GE2025 Tunaposema Jeshi lichukue Nchi kwa sababu Taasisi zote zimejifia tueleweni jamani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
KWA UFUPI CCM WAMESHAIHARIBU HII NCHI. HATA HILO JESHI PIA LIMESHAKUWA POLLUTED KWA SIASA ZAO ZA MAJI TAKA
 

Tatizo tu litakuja kama hawa watu wakichukua na kunogewa itakuwa imekula kwetu for a very very long time to come.
 
Nakubaliana na baadhi ya vitu ulivyoonge hapa kuhusu jeshi visivyofaa ambavyo vinakera na kulishusha hadhi.

Ni kweli hao jamaa huwa hawatii kabisa sheria za barabarani na ndio maana kimtaa mtaa huwa tunashauriana ukiwaona wako nyuma yako wewe waachie njia tu wapite na kwenye junctions zenye trafick lights hata kama taa zimekuruhusu wewe, acha tu kwanza wapite wao kwa usalama wako.

Na ile kasumba ya kunyanyasa raia ambao wanavaa nguo zinazofanana na zao, tena hii ndio waga inawakera sana watu hata baadhi ya wanajeshi wenyewe.

Lakini hizi uncivilized tendencies hawajifunzii huko jeshini, bali wanatokana nazo huku uraiani. Matendo yao ni reflection ya jamii tuliyonayo.

Huwa kuna aina fulani ya superiority complex ambayo watumishi wetu wote wa vyomba vya usalama wanayo dhidi ya raia, wakiamini kuwa wao ndio wenye nchi na ndio wanafanya tulale usingizi.

Lakini pamoja na changamoto hizo JWTZ bado ni ndio chombo imara kiudalifu katika vyombo vyote vya ulinzi tulivyonavyo.

Kuhusu kutopatikana kwa taaarifa za wasifu wa viongozi wa JWTZ kwenye tovuti yao, nadhani ni matokeo ya kutokuwa na mifumo thabiti ya kiutendaji ambao ambapo wahusika wa kutunza taarifa hawako serious na kazi yao.
 
Unasema JWTZ ndo taasisi yenye uadilifu ilhali wao ndo wakiukaji wakubwa wa sheria?

Kama standard ya uadilifu ni JWTZ basi sisi kama taifa hatuna future yoyote ile ya maana!
 
Nakaribia kuona hoja yako
Kweli hili jeshi letu halina ueledi wowote wa kutawala nchi
Nilikuwa JKT ila aisee nikikumbuka speech za viongozi wa Kambi, yani unaona kweli TANZANIA tuna shida kubwa
JWTZ ni jeshi lenye ego hawajui msingi ya utawala
Hao watu kwenye maonyesho siku ya uhuru wanapasua matofali, yani Kwa technology ya Sasa jeshi halitumii nguvu hizo
Sijui tulimkosea nini Mungu TANZANIA
Samia na CCM wabovu
JWTZ ni zaidi ya hiyo CCM
 
Kasheshe tunayo. Ila tukisema CCM ndio imeharibu nchi, tunakosea. Nchi imeharibiwa na huyu mama..
 
Kasheshe tunayo. Ila tukisema CCM ndio imeharibu nchi, tunakosea. Nchi imeharibiwa na huyu mama..

duh! kwahiyo kabla ya huyu mama nchi yetu ilikua ipo vizuri? waandamanaji wa social media muna vituko sana
 
acha kuishia na story za twiter na youtube, ya traure watafute weneywe uwaulize.
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…