Tunaposema CCM imeishiwa watu muwe mnaelewa Katibu Mkuu UVCCM ametokea CHADEMA

Tunaposema CCM imeishiwa watu muwe mnaelewa Katibu Mkuu UVCCM ametokea CHADEMA

Mbona wengi tu.....

Kwani Mwita Mwikabe Waitara kabla ya kuwa CHADEMA alikuwa wapi ?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
....UVCCM tupo na wala hatuumii kwa sababu:

-CCM ni IMANI ya Watanzania Wote

-Hata walio upinzani kwa kukubali ama kukataa....imani hiyo inawafuata kama kivuli.

Fakii Lulandala ni mmoja wa wafuasi wa imani hiyo hata kipindi akiwa CHADEMA.

#Siempre CCM[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwi Kwi Kwi , Unaandika huku unalia !
 
Faki Lulandala amekuwa mwanachama na kiongozi wa Chadema kwa miaka mingi tu , mwaka 2014 alipanda hadi ngazi ya mkoa wa Njombe .

2018 aliunga kilichoitwa Juhudi kwa serikali ya Jiwe , ilikuwa aambatane na George Sanga (Sanga alikataa baadaye akapewa kesi ya mauaji na yuko ndani hadi leo)

Bwana Lulandala baada ya kujiuza akatunukiwa UDC wa Momba , na sasa ni Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa .

Je wewe Chawa mfia chama unadhani ni lini utapata nafasi ikiwa Wasaliti ndio wanateka Chama ? Majibu anayo Lucas mwashambwa

Narudia tena kwamba Sitawahurumia hata kidogo , Wachumia tumbo wakubwa nyie ! mtaendelea tu kutumika kama Naniliu .....

View attachment 2768625
Vijana wa Mbowe wako Smart Sana
 
Tofautisha na mapandikizi yenye vyeo vya uafisa vipenyo ndugu. Hakuna Cha kujisifia hapo zaidi ya kufungua macho zaidi. Tuwe macho na wanaokusahau kipaumbele chetu - katiba mpya.
Usalama kupenya ndani ya Vyama hakuna tatizo kwani ndio Kazi yao kuhakikisha nchi iko salama


Shida ni usalama kufanya kazi ya ccm
 
Chawa chawa hamna kitu hamuaminiki.......Mh JPM aliteua vijana wengi wa Chadema akiwaacha chawa mnapiga makofi tu
Tunacho....

Tunaaminika...

Wanaonijua watakuambia ya kwamba mimi mmoja tu ni zaidi ya akina Sosopi 50...

UVCCM ina hazina kubwa..... kalaghabaho [emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom