bado hujajibu hoja yangu..... ujinga unaendeleaWewe ndio mjinga unayeita Matawi ya CCM ni vyama vingi 😂😂🔥🐼
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado hujajibu hoja yangu..... ujinga unaendeleaWewe ndio mjinga unayeita Matawi ya CCM ni vyama vingi 😂😂🔥🐼
Tofautisha na mapandikizi yenye vyeo vya uafisa vipenyo ndugu. Hakuna Cha kujisifia hapo zaidi ya kufungua macho zaidi. Tuwe macho na wanaokusahau kipaumbele chetu - katiba mpya.
Sio dhambi! Wewe wapi Hadi Wapi?Umeelewa 😄😄😄 Gerezani hadi Ikulu 😂😂
Wewe uliyetoka CCM A ukahamia.CCM B ndio zuzubado hujajibu hoja yangu..... ujinga unaendelea
johnthebabtist USER] hamjamuona ?We si ulikataa milioni 10 ukasema tuongeze kidogo sasa hebu njoo basi tutaongeza angalau 40 uje na cheo utapata.
MaokotezoFaki Lulandala amekuwa mwanachama na kiongozi wa Chadema kwa miaka mingi tu , mwaka 2014 alipanda hadi ngazi ya mkoa wa Njombe .
2018 aliunga kilichoitwa Juhudi kwa serikali ya Jiwe , ilikuwa aambatane na George Sanga (Sanga alikataa baadaye akapewa kesi ya mauaji na yuko ndani hadi leo)
Bwana Lulandala baada ya kujiuza akatunukiwa UDC wa Momba , na sasa ni Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa .
Je wewe Chawa mfia chama unadhani ni lini utapata nafasi ikiwa Wasaliti ndio wanateka Chama ? Majibu anayo Lucas mwashambwa
Narudia tena kwamba Sitawahurumia hata kidogo , Wachumia tumbo wakubwa nyie ! mtaendelea tu kutumika kama Naniliu .....
View attachment 2768625
Chadema inayo macho makubwa sana
Njoo nae tumalize biashara
Hujajibu hoja bado. All in all, hizo ni wishes zako with no evidence whatsoever!!Wewe uliyetoka CCM A ukahamia.CCM B ndio zuzu
Naona Mama amepitisha baada ya kuona jina la Faki,akajua ni Ndugu yake wa kule Kizimkazi![emoji1787]Faki Lulandala amekuwa mwanachama na kiongozi wa Chadema kwa miaka mingi tu , mwaka 2014 alipanda hadi ngazi ya mkoa wa Njombe .
2018 aliunga kilichoitwa Juhudi kwa serikali ya Jiwe , ilikuwa aambatane na George Sanga (Sanga alikataa baadaye akapewa kesi ya mauaji na yuko ndani hadi leo)
Bwana Lulandala baada ya kujiuza akatunukiwa UDC wa Momba , na sasa ni Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa .
Je wewe Chawa mfia chama unadhani ni lini utapata nafasi ikiwa Wasaliti ndio wanateka Chama ? Majibu anayo Lucas mwashambwa
Narudia tena kwamba Sitawahurumia hata kidogo , Wachumia tumbo wakubwa nyie ! mtaendelea tu kutumika kama Naniliu .....
View attachment 2768625
exctly, ameona hapa huyu ni wa dini yangu.... johnthebaptist au vipiNaona Mama amepitisha baada ya kuona jina la Faki,akajua ni Ndugu yake wa kule Kizimkazi![emoji1787]
Ila hachelewi kutengua na kumbakisha kuwa DC!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Wahuni hawachelewi kumuingiza chaka![emoji1787]exctly, ameona hapa huyu ni wa dini yangu.... johnthebaptist au vipi
Nje ya madaMbona mh Edward lowasa alikuwa mwanachama wa CCM kuanzia ujana wake hadi uzee wake lakini alipokuja kwenye chama Chenu ndani ya wiki moja hata kabla ya kuwa na gwanda mkampa nafasi ya kugombea Urais? Vipi kuhusu mh sumaye? Mlimpa nafasi gani ndani ya chama Chenu? Si mlimpa uenyekiti wa kanda na ujumbe wa kamati kuu?? Alikuwa mwana chama wenu kwa muda gani? Vipi kuhusu Esther Bulaya? Aliingia lini chadema kabla ya 2015? Lakini si mlimpatia kugombea ubunge japo walikuwepo wengine?
na ameshaingizwa chake zamani
Mbona mh Edward lowasa alikuwa mwanachama wa CCM kuanzia ujana wake hadi uzee wake lakini alipokuja kwenye chama Chenu ndani ya wiki moja hata kabla ya kuwa na gwanda mkampa nafasi ya kugombea Urais? Vipi kuhusu mh sumaye? Mlimpa nafasi gani ndani ya chama Chenu? Si mlimpa uenyekiti wa kanda na ujumbe wa kamati kuu?? Alikuwa mwana chama wenu kwa muda gani? Vipi kuhusu Esther Bulaya? Aliingia lini chadema kabla ya 2015? Lakini si mlimpatia kugombea ubunge japo walikuwepo wengine?
Ni ndani ya mada ila umeshindwa cha kujibu kutokana na uzito wa hoja yangu.Nje ya mada
Tena la kitotoSwali lako ni la kijinga