Tunaposema CCM imeishiwa watu muwe mnaelewa Katibu Mkuu UVCCM ametokea CHADEMA

KUMBE NDIO WALE WALIONUNULIWA AIBU
 
Kama ambavyo chadema huwa inachukua walipigwa chini na ccm kama lowassa na wengine na kuwasimamisha kuwa wagombea au sio.
 
Kitu usichojua bado na utakuja kuchukua muda mrefu sana kujua kuwa huyo alitoka CCM na kupelekwa CHADEMA kwa kazi maalumu na alipoikamilisha akarudi CCM!
Hizi teuzi anazopata ni kutokana na ufanisi wa kazi zake alizokamilisha ikiwemo akiwa huko CHADEMA!
CCM Ina " watu wake" kwenye vyama vyote kitu ambacho CHADEMA hawakijui na hawana maarifa hayo hata kidogo!
Huwa nilkiona " mijitu" ya CHADEMA kama akina Heche, Bon Yai inajifanya mijanja kumbe haijui imepakatwa na CCM!
CCM ni master wa " Dark Arts" !
 
chadema wote walipitia mchujo mkali ccm kwa taharifa yako
 
Hakuna lolote ! wadanganye wajinga sana .
 
Hakuna lolote ! wadanganye wajinga sana .
Sawa, Patrobas Katambi hakuwa Mwenyekiti wa BAVICHA?!
Hamkuja kujua baadaye kuwa alikuwa Afisa Kipenyo baada ya report ku- reveal hivyo!

Nyie mnachojua kwa ufasaha hapo CHADEMA ni kula Kitimoto na Mbususu za Viti maalum wenu basi!

Niliona uliuliza swali la kijinga kuhusu umri wa Lulandala na uteuzi wake wa Katibu Mkuu wa UVCCM!

Mtu hujui hata structures za CCM , ndo utawajuwa wana CCM walioko CHADEMA?!

Katibu Mkuu wa jumuia yoyote ya CCM ni Mtendaji Mwajiriwa hivyo hafungwi na kanuni za umri za jumuia husika.

CHADEMA hata structures za maana hamna!
Kina John Mrema utakuta wako Baa wanakula Kitimoto wanateuana mara Mkurugenzi sijui wa Mambo ya Nje na taka taka gani wakati hata geti la Ubalozi wa USA hapo Barabara ya Mwai Kibaki hajawahi kanyaga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…