Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #61
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Wewe umewahi kutongozwa?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Wewe umewahi kutongozwa?
Ni kweli brother japo pia wana mapungufu yao ila linapokuja suala kusaidia hawa wazungu wanajitahidi sana...Sasa hebu kila Mwanajf aainishe mwenyewe vitita vya pesa ambavyo Makamu wa Rais wa Marekani ameahidi Nchi yake itaichangia Tanzania , Sasa jioneeni wenyewe huruma waliyonayo Wazungu kwenu Watanzania .
Pamoja na kwamba wanatambua kuwa baadhi ya viongozi wenu waliokosa maono wanawaita Mabeberu lakini hawajawakatia tamaa , bado wanaendelea kuwasaidieni kiroho safi kabisa , tena wala hawakusema hatuwapi hela kwa vile Ripoti ya CAG imedai kwamba tuna viongozi wezi , wametoa tu kiroho safi kabisa , kazi ibaki kwenu wenyewe na wizi wenu .
Narudia tena , " Mungu Wabariki Wazungu"
Hehehe kama vipi na ww uwafuate uko uko unatawaliwa kifikra na wazungu halaf unawapigia promo. Kwanza wamewalainisha kwny ile list ya mziki aliotoa Spotify anaosikiliza uyo Us vice president wanajua fikra zenu hazipo sawa kama ww hapo🤔 😅😂Sasa hebu kila Mwanajf aainishe mwenyewe vitita vya pesa ambavyo Makamu wa Rais wa Marekani ameahidi Nchi yake itaichangia Tanzania , Sasa jioneeni wenyewe huruma waliyonayo Wazungu kwenu Watanzania .
Pamoja na kwamba wanatambua kuwa baadhi ya viongozi wenu waliokosa maono wanawaita Mabeberu lakini hawajawakatia tamaa , bado wanaendelea kuwasaidieni kiroho safi kabisa , tena wala hawakusema hatuwapi hela kwa vile Ripoti ya CAG imedai kwamba tuna viongozi wezi , wametoa tu kiroho safi kabisa , kazi ibaki kwenu wenyewe na wizi wenu .
Narudia tena , " Mungu Wabariki Wazungu"
Kawape utigo wako wakulewiti.Sasa hebu kila Mwanajf aainishe mwenyewe vitita vya pesa ambavyo Makamu wa Rais wa Marekani ameahidi Nchi yake itaichangia Tanzania , Sasa jioneeni wenyewe huruma waliyonayo Wazungu kwenu Watanzania .
Pamoja na kwamba wanatambua kuwa baadhi ya viongozi wenu waliokosa maono wanawaita Mabeberu lakini hawajawakatia tamaa , bado wanaendelea kuwasaidieni kiroho safi kabisa , tena wala hawakusema hatuwapi hela kwa vile Ripoti ya CAG imedai kwamba tuna viongozi wezi , wametoa tu kiroho safi kabisa , kazi ibaki kwenu wenyewe na wizi wenu .
Narudia tena , " Mungu Wabariki Wazungu"
Huwa nashindwa kuelewa tofaut yako wewe ki mtazamo na JPM??Sasa hebu kila Mwanajf aainishe mwenyewe vitita vya pesa ambavyo Makamu wa Rais wa Marekani ameahidi Nchi yake itaichangia Tanzania , Sasa jioneeni wenyewe huruma waliyonayo Wazungu kwenu Watanzania .
Pamoja na kwamba wanatambua kuwa baadhi ya viongozi wenu waliokosa maono wanawaita Mabeberu lakini hawajawakatia tamaa , bado wanaendelea kuwasaidieni kiroho safi kabisa , tena wala hawakusema hatuwapi hela kwa vile Ripoti ya CAG imedai kwamba tuna viongozi wezi , wametoa tu kiroho safi kabisa , kazi ibaki kwenu wenyewe na wizi wenu .
Narudia tena , " Mungu Wabariki Wazungu"
napokea matusi ya aina zoteNa siku ukiingizwa ufurahie hivyo hivyo Mungu wabariki wazungu
Sijawahi kuua mtuHuwa nashindwa kuelewa tofaut yako wewe ki mtazamo na JPM??
Hii propaganda ya ushoga nyie mnaojidai mnaikataa ndio mnaifanyia promo.
- No free lunch under the sun Bob!
- Unapewa msaada na ukubali Sera zao za kiuchumi na za kijamii (ushoga, usagaji....)
- Umaskini ukifika na kusema kambi kwenye akili, ndio matokeo yake hayo.
Huyo dictator anchekesha duniani kote hotuba yake imepiku ya corona na mapapaiHii vita ya vinyesi tumemuachia BRIGEDIA MABWANGA atuongozeView attachment 2571299
Hiyo clip ya Mwakyembe iko wapi??tusaidieni hapa tuione jamiiHii propaganda ya ushoga nyie mnaojidai mnaikataa ndio mnaifanyia promo.
Hivi Tanzania hii ni nani alishawai kulazimishwa kuwa shoga? Kuwa shoga ni maamuzi ya muhusika mwenyewe.
Sasa mnaposema wazungu wanatulazimisha tuwe mashoga nashindwa kuelewa kivipi yaani.
Na kama wanataka tuuone ushoga ni hali ya kawaida basi wamefanikiwa kuupromote kupitia nyie mnaojida mnaupinga na hata media nyingi sasa hivi akihojiwa kiongozi yoyote ni lazima wamuulize msimamo wake kuhusu mashoga.
Sasa hivi ishu ya ushoga imeshaonekana ni ya kawaida sana kutokana na inavyopewa coverage kila mahali hata huko vijijini wameshaona ni ishu ya kawaida.
Naona vi clip vya mwakyembe kuhusu ushoga vinasambaa sana mitandaoni nikajiuliza ina maana hakujua kuwa anaufanyia ushoga promo.
Hawajui hao, wazee wa sound.....Mkuu hizo ni ahadi hewa, marais wote US waliokuja Tanzania na waliishia kutoa ahadi hewa. Obama alipokuja aliahidi kutoa $7.5b kwa ajili ya powerpull kwa Tanzania ili iweze kuwa msambazaji mkubwa wa umeme kusini mwa jangwa la Sahara. Usiwaamini sana hao matapeli.
Sijawahi muelewa huyo mwamba aiseee…Kama kuna mtu huwa anakuelewa basi huyo mtu ni bonge la kiazi
Wewe ndo umefulahia hiyo misaada na kisha tz mkipinga ushoga hiyo misaada itayeyuka fikiria kwanza kabla ya kufulahia vitu vya hovyo.Hizo ni propaganda za kijinga sana , swali lako ungeuliza viongozi wako wanaopokea misaada hiyo
Nilishatongozwa wanawake na sio wanaume na kwa taarifa yako hawawezzi kujaribuWewe umewahi kutongozwa?