Tunaposema Diamond ni mnyonyaji muwe mnaelewa. Inasemekana kipindi cha Bartender kimepigwa ''stop''

Moderator uzi wa hivi upo tayari huyu sijui kafufukia wapi kipindi kilisimama kwa muda na kikarudi hewani unganisheni.
Mnataka kuficha huu utapeli ili isijulikane kua idea ya hicho kipindi ni cha Baghdad, Yale yale ya babu tale..

Washaurini hao Wasafi waache janjajanja na utapeli, waajiri watu wenye upeo na wabunifu

"Yule mtoto aliyemsema sana Ruge Sasa kawa Mtoto Mbaya"
 
Hakifichwi kitu ili linajulikana ulikuwepo wapi wakati kipindi kiko off air hadi kikarudi?

Uzi upo siku nyingi sana
 
Yaani mleta maada ni kopo
amecopy na kupaste kutoka kwa jamaa mmoja humu aliposti Jana asubuhi

akili za kuambiwa changanya na zako,usitumie chuki kupitiliza.
Tunaomba source ya hii Habari yako sio kubwabwaja humu kama kibogoyo,ndio maana mods huwa wanafuta nyuzi zako.
 
Robidinyo

Acha wivu tafuta Kazi ya kufanya na wewe uwe na maisha mazuri
 
Moderator

uzi zenye propaganda na zisizo na ushahidi Kama Huu alioleta mtoa mada zifuteni watu aina ya mtoa mada ndo wanaharibu taswira nzima ya jamiiforum fanyieni kazi hili.
 
Robidinyo,

Domo ni mwizi na kila mwenye akili timamu analiona hilo.

Kaiba na anaendeleakuiba nyimbo za watu.

Anakopi na kupaste kuanzia kweny Nyimbo, watangazaji mpaka vipindi vya media.

Aisee wazee shule MUhimuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
wewe mwenye shule unakipi ulichomzidi domo? jaribuni kuficha upumbavu wenu ambao kamwe hauna nguvu ya kumshusha mondi **** nyie
 
mkuu jaribuni kubuni mbinu tofauti katka kupambana na domo maana mbinu zenu zakueneza chuki zimefail vibaya mno na jamaa anachanja mbuga kwa kasi sana kuliko matarajio yenu
 
mkuu jaribuni kubuni mbinu tofauti katka kupambana na domo maana mbinu zenu zakueneza chuki zimefail vibaya mno na jamaa anachanja mbuga kwa kasi sana kuliko matarajio yenu
Namshangaa mtoa mada kampeni yake yakumpost Alikiba na king's music imeishia wapi?
 
Siku zote mbaazi ikikosa mauwa husingizia jua... Ruge naye alisemwa sana... MUNGU AKAMUITA.. waliokuwa wanalalama wengine wamezidi kushuka...
 
Namshangaa mtoa mada kampeni yake yakumpost Alikiba na king's music imeishia wapi?
waache waendelee na chuki zao maana ndo zinampaisha mtoto wa tandale, jana katangaza kuja na album washanuna na kuanza kuleta nyuzi za chuki
 
Aya, tangia umeanza kuandika mabaya yake imekusaidia nini?[emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Bartender na Mkasi kwa wataalam wa maudhui tofauti yake nini?Bwana mayowela tusaidie.

Manake kama kulalamika kuibiwa Idea angetakiwa alalamike AY au Salama,alichofanya huyo Baghdad kuiba idea ya mkasi nakubadilisha location ndio wewe mshamba Robidinyo unaita ubunifu.

Kuna watu wameiga kipindi cha Homa ya jiji cha EFM kila kitu lkn sijawahi kuona watu wakilalamika.
 
Hata mimi naonaga hivyo, ni mkasi with a different location

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moderator

uzi zenye propaganda na zisizo na ushahidi Kama Huu alioleta mtoa mada zifuteni watu aina ya mtoa mada ndo wanaharibu taswira nzima ya jamiiforum fanyieni kazi hili.
Unajipendeza, ushahidi gani unaoutaka wewe Guruguja
 
Yani ukiwa shabiki wa Diamond na akili inakua utopolo.?
 
Wabongo kama hawampendi mtu ukileta tuhuma watandandia treni bila kuhitaji ushahidi ila kama wanampenda kama Diamond uileta tuhuma watataka ushahidi...
Maisha bongo mazuri kweli maana hatuishi vituko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…