Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mtawaroga?Wahuni wote lazima tuwasepeshe kama alivyosepeshwa dikteta bila huruma.
Unalialia nini wewe ukishika mtutu wa bunduki jua ipo siku utakufa kwa mtu wa bundukiSheria mama inavunjwa. Sheria za zinazohusika zinavunjwa mkuu wa nchi yupo kimya. Basi anatata watu wamalizwe.
Nadhani Watawala wana Akili Kubwa. Hawo wanaouawa ndo waliwekewa madarakani kwa vitisho, kuua na kubambikizia makesi. Hata ningekuwa Mimi siwezi kumkemea anayeniweka madarakani!Kila mtanzania ana haki ya kuishi. Awe ni mharifu sio mhalifu hii ni kwa mujibu wa ibara ya 14 ya katiba JMT.
Kama ni mahalifu basi apelekwe mahakamani kwa kwa mujibu wa ibara ya 13 ya katiba ya JMT.
Hii kamata kamata ya kulazimishana kuvua nguo ili binti na baba yake walalane imetoka wapi?
Kifungu cha 14 cha sheria ya mwenendo ya makosa ya jinai ipo wazi namna mhalifu anatakiwa kukamatwa.
Sheria mama inavunjwa. Sheria za zinazohusika zinavunjwa mkuu wa nchi yupo kimya. Basi anatata watu wamalizwe.
Point zako ni Nzuri sana Kama ungezipeleka bungeni itungwe sheria ya kuwapa mamlaka hayo Police. Vinginevyo kusaka Teuzi kusitufanye Watanzania tuishi Kihayawani kama Wasaka Teuzi mlivyogeuka kuwa Hayawani hapa Tanzania!Binafsi nahisi mleta mada na yeye ni panya road au ni mnufaika wa uhalifu unaofanywa na panya road. Hawa ndio wale watu ambao hununua vitu mbali mbali vya bei chee kutoka katika makundi hayo ya panya road.
Kwahiyo wakiuwawa mleta mada atakosa watu wengine wa kumletea mizigo ya wizi ya bei chee, ndo maana amekimbilia huku kulalamika ili apate uungwaji mkono na hatimae polisi isitishe zoezi lake la kuwaangamiza wahalifu na wauaji hao.
Bora polisi ingekuwa inapitia na huku mitandaoni kuwachunguza na kuwafuatilia hawa wanaoonesha kukerwa na hatua zinazochukuliwa na serikali katika jitihada za kurudisha amani na usalama jijini Dar es salaam na nchini kwa ujumla.
Siku panya road wakivamia kwako na kukuvunjia yai kwenye mattercall mbele ya mke wako usikose kuja kuandika uharo wako hapa JF.Point zako ni Nzuri sana Kama ungezipeleka bungeni itungwe sheria ya kuwapa mamlaka hayo Police. Vinginevyo kusaka Teuzi kusitufanye Watanzania tuishi Kihayawani kama Wasaka Teuzi mlivyogeuka kuwa Hayawani hapa Tanzania!
Mbona kina lisu,saanane, azroy na kina mawazo serikali ilikaa kimya tena bila hata kutia neno mfyuuuuKila mtanzania ana haki ya kuishi. Awe ni mharifu sio mhalifu hii ni kwa mujibu wa ibara ya 14 ya katiba JMT.
Kama ni mahalifu basi apelekwe mahakamani kwa kwa mujibu wa ibara ya 13 ya katiba ya JMT.
Hii kamata kamata ya kulazimishana kuvua nguo ili binti na baba yake walalane imetoka wapi?
Kifungu cha 14 cha sheria ya mwenendo ya makosa ya jinai ipo wazi namna mhalifu anatakiwa kukamatwa.
Sheria mama inavunjwa. Sheria za zinazohusika zinavunjwa mkuu wa nchi yupo kimya. Basi anatata watu wamalizwe.