Tunaposema "Mungu Wabariki Wazungu" muwe mnaelewa tunachomaanisha

Tunaposema "Mungu Wabariki Wazungu" muwe mnaelewa tunachomaanisha

Hivi wewe nikija kwako nikugawie gunia la mahindi ukiwa na njaa halafu natoka na mkeo hapo nimekupa chakula bure ama nahudumia hawara yangu
 
Ndoto za CHADEMA hizi.
Nawaombeni sana Watanzania/Wananchi kupiga kura kwa Umakini mkubwa sana, tena, sana sana 2024-2025

**Hii bandiko limepata ridhaa CHADEMA, upo uwezekano mkubwa sana. *Sio siri * ...ndio itakuwa sera yao ya mambo ya Nje.

Na uhakika hata wazungu wanashangazwa na
wanashangazwa kweli na mtoa mada kwa sababu wao wanajua wanatoa Misaada kwa mambo mawili tu..

1. Kuondoa hatia ya uovu[guilty conscious] walioufanya mababu zao wa mababu na wenyewe yaani (laana ikiwa ni pamoja na uovu wanaoendelea kuufanya) ambao hauwaridhishi na kuwaacha na hatia zaidi na...

2. Kupata unafuu kwenye kodi.... Yaani, wako tayari kutoa msaada wa bilioni moja badala ya kutoa dola milioni moja kumsaidia mfanyakazi wao anayehangaika. Ilimradi wanalipa kodi ndogo sana ambazo zingeweza kumsaidia mfanyakazi wake....nje ya kazini kwake.

Sina hata sumni ya fikra kama za mtoa mada. I beg to differ.
USA iliwafanyia nini mababu zako ikiwa mlikoloniwa na waarabu ?
 
Kuna nini cha kuibiwa Tanzania ambacho hakipo Marekani??
Hapo hatakaa akupe jibu wengine Kwa mawazo Yao wanafikiri america ni magorofa kote wanadhani mapori hakuna wala aridhi hawana Leo ukitaka mahindi au alizeti au aina yoyote ya chakula kwa wingi vitapatika kwa hao mnawaona wanawaibia sisi nimasikini TU hatujaonewa Mimi nilienda Japan vijijini Wana vitu vingi kuliko sisi na wanazalisha mnoo viazi vitamu maboga majimbi na kila aina ya vyakula wanazalisha vingi sasa watatuibia nini
 
Sasa hebu kila Mwanajf aainishe mwenyewe vitita vya pesa ambavyo Makamu wa Rais wa Marekani ameahidi Nchi yake itaichangia Tanzania, Sasa jioneeni wenyewe huruma waliyonayo Wazungu kwenu Watanzania.

Pamoja na kwamba wanatambua kuwa baadhi ya viongozi wenu waliokosa maono wanawaita Mabeberu lakini hawajawakatia tamaa, bado wanaendelea kuwasaidieni kiroho safi kabisa , tena wala hawakusema hatuwapi hela kwa vile Ripoti ya CAG imedai kwamba tuna viongozi wezi , wametoa tu kiroho safi kabisa , kazi ibaki kwenu wenyewe na wizi wenu.

Narudia tena, " Mungu Wabariki Wazungu"
Hamuhitaji misaada. Uchumi mnao ila mnaukalia
 
USA iliwafanyia nini mababu zako ikiwa mlikoloniwa na waarabu ?
Wazungu wote wa Ulaya wapo kule. Na walienda kuke marekani baada ya mababu zao kuwadhalimu. Waarabu walitubaka baka na kuwazalisha sana mababu na mabibi-tofauti kubwa na ukoloni wa Mzungu aliyefanya maovu yote yaani.... Katubaka, Katuua, Katuibia na hata ikukupendeza wameturoga .....U of S A....ndii vinara wa maovu.

Hivi hujiulizi imekuwaje U.S.A ndio iliyokuwa na watumwa wengi zaidi ya Nchi zingine....oops hilo hulioni.....Hivi hujiulizi ni kwa nini Hata mgeni wetu ilikuwa mbinde kufikia alipofikia....oops hilo hulioni.....hivi hujiulizi ni kwanini amelia wakati akiwa safarini kuja kwetu? kule Ghana? Ooops hilo hulioni kwa sababu wewe huoni rangi sio?

Nitakujibu

Siwezi kukuelewa na suala hili wala sita kuja kuwaelewa wanaodai niwaelewe kuwa wale wanaosema "Wabariki wazungu" wanaeleweka na nielewe. Siwezi.
 
Basi piga ishara ya msalaba na upumzike kwa amani
 
Sasa hebu kila Mwanajf aainishe mwenyewe vitita vya pesa ambavyo Makamu wa Rais wa Marekani ameahidi Nchi yake itaichangia Tanzania, Sasa jioneeni wenyewe huruma waliyonayo Wazungu kwenu Watanzania.

Pamoja na kwamba wanatambua kuwa baadhi ya viongozi wenu waliokosa maono wanawaita Mabeberu lakini hawajawakatia tamaa, bado wanaendelea kuwasaidieni kiroho safi kabisa , tena wala hawakusema hatuwapi hela kwa vile Ripoti ya CAG imedai kwamba tuna viongozi wezi , wametoa tu kiroho safi kabisa , kazi ibaki kwenu wenyewe na wizi wenu.

Narudia tena, " Mungu Wabariki Wazungu"
Ni wewe mkuu, 'Erythro'?

Nimesoma hayo maneno ya mwanzo kuhusu "huruma..." nikawa nacheka hadi machozi yakanitoka!

nilipoendelea kusoma hiyo mistari ya katikati, nikajua huyu ni 'Erythro' mwenyewe akitoa hadaa kwa wahusika kama kawaida yake!

LOoooh! Nilipofika mstari wa mwisho, ukikazia jinsi ulivyopania; kwa kujiapiza kabisa na kutoa kauli yako iliyozoeleka humu JF "Mungu wabariki...". Sikuwa na kicheko tena, ila machozi yaliendelea kutiririka kwa uchungu mkubwa.

Lakini, bado nadhani kuna hadaa ya namna fulani nyuma ya haya maneno yako. Kamwe siwezi kuamini kwamba ulichoandika hapa ndicho hasa ulichonuia watu wakielewe.

Huenda kuna ufafanuzi huko mbele ya safari, humo ndani ndani kwenye mjadala wenyewe. Ngoja nikatafute huko tafsiri ya haya uliyoandika hapa.
 
Mkuu hizo ni ahadi hewa, marais wote US waliokuja Tanzania na waliishia kutoa ahadi hewa. Obama alipokuja aliahidi kutoa $7.5b kwa ajili ya powerpull kwa Tanzania ili iweze kuwa msambazaji mkubwa wa umeme kusini mwa jangwa la Sahara. Usiwaamini sana hao matapeli.
Hata kama ingekuwa ni halisia yenyewe, kwamba wanatoa hela hiyo, wananunua nini kwetu?

Tuna kitu gani cha thamani wanachokitafuta kwetu hadi watoe hiyo pesa? Hapo ndipo penye jibu.

Hiyo hela haitolewi bure, kwa kujifurahisha tu, au "kwa kutupenda" kama Erythrocyte anavyodai kwenye mada yake.

"Wazungu watupende"? Tumekuwa mabinti wanataka watuoe?

Inakuwa mbaya zaidi, hata tunaposhindwa kuitumia hiyo inayoitwa "misaada" isaidie nguvu zetu tuondokane na huu utegemezi wa kujiuzauza kila mara.
Miaka zaidi ya 60, bado tunalilia misaada?
 
Sasa hebu kila Mwanajf aainishe mwenyewe vitita vya pesa ambavyo Makamu wa Rais wa Marekani ameahidi Nchi yake itaichangia Tanzania, Sasa jioneeni wenyewe huruma waliyonayo Wazungu kwenu Watanzania.

Pamoja na kwamba wanatambua kuwa baadhi ya viongozi wenu waliokosa maono wanawaita Mabeberu lakini hawajawakatia tamaa, bado wanaendelea kuwasaidieni kiroho safi kabisa , tena wala hawakusema hatuwapi hela kwa vile Ripoti ya CAG imedai kwamba tuna viongozi wezi , wametoa tu kiroho safi kabisa , kazi ibaki kwenu wenyewe na wizi wenu.

Narudia tena, " Mungu Wabariki Wazungu"
Ehh ..
!!??
 
Toa 5000 chukua 20000
Ingeishia hapo, isingekuwa mbaya sana.
Lakini ni zaidi sana na haiishii kwenye faida ya pesa inayoingia.

Wenyewe wanasema "values", yaani wanatuuzia "values" zao na zaidi.

Unaposikia habari za "democracy", ni sehemu ya bidhaa hizo wanazotuuzia. Sasa pengine utanishangaa ninapotaja 'democracy' kwani hii ni bidhaa ambayo sote tunaihitaji. Lakini ni democracy' hiyo hiyo ndiyo wanayoitumia kueneza "values" zao, na kututawala kwa 'remote'.
 
Tangu kikwete atembee kwa wazungu miaka yake kumi nini tanzania imeafaidi na shida zipi zimeisha?

1 Namba moja naadika mimi choo kwa wanafunzi hiyo shida imeisha?
2 kkwanini waPinzani bado mnasema hatujajikomboa kama hao wazungu waliahidi kwa kijwete vitu vingi na bado shida ipo??

Je shida ziliisha tanzania kea zile ahadi alizopata kikwete?
Sasa hapo mwenye shida ni nani?.anayepokea alafu akashindwa kutumia vizuri au anayetoa?
 
Wake up acha ujinga marekani hajawahi kutoa msaada usio na faida kwake. So unataka kuniambia ile midege yote kaja kutoa msaada. Is a money trap wanataka kutafuta kuungwa mkono kwenye vita na urusi
Tayari!

Naomba mleta mada akusome vizuri na akuelewe.

Ngoja na mimi nimfafanulie zaidi.

Katika historia ya nchi yetu, tokea tupate uhuru, hapo mwaka 1961, hatujawahi kumwogopa mtu yeyote katika kueleza msimamo wetu katika jambo lolote.

Ni hadi juzi juzi tu, mwezi mmoja au miwili, kwa mara ya kwanza kabisa Tanzania ililazimika kujificha vichakani mjini New York, ili isipige kura kwenye azimio la kuilaani Urusi. hata kule kujitokeza na kupiga kura ya kutofungamana, na upande wowote tukaona haitoshi, bali tujifiche kabisa tusijulikane tupo wapi.

Sasa hii ndiyo zawadi ya tendo letu hilo la kusikitisha sana kwa nchi yetu.

Watu ni lazima waelewe kwamba dunia inajitoa kwenye mtindo wa 'unipolar' unaoendeshwa na mbabe huyu anayetununua sasa hivi. Dunia inaingia kwenye 'multipolar'; lakini mkubwa bado anataka ashikilie unyampara kwa dunia, kwa hiyo viumbe hafifu kama sisi (soma viongozi wetu), ndio sasa wanajiingiza humo humo.
Hovyo Kabisa.
 
Mpaka sasa itabaki kwamba wametuahidi , hakuna lugha nyingine
Na mkikubaliana na matakwa yao ndiyo ahadi zitatekelezwa! Takwa la kwanza ni Ushoga aka Ndoa za jinsia moja! Kazi kwenu no free lunch under the sun!!
 
Nahisi propaganda ya kuwalaumu kwa kila kitu wazungu,Viongozi wa kiafrika nao wanaitumia kama fursa kuendelea kuwachota akili.

Mtu anakuambia Kamala kaja kutangaza ushoga! Yaani airforce 1 itoke Washington na mpka bongo kuja kuwaambia muache USHOGA kweli?,wao wananufaika na nni kama utakuwa shoga au laa?,

Sometimes hiyo mental slavery ni sisi wenyewe tumeibeba,Marekani ndo aliwaambia wapeleke invoice ya 86m$? Marekani ndiye anayewalazimisha kukaa madarakani miaka na miaka....

Wanachokitaka sana ni kumshawishi tu kama alivyokuwa anafanya yule mfalme wa Morocco na si vinginevyo,wakitaka kukutawala watakutawala tu,

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Basi piga ishara ya msalaba na upumzike kwa amani

Hapana.sikukubaliana na maoni yako huko juu na unavyotaka kulazimisha mambo sasa. Nilihisi una hoja dhaifu kwanini nikuelewe unaposema mungu awabariki una maanisha nini.

Na kwahayo majibu yako naamini huna sababu halali za kunilazimisha kufanya nikuelewe ikiwa na pamoja na kunitaka sasa kuomba kwa kutumia alama au ishara ya msalaba kwa sababu hukufurahishwa na majibu niliyotoa. Umetoa wapi nyodo hiyo?

Kwanza kuna ukinzani na haki za za wazungu, "haki ya msingi ambayo kila mtu yuko huru kutafuta na kupokea taarifa kutoka kwa maoni yote bila kizuizi" Unachovimba ni nini?

Usinilazimishe kunyenyekea na kuwapigia mabusu miguu wazungu

Nyie CHADEMA ndio mpumzike na amani, kwani mkileta za kuleta tuwawafirigisa hakuna mfano, hatutaki mtulazimishe na siasa za mlengo wa kulia wa wahafidhina wa kizungu.

Nenda umpigie ishara hiyo ubeligiji wanahitaji zaidi uwaambie wapumzike kwa amani. Wazungu wanahitaji hilo kwa laan waliyokuwa nayo.

BTW situmii ishara hiyo. Usinilazimishe.
 
Sasa hebu kila Mwanajf aainishe mwenyewe vitita vya pesa ambavyo Makamu wa Rais wa Marekani ameahidi Nchi yake itaichangia Tanzania, Sasa jioneeni wenyewe huruma waliyonayo Wazungu kwenu Watanzania.

Pamoja na kwamba wanatambua kuwa baadhi ya viongozi wenu waliokosa maono wanawaita Mabeberu lakini hawajawakatia tamaa, bado wanaendelea kuwasaidieni kiroho safi kabisa , tena wala hawakusema hatuwapi hela kwa vile Ripoti ya CAG imedai kwamba tuna viongozi wezi , wametoa tu kiroho safi kabisa , kazi ibaki kwenu wenyewe na wizi wenu.

Narudia tena, " Mungu Wabariki Wazungu"
Unateseka sana aisee

Kuna siku utatembea uchi
 
Rubbish!
 
Back
Top Bottom