Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Endelea kujichekesha....[emoji1787]unachekesha mno !
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kujichekesha....[emoji1787]unachekesha mno !
Miaka inakwenda unazidi kutumika!Mkuu ni lini na wewe utateuliwa humo ccm , au wewe bado unahudumia kitengo cha usafi
Kwanza hao unaowaita Wasaliti sio kweli kwamba ni Wasaliti Bali ni Wana ccm waliokuwa upinzani Kwa kazi maalumu Kama kina Shonza,Silinde,Slaa,Mbowe,Mnyika, Naibu Waziri wa Vijana,DC Rorya na wengine wengi.Faki Lulandala amekuwa mwanachama na kiongozi wa Chadema kwa miaka mingi tu , mwaka 2014 alipanda hadi ngazi ya mkoa wa Njombe .
2018 aliunga kilichoitwa Juhudi kwa serikali ya Jiwe , ilikuwa aambatane na George Sanga (Sanga alikataa baadaye akapewa kesi ya mauaji na yuko ndani hadi leo)
Bwana Lulandala baada ya kujiuza akatunukiwa UDC wa Momba , na sasa ni Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa .
Je wewe Chawa mfia chama unadhani ni lini utapata nafasi ikiwa Wasaliti ndio wanateka Chama ? Majibu anayo Lucas mwashambwa
Narudia tena kwamba Sitawahurumia hata kidogo , Wachumia tumbo wakubwa nyie ! mtaendelea tu kutumika kama Naniliu .....
View attachment 2768625
Usalama kupenya ndani ya Vyama hakuna tatizo kwani ndio Kazi yao kuhakikisha nchi iko salama
Shida ni usalama kufanya kazi ya ccm
Kwanza hao unaowaita Wasaliti sio kweli kwamba ni Wasaliti Bali ni Wana ccm waliokuwa upinzani Kwa kazi maalumu Kama kina Shonza,Silinde,Slaa,Mbowe,Mnyika, Naibu Waziri wa Vijana,DC Rorya na wengine wengi.
Jiwe aliwahi dokeza kazi Yao huko.So.kushindwa kwenu kubaini haya Kwa sababu za udhaifu wenu wa kichama ndio mnajifariji hapa kwamba ni watu wa upinzani.
Mwisho chama ni Kimoja tuu ccm,mtazunguka weee harafu mnarudi pale pale kuja kujifariji eti chawa.Mbona wewe hupewi cheo huko ccm?
Kote huko ccm inatumia Kama training ground 😁😁Kulikoni kuhangaika mno na chadema ndugu? Vyama vingine kwani hamvioni? Au tuseme ndiyo inayowanyima usingizi?
Kote huko ccm inatumia Kama training ground 😁😁
Huko nilishatokaHata wewe karibu kumbuka hatuna rafiki wala adui was kudumu ila agenda. Kwa mtaji huo, wallahi billaahi cha moto mtakiona!
Huko nilishatoka
Sijui ni lini kwa kweliKwani hawa lini waliacha au wataacha kuifanya kazi ya CCM Kwa katiba hii?
Sasa unalia nini ?Kwanza hao unaowaita Wasaliti sio kweli kwamba ni Wasaliti Bali ni Wana ccm waliokuwa upinzani Kwa kazi maalumu Kama kina Shonza,Silinde,Slaa,Mbowe,Mnyika, Naibu Waziri wa Vijana,DC Rorya na wengine wengi.
Jiwe aliwahi dokeza kazi Yao huko.So.kushindwa kwenu kubaini haya Kwa sababu za udhaifu wenu wa kichama ndio mnajifariji hapa kwamba ni watu wa upinzani.
Mwisho chama ni Kimoja tuu ccm,mtazunguka weee harafu mnarudi pale pale kuja kujifariji eti chawa.Mbona wewe hupewi cheo huko ccm?
Sijui ni lini kwa kweli
Unashindwa nini kuelewa kua vyama sio majina ni itikadi.na ccm ni mrithi tu baada yakua chama cha awali kuongoza nchi baada ya uhuru kwa maana ya Tanu na nchi kua kwenye mrengo wa chama kimoja kabla yakubadilika kwenda vyama vingi..Uwe unatumia akili zako sawa sawa umri wako auendani na ujinga unaouandika hapa mtandaoni.Wewe ndio mjinga unayeita Matawi ya CCM ni vyama vingi [emoji23][emoji23][emoji91][emoji209]
Faki Lulandala amekuwa mwanachama na kiongozi wa Chadema kwa miaka mingi tu , mwaka 2014 alipanda hadi ngazi ya mkoa wa Njombe .
2018 aliunga kilichoitwa Juhudi kwa serikali ya Jiwe , ilikuwa aambatane na George Sanga (Sanga alikataa baadaye akapewa kesi ya mauaji na yuko ndani hadi leo)
Bwana Lulandala baada ya kujiuza akatunukiwa UDC wa Momba , na sasa ni Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa .
Je wewe Chawa mfia chama unadhani ni lini utapata nafasi ikiwa Wasaliti ndio wanateka Chama ? Majibu anayo Lucas mwashambwa
Narudia tena kwamba Sitawahurumia hata kidogo , Wachumia tumbo wakubwa nyie ! mtaendelea tu kutumika kama Naniliu .....
View attachment 2768625
TYL na baadae UVCCM ... vyama vya upinzani vimeanzishwa lini? Kama waanzilishi walikua wana siasa ITOSHE kutambua kwamba aidha walikua wana CCM au chipukizi wao. Enzi zile za CHAMA kushika hatamu, kadi ya CCM ilizipiku hata shahada za uzamivu na zingine kwenye LISTI za viambatanisho! Mazuzu mengi yalokua na KADI kwa mikwara usiseme! Hiyo kitu umeandika hapo juu is a very cheap rejoinderWewe ndio mjinga 😂😂🔥
Freeman tumekuwa naye TYL na baadae UVCCM 😀
Wa maana wako wengi nikiwemo Mimi hapaUko ccm kuna mtu gani wa maana?.Rais mwenyewe unaona anavyoangaika kubadilisha badilisha kila siku.Cdm wako ndo maana mifano iko mingi ya waliotoka cdm kwenda ccm kufanya kazi.hiyo maana yake uko ccm mmejaa mapooza tupu.
Kama aliazimwa (Seconded) kwa shughuli maalumu?Faki Lulandala amekuwa mwanachama na kiongozi wa Chadema kwa miaka mingi tu , mwaka 2014 alipanda hadi ngazi ya mkoa wa Njombe .
2018 aliunga kilichoitwa Juhudi kwa serikali ya Jiwe , ilikuwa aambatane na George Sanga (Sanga alikataa baadaye akapewa kesi ya mauaji na yuko ndani hadi leo)
Bwana Lulandala baada ya kujiuza akatunukiwa UDC wa Momba , na sasa ni Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa .
Je wewe Chawa mfia chama unadhani ni lini utapata nafasi ikiwa Wasaliti ndio wanateka Chama ? Majibu anayo Lucas mwashambwa
Narudia tena kwamba Sitawahurumia hata kidogo , Wachumia tumbo wakubwa nyie ! mtaendelea tu kutumika kama Naniliu .....
View attachment 2768625
Hapo ndio pa kujifichia !Kama aliazimwa (Seconded) kwa shughuli maalumu?