Faki Lulandala amekuwa mwanachama na kiongozi wa Chadema kwa miaka mingi tu , mwaka 2014 alipanda hadi ngazi ya mkoa wa Njombe .
2018 aliunga kilichoitwa Juhudi kwa serikali ya Jiwe , ilikuwa aambatane na George Sanga (Sanga alikataa baadaye akapewa kesi ya mauaji na yuko ndani hadi leo)
Bwana Lulandala baada ya kujiuza akatunukiwa UDC wa Momba , na sasa ni Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa .
Je wewe Chawa mfia chama unadhani ni lini utapata nafasi ikiwa Wasaliti ndio wanateka Chama ? Majibu anayo
Lucas mwashambwa
Narudia tena kwamba Sitawahurumia hata kidogo , Wachumia tumbo wakubwa nyie ! mtaendelea tu kutumika kama Naniliu .....
View attachment 2768625