Maelezo marefuuu upuuzi mtupu .
Hoja ya msingi ni hii ,KWANINI UNADHANI WATANZANIA watamani utawala wa kijeshi na siyo utawala wa kidemocrasia?
Sababu ni nyepesi tu .
SETTING MODEL YA MFUMO WA UTAWALA WAKIDEMOKRASIA umeshindwa kutoa maajabu na ndiyo maana watanzania wanaona hawana tena njia nyingine .
Swali linaweza kuwa je! Hakuna mfumo mwingine Bora zaidi ya huo ?
Jibu ,unaweza ukawepo lakini kwasababu ya political model yetu imepeleka madaraka makubwa kwenye chama tawala , umesababisha kusiwe nalango mwingine wakutupeleka huko , unless otherwise huo upande uwe na maslahi ya chama tawala na nikitu ambacho tuseme zitabaki kuwa ndoto .
Labda tu nihitumishe kwa kusema .
Hakuna anaependa au kutamani kuona Taifa letu likiongozwa na jeshi lakini hakuna njia nyingine mbadala zaidi ya hiyo ,kumbuka yamajadiliano yanayobebwa na dhamira safi hayajawahi kuwapo zaidi ya yake ya ujanja ujanja
Kaka heshima kwako kwa uwezo mkubwa wa kujenga hoja uliouonesha dhidi ya huyu juha wa kujiita
Kiranga tangu mwanzo mwa huu uzi mpaka hapa mlipofikishana.
Salute kwako mkuu kupitia uzi huu umeonesha how great thinker you are...
...huyu
Kiranga kwenye huu uzi karibu hoja zake zote zimekaa kimabishano tu na wala hazina contents ya maana ya kumbadilisha mtu kimawazo anayekubaliana na mleta mada... kwanza karibu kila comment anaandika kitu kile kile tu, sijui katiba itakuwa suspended na hamtapata hitaji lenu, jeshi litafanya kile kile ambacho mnakikimbia kwa ccm.. na mifano yake ya abacha.
Halafu cha ajabu hakuna alternative approach anayoitoa ambayo anaiona yeye ni sahihi kuliko hii option ya jeshi zaidi ya kutujazia tu maneno ya dharau na ujuaji usiokuwa na kichwa wala miguu, ni mpumbavu sana huyu jamaa mimi nimewahi kumtukana huko nyuma kwa sababu ya ujuaji na dharau zake hivi hivi tena kwenye jukwa hili hili la siasa.
Kila mtu anafahamu hii serikali ya ccm inayoongozwa na samia imeoza na inanuka kwenye kila sekta, na hakuna namna tunaweza kuiondoa madarakani kupitia sanduku la kura piga ua galagalaza hatuwezi kuiondoa kupitia ballot box.
Kila mtu anaona jinsi vile serikali ya ccm inavyojizatiti kupambana na wanainchi kwa kila namna hili ibaki madarakani, samia na ccm yake wako tayari hata kumwaga damu za maelfu ya watanzania hili tu waendelee kubaki madarakani kutoka na madudu waliyoyafanya huko kwa miaka yote hii.
Samia na genge lake la ccm wanaliumiza sana hili taifa na watu wake na miaka mitano ijayo tutakuwa tumeumia zaidi ya hapa....
..hivyo basi njia pekee iliyobaki ya uhakika zaidi ya kulinusuru hili taifa ni mapinduzi ya kijeshi basi, kwa sababu kama tulivyo sisi raia wa kawaida hata jeshi lenyewe pia linakasirishwa sana na jinsi serikali ya ccm inavyokiharibu hili taifa.
Samia na genge lake hawana uzalendo hata chembe na hili taifa, halafu bado wanatuletea udikteta uchwara na ubanafsi wa hali ya juu.
Kiukweli ni heri tutawaliwe kidikteta na watu ambao ni wazalendo na wanalipenda taifa hili kuliko kutawaliwa na genge la wahuni wasioheshimu wala kulipenda taifa hili.
Halafu asichokijua huyu juha Kiranga kinachowachukiza zaidi watanzania kwenye huu utawala wa samia ni kuona kundi dogo la watu wachache na familia zao ndio wanaofaidi keki ya taifa huku majority wakitaabika na mbaya zaidi wakipaza sauti zao wanatekwa na kuuawa..
...Aisee huu utawala wa kishetani unaoongozwa na samia hapana kabisa,...
..nina uhakika kwa 100% utawala wa kijeshi utakuwa ni bora mara dufu kuliko huu wa samia hata kama watasuspend hilo suala la katiba na kutupiga hizo curfews na kutupeleka kitemi.
Halafu hii ya kusema eti utawala wa kijeshi utakuwa unatumia zaidi mabavu kuliko akili ni hoja dhaifu sana, hiyo ni stereotype ya kipuuzi.. Ibrahim Traore yule pale je, kwa mambo anayoyafanya kule Burkinafaso hatumii akili?
Haya atatukienda na hii hoja ya utawala wa kijeshi kutumia mabavu na sio akili, kwani hii serikali ya ccm ya samia haitumii mabavu?? Au wewe
Kiranga unaona sami kwa mambo ya ovyo anayofanya zinazotumika ni akili na sio mabavu?
Sasa kipi bora kutawaliwa kimabavu na mtu asiyekuwa na uzalendo wala utu(japo slogan yake inasema kazi na utu) au utawaliwe na kimabavu na wazalendo ambao wako tayari kufa kwa ajili ya taifa hili na wana instill nidhamu kwa kila mtu?
Yaani mimi mtu anayepinga idea ya utawala wa kijeshi halafu hatoi wayforward nini kifanyike, badala yake analeta maneno maneno tu ambayo yanelenga kuutetea utawala mbovu wa ccm ya samia namchukia sana.. namuona yeye pia ni sehemu ya maadui wa taifa hili.. na ndio kama huyu
Kiranga manenoo meengi halafu upuuzi mtupu.