Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Ndo hapo mnapofeli kujifananisha na wazungu.Watanzania wanaooa wanawake wazungu wanawalipia mahari?
Thamani ya wanawake wazungu huwa inashuka kwa kutolipiwa mahari?
Sheria zenu ni tofauti na huko mkuu