MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Kwani wewe mimi unanijua ?We shule yako imekusaidia nn!! mwenzio ana copy na ku paste na ana pesa mlima...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe mimi unanijua ?We shule yako imekusaidia nn!! mwenzio ana copy na ku paste na ana pesa mlima...
Kwani wewe mimi unanijua ?
Weka Credit basi maana ume copy na kupaste kutoka twitterMsanii Baghdad aliwahi kusema kuwa wazo la kipindi cha The Bartender lilikuwa ni lake na mwanzo wazo lilikuwa TheCounter au The Bartender na alilisajili COSOTA na kubaki na hatimiliki yake. Alishangaa kuona kipindi kinatangazwa wakati makubaliano hayakuwa yametimizwa na kukubaliana. Baghdad anasema kuwa makubaliano yalikuwa ni apate 13% ya mapato yatokanayo na show na idea zote ambazo ataziweka pale Wasafi kuliko kuajiriwa, yaani awe na life-time contract na Wasafi Media.
Baghdad anaendelea kusema kuwa wakiwa katika mchakato wa kusaini mkataba ambao ilionekana kuwa 13% ni kubwa na ishuke hadi 5% ghafla akashangaa kuona promo ya The Bartender, anasema aliamua kuwasiliana na Diamond, cha ajabu Diamond hakuwahi kupokea simu wala kujibu meseji zake. Anasema ilimstua na kuamua kumtafuta Babu Tale, Tale alimsihi sana Baghdad kuwa mtulivu wakati anaongea na Diamond juu ya hili. Alimsihi pia kutofanya chochote mathalani interview popote. Baada ya siku kadhaa Tale na Baghdad walichekiana na kumchana kuwa Diamond kasema fanya chocote unachoweza.
Baghdad aliamua kwenda COSOTA kutafuta haki yake kwa maana hata wazo la Jogoo ni miongoni mwa madini aliyoyatoa Wasafi. Anazidi kusema kuwa, COSOTA waliwaita ili kuwasuruhisha japo Diamond alikuwa akituma wawakilishi, mazungumzo yalifanyika kwa siku kadhaa bila mafanikio na Baghdad kuamua kwenda Mahakamani ili tu haki yake ipatikane.
Kwakeli huu ni utapeli wa kuaminika. Jamaa hawana ubunifu wowote ni wazee wa Kucopy na ku-paste. Walimsema sana Ruge hawa; sasa yule mtoto aliyekua analialia kuonewa kawa mtoto mbaya.
Kakopi twitter jamaa wa twitter hakuielezea hapo after cosota wakaenda mahakamaniMatokeo ya mahakamani yalikuwaje? habari yako dizaini kama inapwaya hv!! Inakuja afu inakataa ,.... 😉
Weka Credit basi maana ume copy na kupaste kutoka twitter
Kama mpaka asilimia za kulipana walishakubaliana hapo ni wazi jamaa aliyeleta wazo amezungukwa. Na hiyo sio sawa. Ndio maana Sugu alizinguana na Ruge marehemu kwa sababu ya michongo hii ya kijinga ya kuzungukana kwenye idea. Kumbuka "malaria no more"Mimi huwa na shangaa sana. Hizi idea 99% tunatoa kwenye mtandao na Dstv leo mtu anakuja analia lia... So diamond anaweza kuamua kubadili jina la kipindi akaliita the pub..... Wewe utamzinguaje hapo.... Na ukileta za kuleta si anaenda na yeye kusema idea ameitafuta dstv.
So mambo mengine ni kumalizana kiutu uzima na sio kishari na stress
Sent using Jamii Forums mobile app
wengi kati ya uliowataja walifukuzwa au kuzinguliwa huko kwenye media nyingine wakaamua kusepa. Mfano Hando na Dina Marios (ambaye wewe umembatiza Gea Habib).E-fm walionunuliwa
Gerard hando,maestro,jabir,gea habibu wa uhondo, Musa kipanya,oscar Oscar, ssebo,mtiga abdallah,jonijoo,dokii,Tunu,seba wa lala by,
sasa sioni Kama kuna redio iliyotengeneza hapo wote hao wengi wanatengenezwa sehemu zingine redio ndogo ndogo za mikoani.
E-fm wamewatengeneza kingwendu na Steve Nyerere basi.
Kama walienda COSOTA ni wazi ni kitu ambacho mhusika Baghdad alikuwa ana haki nacho. Naomba ujue unaweza kulibadili wazo la mtu alilokupa au ambalo mlikubaliana kabla ya mkataba ukalitumia kwa faida yako na mahakamani ukamshinda lakini hiyo haitaondoa ukweli kuwa umemzunguka.Kakopi twitter jamaa wa twitter hakuielezea hapo after cosota wakaenda mahakamani
Mwambie aje na jibu la mahakamani kama analo, hahahahaaa
Hahahahaha hawezi kukubali atakapo kataa tutamletea thread yote hapaNa mimi nliona ilo pia nkaon wewe pia umeandik nashangaa aja toa credit
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mletee aiseee maana Huyu jamaa ni kopo sana.Hahahahaha hawezi kukubali atakapo kataa tutamletea thread yote hapa