Tunapoichukulia poa Ebola hata kuiita majina yasiyojulikana ni hatari

Tunapoichukulia poa Ebola hata kuiita majina yasiyojulikana ni hatari

Marburg virus has killed five people in Tanzania's north-western Kagera region, the health ministry has said.
High fever is a common symptom of the deadly Ebola-like virus, often followed by bleeding and organ failure.
Tanzania's Health Minister Ummy Mwalimu said the disease had been contained and she was confident it would not spread further.
Three people are being treated in hospital and authorities are tracing 161 contacts, Ms Mwalimu added.
Tanzania's strategy to control the spread was praised by the World Health Organization (WHO
).
Soma mada usirukie treni kwa mbele. Uswahilini hakuna google. Maisha yako uswahilini siyo kwenye google wala mitandaoni.

Rwanda on Marburg alert after Tanzania outbreak

Ebola-like Marburg virus kills five people in Tanzania
Toka kwenye hiyo link, Serikali imepongezwa na shirika la afya Duniani Kwa kuchukua hatua stahiki za kudhibiti kuenea huo ugonjwa.......wewe wa Kiloleli unaponda.
 
Hakuna media ya Tanzania imetamka neno ebola kwa mara ya kwanza tangia ugonjwa huu ulipoingia nchini.

Japo hilo ndilo jina likitumika kokote ulikokuwapo kabla.

Ghafla koleo limegeuka kuwa a big spoon.

Janja janja hizi kwa maslahi ya nani?

Ruble mwongozo wako tafadhali
Kuna daktari mmoja leo alikuwa anatoa elimu na akasema kuhusu huo ugonjwa. Dalili zote alizozitaja ni za Ebola.
 
Marburg virus has killed five people in Tanzania's north-western Kagera region, the health ministry has said.
High fever is a common symptom of the deadly Ebola-like virus, often followed by bleeding and organ failure.
Tanzania's Health Minister Ummy Mwalimu said the disease had been contained and she was confident it would not spread further.
Three people are being treated in hospital and authorities are tracing 161 contacts, Ms Mwalimu added.
Tanzania's strategy to control the spread was praised by the World Health Organization (WHO
).

Toka kwenye hiyo link, Serikali imepongezwa na shirika la afya Duniani Kwa kuchukua hatua stahiki za kudhibiti kuenea huo ugonjwa.......wewe wa Kiloleli unaponda.

Kwani mkuu hapo sasa ndiyo umesema nini au hujasema nini?

Mada umeisoma lakini?

Zingatia 2 + 2 = 4. Kweli kabisa lakini sasa ni relevant?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikwambia tumia hekima chief. Hujataja nchi zilizopigwa na marburg unajua hapo, halafu zipo na data zipo[emoji23][emoji23][emoji23]. Kuna vitu vingine hata nikukuuliza utaishia kugoogle, mambo ya virulence, fatality na mengineyo. Nakama ungekuwa msomaji mzuri ungekurana na articles nyingi ambazo zingekudhihirishia kwanini waliofariki ni watu wakaribu sana yaani ndugu pamoja na mtoa huduma. Chief unaijua virulence ya Ebola[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], ungesikia kijiji kizima kishaenda, tulia mkuu kwenye taharuki ukipaniki ndio unakufa sasa. Infectious disease team inakazi aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa siungeikimbia familia wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Labda angalia posts #289, 288 na #296 kujiridhisha kuwa haujabakia nyuma.

Ikikupendeza mkuu.
 
Unaijua contact tracing chief[emoji23][emoji23][emoji23] na unajua kwanini ugonjwa kuucontain ni rahisi[emoji23][emoji23][emoji23], mkuu halafu nikupe habari, wagonjwa watatu wapo fresh kabisa nammoja anaendelea na usafishaji wa figo maana alikuwa nailo tatizo. [emoji38][emoji38][emoji38] acha taharuki utakufa, utapata hypochondriasis ujiue kwamental disorders za ajabu. By the way ukipata maana ya hypochondriasis utajua unasumbuliwa na tatizo gani lakiakili[emoji23][emoji23][emoji23]

Ninakazia:

Posts #289, 288 na #296 zinakuhusu.

Ikikupendeza mkuu.
 
Hayapo mashindano lakini. Kumbe wewe ulikuwa kwenye ligi?
Mimi nimesema yaishe kwakuwa hata nikuelezeeje utakuja pinga nielezee scientifically au kwalugha rahisi, bado utapinga. Hivyo bora niache tu! Umeshinda
 
Tumekumbwa gonjwa hatari lenye kuuwa hadi 90% ya wahanga.

Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola.

View attachment 2562190

"Kwamba tumependa kutoliita koleo kwa jina lake."

Maajabu ya Mussa.

Tangu lini uswahilini neno Marburg likafahamika? Kwani gonjwa hili lilipokuwa Congo, Uganda, Guinea, Gabon, Sierra Leone au Liberia tuliwahi liita Marburg?

Katika kinachoitwa kuepuka taharuki gonjwa halipewi umuhimu wala coverage yoyote ya maana kwenye media zetu. Kwetu Simba au Yanga kwenda robo fainali ni habari kubwa, Lakini si gonjwa hili.

Maisha yanaendelea kama vile kila kitu ni sawa.

Ya nini kutoambiana ukweli wote tukajipanga kukabiliana nalo ana kwa ana kama nchi?

Kwenye tahadhali zilizotolewa na wizara katika namna za kujikinga, kutogusana nayo imo. Inawezekana namna gani kwenye maisha yetu ya kawaida watu kutokugusana masokoni, magulioni, mashuleni, makanisani, misikitini, kwenye mabasi au kwenye madala dala?

Ebola si ya maji tiririka, barakoa, michaichai, matango pori wala upigaji nyungu.

Walioyasikia ya kwetu wameshtuka kuliko sisi wakati sisi tukichukulia poa. Dhidi ya gonjwa hili dunia tayari inatunyanyapaa.

Angalia Rwanda, The New Times - Rwanda on Marburg alert after Tanzania outbreak

Angalia mabeberu, BBC News - Ebola-like Marburg virus kills five people in Tanzania

Coverage zao ni makini na kamilifu (extensive and focussed). Kwetu wenge la awamu ile na njama za mabeberu bado lingalipo.

Kwanini watu wasiambiwe ukweli wote kukiwa kungali mapema? Ya nini kujidanganya?

Magonjwa haya si vita (vya kiuchumi). Ebola si corona ambayo kuuwa kwake kulikuwa hadi 2%. Hiyo hata ikihusianisha uzee na uwepo wa magonjwa mengine pia.

Kwa hakika kwenye ugonjwa huu tusipoamka mapema, usanii wetu uliozoeleka utatuumbua.
Kama kawaida jf na madokta mwitu na wataalam wa kila kitu mmekuja
 
ID za msaada kama hizi:

View attachment 2562470

Huwa tunazitegemea hali ikiwa Tete.

Posts 34 Kwa miaka 5?

Mtawachuuza wajinga tu.
Sijaelewa. Yani wewe unahisi umeandika vitu vya maana sana kwenye huu uzi hadi watu wanatumia fake id kukujibu. Yani watu tuwe na "hali tete" kwasababu ya huu uchafu ulioandika humu? Au unataka kumaanisha nini.
 
Mimi nimesema yaishe kwakuwa hata nikuelezeeje utakuja pinga nielezee scientifically au kwalugha rahisi, bado utapinga. Hivyo bora niache tu! Umeshinda

Ila miye siko kwenye mashindano mkuu. Tufanye umeshinda wewe uliyekuwa kwenye ligi.
 
Sijaelewa. Yani wewe unahisi umeandika vitu vya maana sana kwenye huu uzi hadi watu wanatumia fake id kukujibu. Yani watu tuwe na "hali tete" kwasababu ya huu uchafu ulioandika humu? Au unataka kumaanisha nini.
Kweli hujaelewa mkuu. 🤣🤣

Wapi nimesema nimeandika vitu vya maana?

Kwani ume escape kutokea wapi ndugu? 🤣🤣
 
Back
Top Bottom