Tunapoichukulia poa Ebola hata kuiita majina yasiyojulikana ni hatari

Tunapoichukulia poa Ebola hata kuiita majina yasiyojulikana ni hatari

Haukuwahi kutokea kabla that's why ... Though umewahi kutokea kwa majirani zetu ... marburg na Ebola wote ni virus wanatokea family moja .. Filoviridae.. same symptoms different severity ... No Definitive Treatment ... marburg ni marburg ... kiswahili chake hakipo labda ulitaka waite vipi??

cc Bakita kwa definition ya marburg

Zingatia Tanzania imekuwa ikiripoti kwingine kote kila haemorrhagic fever kama ebola hata wakati hazikuwa.

Ndiyo maana uswahilini ukisema ebola watu wanajua ni huu ugonjwa wenye dalili, visababishi na madhara kama ya huu.

Zingatia mada. Kama ugonjwa wenye mazagazaga yote uswahilini unajulikana kama ebola, kulikoni mbwa wazee hawa na jina jipya Marburg?

Kwani madhumuni ya jina yanaishia wapi?

Ni hayo tu ndugu mjumbe.
 
Kweli hujaelewa mkuu. [emoji1787][emoji1787]

Wapi nimesema nimeandika vitu vya maana?

Kwani ume escape kutokea wapi ndugu? [emoji1787][emoji1787]
Najua hujaandika chochote cha mana ndo mana nimekuuliza inawezekana wewe unahisi umeandika kitu cha maana au kuna kitu serikali inajaribu kuficha afu wewe ndo umekigundua [emoji2] thats why watu tunatumia fake id kukujibu yani wanakuogopa[emoji38]
 
Zingatia Tanzania imekuwa ikiripoti kwingine kote kila haemorrhagic fever kama ebola hata wakati hazikuwa.

Ndiyo maana uswahilini ukisema ebola watu wanajua ni huu ugonjwa wenye dalili, visababishi na madhara kama ya huu.

Zingatia mada. Kama ugonjwa wenye mazagazaga yote uswahilini unajulikana kama ebola, kulikoni mbwa wazee hawa na jina jipya Marburg?

Kwani madhulumuni ya jina yanaishia wapi?

Ni hayo tu ndugu mjumbe.
ha ha haaa kwamba Tanzania imekuwa ikireport kama Ebola hata kama siyo?

Tuanzie hapa .. una uhakika gani kuwa Tz imekuwa ikiripoti kuwa ni ebola hata kama siyo?

Unataka tutumie uswahili kwenye scientific issue?

kuwepo kwa ebola hakuzuii Magonjwa mengine yanayofanana na hayo.

NB. kila linapitokea tishio la binadamu kidunia ... WHO huwa inamount effort zote .. hiyo issue hugeuka kuwa ya kidunia siyo issue ya nchi moja tuu.

Kuna watu wanazungumza with evidence ... siera leone wakati inapigwa na Ebola Tz tulishiriki sijui kama unajua?

Yaani huwezi ficha kitu kinachotishia uhai wa specie inayoitwa binadamu hapa duniani?

Do you think ni Lab ya Tz tuu ndo imepima hizo sample?

Marbug na Ebola ni tishio la kidunia hivyo huwezi achiwa mwenyewe .. ulimwengu unahitaji kupambana ilu ku-save ... utahitaji mafunzo+funds+drugs ... sasa unafikiri wale jamaa duniani utawapelekea kitu hakieleweki wakubali tuu?
 
Ndiyo,ni magonjwa mawili tofauti yasababishwayo na viruses wa aina mbili tofauti,yaani Ebola virus na Marburg virus.
Malaria ni ugonjwa na Plasmodium ni mdudu asababishaye malaria,na ni kweli malaria ndio ifahamikayo mtaani sio plasmodium.

Kwa kuwa umesema mwenyewe hayo ni magonjwa mawili tofauti,unadhani ni sahihi kwamba baada ya wataalam wa afya kuthibitisha kuwa,huo ni ugonjwa wa Marburg na sio Ebola,watangaze kuwa ni ebola hata kama yanafanana kwa asilimia kubwa?

Na sababu kuu ya kuudanganya uma iwe ni kuwa "uswahilini hawautambui marburg bali ebola"

Mkuu,hata kama Marburg virus disease na Ebola virus disease yanafanana kwa asilimia kubwa,lakini huwezi kuita Ebola- marburg na marburg-ebola.Ni magonjwa tofauti,yasababishwayo na wadudu tofauti.
Nimechelewa kuuona huu uzi.

Ila nilipofungua kabla sijasoma nikakuta mwandishi Ni brazaj nikatabasamu Kisha nikaanza kusoma na kupitia maoni ya watu.

Mkuu,

Hawa ndiyo watu wanaokimbilia ajali na kuwahi kureport kwenye social media "watu 20 wamekufa papo hapo kwenye ajali ya basi"

Siku serikali ikitangaza kwenye ile ajali walikufa watu 7 na majeruhi 25 utamsikia Tena anakuja na nyuzi kila platform na vichwa vya habari "serikali inapata faida gani kuficha vifo vya waliokufa kwenye ajali ya basi?" .Unaishia kumsamehe mtu Kama huyu kwani tatizo lake Ni moja tu; amekosa exposure ya mambo ya afya. Hakujua kuwa Kuna ambao walizimia wakazinduka baadae na Kuna ambao walifanyiwa cardio pulmonary resuscitation (CPR) na huduma zingine za 1st aid na kimatibabu kisha wakaamka nankuendela na maisha.Ila Hawa watu wakiona damu na mtu yupo kimya anahesabiwa Kama amekufa na kufunikwa khanga hadi kichwani.

Kwa matukio Kama haya Unaishia kujiuliza Sasa serikali inapata faida gani ikificha vifo vya ajali?

Serikali inapata faida gani ikificha ugonjwa eti wananchi wasijue huu ugonjwa ni Ebola?

Je, Serikali ikisema ukweli kuwa huu ugonjwa ni Ebola si ndiyo wananchi watachukua taadhari kwa umakini zaidi?

Mara ya mwisho nakumbuka ilikuwa mwezi February nilipoona video kwenye hospital ya serikali inayosisitiza tahadhari na njia za kujikinga dhidi ya Ebola na Nini Cha kufanya endapo utahisi kuna mgonjwa wa Ebola kwenye familia yako. Hii ilikuwa ni tangu ulipoibuka huu ugonjwa wa ebola kule Congo. Sasa kwa nini leo ionekane serikali inaficha wananchi wasijue ni Ebola. Kwa taaruki ipi? Kwa kuogopa nini?

Nimeshawahi kuingia kwenye majibizano na mleta mada juu ya mambo ya afya hasa suala la Corona na chanjo na Hakuna hoja ya maana aliyoongea zaidi ya siasa. brazaj ,mimi nadhani endelea kujikita na maswala ya siasa,huku kwenye afya upo shallow,achana na contents na links za kuokoteza Kisha unashusha threads. Yes utapa likes na replies nyingi za kukusuport lakini wewe ni mweupe hujui chochote kuhusu afya. Huku omba msada na siyo vinginevyo.
 
Tumekumbwa gonjwa hatari lenye kuuwa hadi 90% ya wahanga.

Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola.

View attachment 2562190

"Kwamba tumependa kutoliita koleo kwa jina lake."

Maajabu ya Mussa.

Tangu lini uswahilini neno Marburg likafahamika? Kwani gonjwa hili lilipokuwa Congo, Uganda, Guinea, Gabon, Sierra Leone au Liberia tuliwahi liita Marburg?

Katika kinachoitwa kuepuka taharuki gonjwa halipewi umuhimu wala coverage yoyote ya maana kwenye media zetu. Kwetu Simba au Yanga kwenda robo fainali ni habari kubwa, Lakini si gonjwa hili.

Maisha yanaendelea kama vile kila kitu ni sawa.

Ya nini kutoambiana ukweli wote tukajipanga kukabiliana nalo ana kwa ana kama nchi?

Kwenye tahadhali zilizotolewa na wizara katika namna za kujikinga, kutogusana nayo imo. Inawezekana namna gani kwenye maisha yetu ya kawaida watu kutokugusana masokoni, magulioni, mashuleni, makanisani, misikitini, kwenye mabasi au kwenye madala dala?

Ebola si ya maji tiririka, barakoa, michaichai, matango pori wala upigaji nyungu.

Walioyasikia ya kwetu wameshtuka kuliko sisi wakati sisi tukichukulia poa. Dhidi ya gonjwa hili dunia tayari inatunyanyapaa.

Angalia Rwanda, The New Times - Rwanda on Marburg alert after Tanzania outbreak

Angalia mabeberu, BBC News - Ebola-like Marburg virus kills five people in Tanzania

Coverage zao ni makini na kamilifu (extensive and focussed). Kwetu wenge la awamu ile na njama za mabeberu bado lingalipo.

Kwanini watu wasiambiwe ukweli wote kukiwa kungali mapema? Ya nini kujidanganya?

Magonjwa haya si vita (vya kiuchumi). Ebola si corona ambayo kuuwa kwake kulikuwa hadi 2%. Hiyo hata ikihusianisha uzee na uwepo wa magonjwa mengine pia.

Kwa hakika kwenye ugonjwa huu tusipoamka mapema, usanii wetu uliozoeleka utatuumbua.
Mkuu umetoa taadhari nzuri... Ila jaribu kujielimisha zaidi juu ya magonjwa mbali mbali, watu waliosomea afya wanakushangaa, unapotaka kuaminisha Ebola ni Marburg... kisa msamiati Marburg kwenye kiswahili haupo,.... Sasa Kama ugonjwa wenyewe haujawahi tokea kabla uswahilini watu wangejuaje huo msamiati....... Kiufupi Mimi Neno Marburg nimekutana nalo 2007 wakati nasomea afya, magonjwa mengine yanayofanana na Marburg ni Ebola, chikungunya na dengue yote haya yaitwa hemorrhagic disease , hivyo neno Marburg sio jipya ....
 
Majibu yake yako #296
mzee huna unachojua asee ... Ebola ni Ebola na ina case definition yake inayoifanya kuitwa Ebola. labda tukuulize ulikuwa unawajua family ya corona viruses?

and they were there since 1967... 2002 etc mpaka 2019 mbona haukutaka corona viruses iitwe Asthma kwa kuwa neno asthma linajulikana uswekeni?

ikitokea ebola itaitwa ebola ... like. wise marburg ni marbug.

peleka wanao shule huu ujinga usiwafuate wanao maisha yao yote.
 
Issue ni kwamba wewe marburg umeisikia last week, ndio maama unalazimisha iitwe Ebola ha ha haaa.

Huku kuna kitu kinaitwa case definition.... sasa mzee wewe huna hata ABC za medicine unabisha bila kuwa na evidence?

Au wewe ndo wale wa malaria yangu naijua?
Watu wa siasa Hawa,wasikusumbue kichwa mkuu.

Hawa ndiyo wakishika madaraka wanawalazimisha wataalamu waseme wanavyofeel wao na siyo Hali halisi ilivyo. Na Mara nyingi hawapendi kushindwa au kuonekana hawaju

Hawa wakiwahi kwenye tukio la ajali ndiyo umfunika khanga Hadi kichwani kila mtu ambae amelala kimya na kuandika mtandaoni RIP. Serikali ikija kutangaza idadi ya vifo Ni watu watatu wanaibuka Tena kwa nguvu mishipa ya shingo umesimama " serikali iache kudanganya,nimeshuhudia kwa macho yangu wamekufa watu 13 tena Mimi nilikuwa nimeshiriki kuwasitiri" Kumbe Kuna mambo ya kitaalamu yalifanyika Kama CPR na Kuna ambao walizimia tu wakaamka baadae.

Hawa watu hawapendi kuwasikiliza wataalamu wanasema nini. Wao wanashikilia misimamo isiyo na mantiki na kucreate attention mitandaoni.

"serikali ijitokeze kusemaa ukweli kwamba huu ugonjwa ni Ebola na si kufichaficha,mbona nchi fulani jirani wamenyooka na kutoa tahadhari kwa raia wao"

"serikali iache kulishughulikia hili Jambo Kama enzi ya Corona. Jiwe hayupo,Sasa kwa Nini inaendesha mambo ya hovyo Kama enzi zile za Corona?"
 
Nimechelewa kuuona huu uzi.

Ila nilipofungua kabla sijasoma nikakuta mwandishi Ni brazaj nikatabasamu Kisha nikaanza kusoma na kupitia maoni ya watu.

Mkuu,

Hawa ndiyo watu wanaokimbilia ajali na kuwahi kureport kwenye social media "watu 20 wamekufa papo hapo kwenye ajali ya basi"

Siku serikali ikitangaza kwenye ile ajali walikufa watu 7 na majeruhi 25 utamsikia Tena anakuja na nyuzi kila platform na vichwa vya habari "serikali inapata faida gani kuficha vifo vya waliokufa kwenye ajali ya basi?" .Unaishia kumsamehe mtu Kama huyu kwani tatizo lake Ni moja tu; amekosa exposure ya mambo ya afya. Hakujua kuwa Kuna ambao walizimia wakazinduka baadae na Kuna ambao walifanyiwa cardio pulmonary resuscitation (CPR) na huduma zingine za 1st aid na kimatibabu kisha wakaamka nankuendela na maisha.Ila Hawa watu wakiona damu na mtu yupo kimya anahesabiwa Kama amekufa na kufunikwa khanga hadi kichwani.

Kwa matukio Kama haya Unaishia kujiuliza Sasa serikali inapata faida gani ikificha vifo vya ajali?

Serikali inapata faida gani ikificha ugonjwa eti wananchi wasijue huu ugonjwa ni Ebola?

Je, Serikali ikisema ukweli kuwa huu ugonjwa ni Ebola si ndiyo wananchi watachukua taadhari kwa umakini zaidi?

Mara ya mwisho nakumbuka ilikuwa mwezi February nilipoona video kwenye hospital ya serikali inayosisitiza tahadhari na njia za kujikinga dhidi ya Ebola na Nini Cha kufanya endapo utahisi kuna mgonjwa wa Ebola kwenye familia yako. Hii ilikuwa ni tangu ulipoibuka huu ugonjwa wa ebola kule Congo. Sasa kwa nini leo ionekane serikali inaficha wananchi wasijue ni Ebola. Kwa taaruki ipi? Kwa kuogopa nini?

Nimeshawahi kuingia kwenye majibizano na mleta mada juu ya mambo ya afya hasa suala la Corona na chanjo na Hakuna hoja ya maana aliyoongea zaidi ya siasa. brazaj ,mimi nadhani endelea kujikita na maswala ya siasa,huku kwenye afya upo shallow,achana na contents na links za kuokoteza Kisha unashusha threads. Yes utapa likes na replies nyingi za kukusuport lakini wewe ni mweupe hujui chochote kuhusu afya. Huku omba msada na siyo vinginevyo.
Ni changamoto kidogo kujadiliana naye,maana anakuja na wazo lake ambalo si sahihi,afu analazimisha wote mkubaliane naye,akikosolewa na kujiona amekosea anapindisha hoja ionekane kwamba yeye yupo sahihi hata kwa kukataa hoja zake mwenyewe alizoandika awali.Ni mbishi kwa lengo la kushinda sio kueleweshana.
 
Najua hujaandika chochote cha mana ndo mana nimekuuliza inawezekana wewe unahisi umeandika kitu cha maana au kuna kitu serikali inajaribu kuficha afu wewe ndo umekigundua [emoji2] thats why watu tunatumia fake id kukujibu yani wanakuogopa[emoji38]

🤣🤣 Dkt. Mollel ..

FpojyuNWIAAJNp3.jpeg
 
ha ha haaa kwamba Tanzania imekuwa ikireport kama Ebola hata kama siyo?

Tuanzie hapa .. una uhakika gani kuwa Tz imekuwa ikiripoti kuwa ni ebola hata kama siyo?

Unataka tutumie uswahili kwenye scientific issue?

kuwepo kwa ebola hakuzuii Magonjwa mengine yanayofanana na hayo.

NB. kila linapitokea tishio la binadamu kidunia ... WHO huwa inamount effort zote .. hiyo issue hugeuka kuwa ya kidunia siyo issue ya nchi moja tuu.

Kuna watu wanazungumza with evidence ... siera leone wakati inapigwa na Ebola Tz tulishiriki sijui kama unajua?

Yaani huwezi ficha kitu kinachotishia uhai wa specie inayoitwa binadamu hapa duniani?

Do you think ni Lab ya Tz tuu ndo imepima hizo sample?

Marbug na Ebola ni tishio la kidunia hivyo huwezi achiwa mwenyewe .. ulimwengu unahitaji kupambana ilu ku-save ... utahitaji mafunzo+funds+drugs ... sasa unafikiri wale jamaa duniani utawapelekea kitu hakieleweki wakubali tuu?

Mengi uliyoandika tulishatoka salama huko.

Soma post #289 Kutambua kuwa labda kama unataka kuturudisha nyuma kwa kudandia treni kwa mbele.

Sehemu kubwa ya majibu ya post #289 yamejibiwa na post #288. Mayor Quimby tusaidiane kuwarudisha baadhi ya wajumbe wageni kama huyu kwenye reli kwa mustakabala mwema wenye tija kama hiyo ndilo lengo badala ya kubakia kukenua tu.

Post #289 imejibiwa na post #296. Ushahidi wa kuwa Tanzania imekuwa ikiripoti kila haemorrhagic fever kama ebola uko mle, specifically kwa majibu ya maswali #1 na #2 yaliyoainishwa waziwazi.

Nisiache kukuasa: "wenye mashoka wamechemsha wewe waja na panga ndugu?"

Mengine haya ni maajabu ya Mussa:

1. Wapi nimetaka yatumiwe majina ya kiswahili kwenye scientific issue?

2. Wapi nimesema kuwepo kwa ebola kunazuia kuwepo kwa magonjwa yanayofanana na hayo?

Hii Nota Bene (NB) yako sijui inahusika vipi kwenye mada hii iliyo wazi to a letter.

Au umesahau kukataa kwetu sugu kwa magonjwa tishio duniani tukiyaita kuwa njama za mabeberu na vita vya kiuchumi?

Wewe ni mgeni na sera zetu za chanjo dhidi ya magonjwa yenye kutishia uwepo wa binadamu, tukiyaita upigaji au njama za kina Bill Gates kutaka kutufuta waafrika na hasa watanzania duniani?

Kwani mkuu wewe ndiyo umewasili sasa duniani kutokea sayari nyingine na kuwa haya ndiyo kwanza unayasikia?

Ikikupendeza jiridhishe kuwa uko kwenye page. Nimekupa references zote kIroho safi kukuweka kwenye picha.

Tulishasonga sana mkuu.
 
Mtoa mada Ficha ujinga wako ni aibu sana.
Wataalamu wamepima wamekuta ni marburg virus unataka waseme ni ebola kisa tu watu hawalijui au hawajazoea jina.
 
Mtoa mada Ficha ujinga wako ni aibu sana.
Wataalamu wamepima wamekuta ni marburg virus unataka waseme ni ebola kisa tu watu hawalijui au hawajazoea jina.

ID za msaada:

Screenshot_20230324-065245.jpg

Miaka 4 ya kazi una posts 69. Tunajua nyingi zitatoka mashimoni. Tunajua pia zitatoka kwa malengo gani.

Karibu JF where we dare to talk openly.

Tukayasemee wapi TCB?
 
Issue ni kwamba wewe marburg umeisikia last week, ndio maama unalazimisha iitwe Ebola ha ha haaa.

Huku kuna kitu kinaitwa case definition.... sasa mzee wewe huna hata ABC za medicine unabisha bila kuwa na evidence?

Au wewe ndo wale wa malaria yangu naijua?

Screenshot_20230324-070046.jpg

Kuna haja ya kuongeza neno mkuu?
 
Ugonjwa wa Marburg uligundulika mji wa Marburg na Frankfurt,Ujerumani...ndio asili ya jina hilo.

Ugonjwa wa Ebola,mlipuko wake wa kwanza ulitokea Jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo,kwenye kijini kilicho na mto Ebola...ndio asili ya jina Ebola.

Yamepewa majina kutokana na sehemu yalipotokea kwa mara ya kwanza.
Na sisi tungeliita Maruku Viral Disease.
 
Back
Top Bottom