Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kila mtanzania ana haki ya kuishi. Awe ni mharifu sio mhalifu hii ni kwa mujibu wa ibara ya 14 ya katiba JMT.
Kama ni mahalifu basi apelekwe mahakamani kwa kwa mujibu wa ibara ya 13 ya katiba ya JMT.
Hii kamata kamata ya kulazimishana kuvua nguo ili binti na baba yake walalane imetoka wapi?
Kifungu cha 14 cha sheria ya mwenendo ya makosa ya jinai ipo wazi namna mhalifu anatakiwa kukamatwa.
Sheria mama inavunjwa. Sheria za zinazohusika zinavunjwa mkuu wa nchi yupo kimya. Basi anataka watu wamalizwe.