoitwa kuepuka taharuki gonjwa halipewi umuhimu wala coverage yoyote ya maana kwenye media zetu. Kwetu Simba au Yanga kwenda robo fainali ni habari kubwa, Lakini si gonjwa hili.

Mengine haya yakiwa ni maswali yatokanayo kama ikikupendeza:

1. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?
2. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?
3. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?
Majibu ya maswali yako matano
1. Kwanini huo ugonjwa ulipokua nchi tofauti uliitwa Ebola
Jibu
Marburg sio Ebola kwa sababu hayo ni majina ya virus wenye features tofauti chini ya microscope so awawezi pewa jina moja.

2. Tangu lini neno Marburg likafahamika uswalini na kwanini lisiitwe Ebola tu.
Jibu
Ni virus wawili ambao wamebainishwa kwa vipimo vya science

3. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda.
Jibu
Uganda imeshapata hiyo epidemic huko nyuma, na virus Marburg natural habitat yake ni Green Monkeys; wanaopatikana Uganda.

Kwa upande wa Tanzania Kagera inapakana na Uganda na wenyeji wana interactions daily kwa namna communicable disease zinavyosambaa its fair to assume source yake ni Uganda.

4. Je Ugonjwa una dalili zilezile za ugonjwa uliotokomezwa Uganda.
Jibu
Uganda ishapata Ebola na Marburg na dalili zinafanana, sample za virus ni tofauti Kwa ivyo na magonjwa ni tofauti.

Tanzania imepima sample ya virus wamebaini ni Marburg na Uganda walishakuwa nayo.

5. Ugonjwa uliotokemezwa Uganda ulikuwa upi.

Uganda ishapata milipuko ya magonjwa yote kwa nyakati tofauti Ebola na Marburg; wanajua tofauti kutokana na tofauti ya sample za virus zake na namna ya kutibu ivyo vitu viwili tofauti.
 
Na mimi nikuulize swali moja

Suppose your right

Je Ebola na Marburg kwasababu dalili zake ugonjwa zinafanana. Je, na njia zake za kutibu hayo magonjwa mawili na zenyewe ni sawa?

Kama kuna tofauti, kwanini?
Haya na wewe jibu hilo swali?
 
Wewe unajifanya mjuaji sana unaeleweshwa lakini kichwa chako ni kama cha mbuzi hakisikii mpaka kiwe kwenye chungu.

Vitu vya kisayansi kama siyo mtaalamu kaa kimya usubiri kueleweshwa siyo kushupaa.

Haya ni magonjwa mawili tofauti yanayosababishwa na virus wawili tofauti walioko jamii moja

Ebola iligundulika huko congo katika mto Ebola na ndiyo maana wakaiita Ebola virus hili siyo neno la kiswahili

Marburg iligundulika huko Marburg ujerumani na ndiyo maana kirusi kikaitwa Marburg

Namna ya kutoa majina kwa virus imebadilika siku hizi zamani vingi vilikuwa vinapewa majina kulingana na eneo kinapogundulikaView attachment 2562753

Haya ya kujifanya unayapata wapi ndugu? Kujifanya si lugha staha. Nami nikikwambia unajifanya mjuaji utasema je? Kwani wewe nani?

Zingatia lugha mjomba humu hatujuani. Usinitishe wala usinifokee!

Ulichoandika ni sawa na 2 + 2 = 4. Yaani correct but irrelevant.

Kama una nia ya mjadala wenye tija pana maswali matano hapa kama ikikupendeza:

Tangu lini uswahilini neno Marburg likafahamika? Kwani gonjwa hili lilipokuwa Congo, Uganda, Guinea, Gabon, Sierra Leone au Liberia tuliwahi liita Marburg?

Mawili hayo kutokea katika preamble hii:

Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola.

Na mkazo huu:

Katika kinachoitwa kuepuka taharuki gonjwa halipewi umuhimu wala coverage yoyote ya maana kwenye media zetu. Kwetu Simba au Yanga kwenda robo fainali ni habari kubwa, Lakini si gonjwa hili.

Maswali matatu ya mwisho ni haya hapa:

. Huu ugonjwa ni logical kudhani umetokea Uganda. Kweli?
2. Huu ugonjwa una dalili zile zile kama walioutokomeza Uganda majuzi. Kweli?
3. Ugonjwa uliotokomezwa majuzi Uganda karibu na kagera ulikuwa ni ebola. Kweli?

Ninakazia
:

Ikikupendeza ndugu mjumbe.
 
Ila Congo, Uganda, Gabon, Guinea, Sierra Leone, Liberia na kote kwingine mliita ebola isipokuwa Tanzania?

Hudhani muanze kurekebisha kwanza kule mlikokuwa mlikosea kama leo ndiyo sahihi sasa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikwambia tumia hekima chief. Hujataja nchi zilizopigwa na marburg unajua hapo, halafu zipo na data zipo[emoji23][emoji23][emoji23]. Kuna vitu vingine hata nikukuuliza utaishia kugoogle, mambo ya virulence, fatality na mengineyo. Nakama ungekuwa msomaji mzuri ungekurana na articles nyingi ambazo zingekudhihirishia kwanini waliofariki ni watu wakaribu sana yaani ndugu pamoja na mtoa huduma. Chief unaijua virulence ya Ebola[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], ungesikia kijiji kizima kishaenda, tulia mkuu kwenye taharuki ukipaniki ndio unakufa sasa. Infectious disease team inakazi aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa siungeikimbia familia wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
Back
Top Bottom