Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,373
- 8,284
Wake up acha ujinga marekani hajawahi kutoa msaada usio na faida kwake. So unataka kuniambia ile midege yote kaja kutoa msaada. Is a money trap wanataka kutafuta kuungwa mkono kwenye vita na urusiSasa hebu kila Mwanajf aainishe mwenyewe vitita vya pesa ambavyo Makamu wa Rais wa Marekani ameahidi Nchi yake itaichangia Tanzania , Sasa jioneeni wenyewe huruma waliyonayo Wazungu kwenu Watanzania .
Pamoja na kwamba wanatambua kuwa baadhi ya viongozi wenu waliokosa maono wanawaita Mabeberu lakini hawajawakatia tamaa , bado wanaendelea kuwasaidieni kiroho safi kabisa , tena wala hawakusema hatuwapi hela kwa vile Ripoti ya CAG imedai kwamba tuna viongozi wezi , wametoa tu kiroho safi kabisa , kazi ibaki kwenu wenyewe na wizi wenu .
Narudia tena , " Mungu Wabariki Wazungu"
Unaposema kudhalilisha unamaanisha nini ? kwamba Chadema haitambui ziara ya makamu wa Rais wa Marekani au haitaki misaada ya Marekani ?Huyu jamaa ndie mpiga debe namba moja wa Chadema humu ndani. Usitake kukidhalilisha chama chako namna hii.
[emoji38][emoji38][emoji38]Serikali nzima wamejipanga kupokea US Vice President na kupongeza na kushukuru ahadi; wao wanatumia viungo gani ?
Kwani Hangaya anayechekelea misaada ni Chawa wa nani ?Dah! wenzetu mnatumia viungo gani kufikiri?
Haya ndio mashariti ya uchawa?
Yaani mimi nifute uzi kwa sinema ya kutengeza ! labda kama hunijuiKama hujui kingwreza tafta mtu akutafsirie. Baada ya kuona hii video nafikiri utaufuta uzi wako mwenyewe bila usumbufu
Mna nini nyie makapuku wakubwa kiasi cha US kuomba muwaunge mkono ?Wake up acha ujinga marekani hajawahi kutoa msaada usio na faida kwake. So unataka kuniambia ile midege yote kaja kutoa msaada. Is a money trap wanataka kutafuta kuungwa mkono kwenye vita na urusi
Sasa hebu kila Mwanajf aainishe mwenyewe vitita vya pesa ambavyo Makamu wa Rais wa Marekani ameahidi Nchi yake itaichangia Tanzania , Sasa jioneeni wenyewe huruma waliyonayo Wazungu kwenu Watanzania .
Pamoja na kwamba wanatambua kuwa baadhi ya viongozi wenu waliokosa maono wanawaita Mabeberu lakini hawajawakatia tamaa , bado wanaendelea kuwasaidieni kiroho safi kabisa , tena wala hawakusema hatuwapi hela kwa vile Ripoti ya CAG imedai kwamba tuna viongozi wezi , wametoa tu kiroho safi kabisa , kazi ibaki kwenu wenyewe na wizi wenu .
Narudia tena , " Mungu Wabariki Wazungu"
Yaani mimi nifute uzi kwa sinema ya kutengeza ! labda kama hunijui
Mkuu hizo ni ahadi hewa, marais wote US waliokuja Tanzania na waliishia kutoa ahadi hewa. Obama alipokuja aliahidi kutoa $7.5b kwa ajili ya powerpull kwa Tanzania ili iweze kuwa msambazaji mkubwa wa umeme kusini mwa jangwa la Sahara. Usiwaamini sana hao matapeli.
Yaani mimi nifute uzi kwa sinema ya kutengeza ! labda kama hunijui
nishatulia , japo hueleweki mara kiazi mara mlamba asali ! Tafuta tusi moja basi la maanaTulia wewe mlamba asali
Ukweli husimama daima. Kwahiyo wewe unataka wazungu (wamarekani) walaaniwe? Chanjo mbalimbali mtapata wapi? ARV mtapata wapi? ona matangazo mbali2 kwenye tv mwisho utaona imekujia kwa ufadhili wa watu wa marekani (USAID) Huwezi ona urusi wala iran na wanaofanana na hao. Unakumbuka kuna mwaka wa-tz tulitaka kufa na njaa hawa jamaa wakaliokoa taifa kwa kuleta mahindi ya njano. Wewe wachukie wazungu huku ukiwa unafaidika na vitu vya wazungu.Kama kuna mtu huwa anakuelewa basi huyo mtu ni bonge la kiazi
leta nyingine
Hawa vijana Wajinga hawawezi kukuelewaUkweli husimama daima. Kwahiyo wewe unataka wazungu (wamarekani) walaaniwe? Chanjo mbalimbali mtapata wapi? ARV mtapata wapi? ona matangazo mbali2 kwenye tv mwisho utaona imekujia kwa ufadhili wa watu wa marekani (USAID) Huwezi ona urusi wala iran na wanaofanana na hao. Unakumbuka kuna mwaka wa-tz tulitaka kufa na njaa hawa jamaa wakaliokoa taifa kwa kuleta mahindi ya njano. Wewe wachukie wazungu huku ukiwa unafaidika na vitu vya wazungu.
Na watabarikiwa sanaWazungu wameisadia sana Africa
Sidhani kama hizo hela zinatoka kwao za walipa Kodi wao,wanatulainisha tu ila watuibie vizuri........sisi Africa tumekosa viongozi tu .............wangekuwa na huruma wangewasaidia homeless huko kwao maana wapo kibao......
Akikujibu nistueKuna nini cha kuibiwa Tanzania ambacho hakipo Marekani??
Endelea kuotaKuna nini cha kuibiwa Tanzania ambacho hakipo Marekani??