Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Hata huo utawala wa kijeshi nikikwambia haya, kap8ndueni.Maelezo marefuuu upuuzi mtupu .
Hoja ya msingi ni hii ,KWANINI UNADHANI WATANZANIA watamani utawala wa kijeshi na siyo utawala wa kidemocrasia?
Sababu ni nyepesi tu .
SETTING MODEL YA MFUMO WA UTAWALA WAKIDEMOKRASIA umeshindwa kutoa maajabu na ndiyo maana watanzania wanaona hawana tena njia nyingine .
Swali linaweza kuwa je! Hakuna mfumo mwingine Bora zaidi ya huo ?
Jibu ,unaweza ukawepo lakini kwasababu ya political model yetu imepeleka madaraka makubwa kwenye chama tawala , umesababisha kusiwe nalango mwingine wakutupeleka huko , unless otherwise huo upande uwe na maslahi ya chama tawala na nikitu ambacho tuseme zitabaki kuwa ndoto .
Labda tu nihitumishe kwa kusema .
Hakuna anaependa au kutamani kuona Taifa letu likiongozwa na jeshi lakini hakuna njia nyingine mbadala zaidi ya hiyo ,kumbuka yamajadiliano yanayobebwa na dhamira safi hayajawahi kuwapo zaidi ya yake ya ujanja ujanja
Hamuwezi.
Mnachangamsha baraza tu.
Kwa sababu wanajeshi wa Tanzania hawana tofauti na wananchi wa Tqnzania.
Mnawafanya wanajwshi kuwa ni watu fulani tofauti saaana, wanaweza kuleta mabadiliko.
Wakati wanajeshi ni ndugu zetu, tunawajua.
Matatizo yote yanayoikabili jamii ya Tanzania nje ya jeshi ndiyo hayo hayo yanayolikabili jeshi.
Jeshi si kisiwa useme hakijafikiwa na matatizo ya Tanzania nje ya jeshi.
Huelewi wapi?
Huo i wananchi wanalialai mitandaoni na wanajeshi badala ya kufanya kweli na wao wanalialia mitandaoni?
Hawa wanajeshi wanaolialia mitandaoni ndio mnataka wapindue nchi?