Tunapopigania haki sawa, Tohara kwa wanawake, Ubaguzi wa rangi, nk. Tusisahau pia kupinga Utoaji wa Mahari

Tunapopigania haki sawa, Tohara kwa wanawake, Ubaguzi wa rangi, nk. Tusisahau pia kupinga Utoaji wa Mahari

Watanzania wanaooa wanawake wazungu wanawalipia mahari?
Thamani ya wanawake wazungu huwa inashuka kwa kutolipiwa mahari?
Ndo hapo mnapofeli kujifananisha na wazungu.
Sheria zenu ni tofauti na huko mkuu
 
Back
Top Bottom