Tunaposema Diamond ni mnyonyaji muwe mnaelewa. Inasemekana kipindi cha Bartender kimepigwa ''stop''

Wabongo kama hawampendi mtu ukileta tuhuma watandandia treni bila kuhitaji ushahidi ila kama wanampenda kama Diamond uileta tuhuma watataka ushahidi...
Maisha bongo mazuri kweli maana hatuishi vituko
Kwani wewe upo wapi Kati ya hao watu?
 
Wa bongo kwa unafiki hawajambo kama una watetezi mitandaoni hata ukitembea uchi utapata wa kukutea ishu sasa uchukiwe ndio utawajua wa bongo walivyo
 
Wa bongo kwa unafiki hawajambo kama una watetezi mitandaoni hata ukitembea uchi utapata wa kukutea ishu sasa uchukiwe ndio utawajua wa bongo walivyo
Unafiki wao upoje kwenye hii issue?
 
Mzee ume copy kwa chapo hahhaah ww jmaaa bana

Na wewe unataka kunyonywa dada!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Robidinyo,

Domo ni mwizi na kila mwenye akili timamu analiona hilo.

Kaiba na anaendeleakuiba nyimbo za watu.

Anakopi na kupaste kuanzia kweny Nyimbo, watangazaji mpaka vipindi vya media.

Aisee wazee shule MUhimuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Angekua anaiba au anacopy nyimbo zingekua zinafutwa youtube.....

Sio kubwabwaja leta facts tuone. Domo kakuibia nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo kama hawampendi mtu ukileta tuhuma watandandia treni bila kuhitaji ushahidi ila kama wanampenda kama Diamond uileta tuhuma watataka ushahidi...
Maisha bongo mazuri kweli maana hatuishi vituko


Hivi kwanini unapata tabu yote hii?
 
Mkuu uwe na topic zingine basi mara mojamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu muda ungekua unaleta nyuzi za kiba ila wewe kutwa mond ndio maana mond yuko active sana kila kona anaongelewaa

Team kiba mnafeli wapi si mum promte kiba hahahahhaa mnampa attention simba sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kupambana utapata tuzo ya kumchukia mtu.
 

Yani umeenda kukopy mawazo na maelezo ya mtu katika mada ukaja paste hapa mpe credit mkuu sio vzr ufanyavyo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwahiyo upendi hoja za wanaomtetea Diamond?
Siyo sioendagi hoja ila nimemtumia kama mfano ila nilichozungumza ni kwamba ushahidi kwa wabongo ni pale wanapokuwa wanampenda mtu huyo huyo mtu anayetaka ushahidi akiona post ya tuhuma kwa mtu asiyemtaka hatotaka ushahidi ataunga tela... hii iko kote hadi kwenye siasa.
 
Mbona unamchukia wakati hela za malezi alikupa??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…