The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,221
- 4,564
You're right!. Akilimali is the brainpale YANGA kuna mtu Mmoja tu makini.... Mzee Akilimali!
Yule Mkongomani ni mpumbavu bana!Huku ni kukosa adabu. . Huwezi kumuita Zahera mpumbavu. .
na ndio hapo walipojikwaa YANGA!Na ndio alipaswa kuwa mwenyekiti wao
rahisi karuhusuTatizo Mzee anapiga bangi sana
Teheteheeena ndio hapo walipojikwaa YANGA!
Mmejitahidi sana mtani... Mlikuwa mkiambiwa hamna timu pale ni upepo tu mlikuwa mnakataa , ila leo mmekubali.Kwa hali ilivyo Yanga mi naona tumejitahidi sana! Tumekuwa na kipindi kigumu mno! Wachezaji wamejitoa kadri ya uwezo wao! Hata hao mikia wamesubiri karibu misimu 5 kuwa hivi walivyo! Tumepata viongozi wapya ni wakati sasa wakujenga timu yetu! Hatuwezi kushinda kila siku, nyakati ngumu huja na kupita! Mungu ibariki Yanga yetu
Ngoja wampe 1.5b Anazotaka afanye usajili.. ni kocha mzuri anaependa jitihada kwa kila player .Hivi nyie hamkumsikia DC Jerry Muro alipomzungumzia huyu Mkongo!
Alisema hamna Kocha hapo huyo ni muhamasishaji...!
TP MAZEMBEmwakani wanatakiwa waendeleze kazi yao ya kushangilia timu za nje
Jana alikuwepo.. ndio amejua game hazifanani uzito.Walipopigwa 1View attachment 1090136
Ili alete akina Kindoki wengine wafungue bendi. Na dirisha ndogo alete akina Boban, huyo Mkongo mbona watamfahamuNgoja wampe 1.5b Anazotaka afanye usajili.. ni kocha mzuri anaependa jitihada kwa kila player .
KindokiIli alete akina Kindoki wengine wafungue bendi. Na dirisha ndogo alete akina Boban, huyo Mkongo mbona watamfahamu
Aseme nini zaidi ya kampa. Kampa tena kamweneLeo baada ya mechi nilitamani sana ahojiwe nisikie atasema nini ila hakuhojiwa
Mnaposema 'wewe na nani'?