Tunaposema Diamond ni mnyonyaji muwe mnaelewa. Inasemekana kipindi cha Bartender kimepigwa ''stop''

Weka Credit basi maana ume copy na kupaste kutoka twitter
 
Kama mpaka asilimia za kulipana walishakubaliana hapo ni wazi jamaa aliyeleta wazo amezungukwa. Na hiyo sio sawa. Ndio maana Sugu alizinguana na Ruge marehemu kwa sababu ya michongo hii ya kijinga ya kuzungukana kwenye idea. Kumbuka "malaria no more"
 
wengi kati ya uliowataja walifukuzwa au kuzinguliwa huko kwenye media nyingine wakaamua kusepa. Mfano Hando na Dina Marios (ambaye wewe umembatiza Gea Habib).
 
Kakopi twitter jamaa wa twitter hakuielezea hapo after cosota wakaenda mahakamani
Mwambie aje na jibu la mahakamani kama analo, hahahahaaa
Kama walienda COSOTA ni wazi ni kitu ambacho mhusika Baghdad alikuwa ana haki nacho. Naomba ujue unaweza kulibadili wazo la mtu alilokupa au ambalo mlikubaliana kabla ya mkataba ukalitumia kwa faida yako na mahakamani ukamshinda lakini hiyo haitaondoa ukweli kuwa umemzunguka.

Ni kama msanii mdogo anapomuomba collabo msanii mkubwa kisha huyu mkubwa akamuambia nitumia mashairi na melody yako kisha huyu msanii mkubwa akapindua kidogo mashairi au idea kisha akatoa yeye hit song. Mahakamani au CoSoTa atashinda huyu nguli lakini haitaondoa fact kuwa kamdhulumu msanii mdogo.
 
Mkuu mbona idea ya kipindi cha "The switch" ni ya King Kiba....
Sema hapendi show off tu!.



Napenda kujifukiza
 
Mkuu rudi usikimbie uzi wako


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama wataka kunyonywa si umwambie tu, mnyonyaji mnyonyaji nawe si kamyonye.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…