Tunaposema "Mungu Wabariki Wazungu" muwe mnaelewa tunachomaanisha

Wazungu hawajawahi kumpenda mtu mweusi.
Ukiishi nao ndio utajua tabia zao halisi.
Na hizo fedha zimetolewa kimkakati.
 
Hapo ulipo malizia, tupo pamoja. Hivyo tuendelee kuwashukuru wazungu, maana hatuna namna.
Ni hivi: hapa hupewi msaada utakaokuwezesha kujiondoa kwenye utegemezi, bali hivi ni vimisaada vya kimkakati tu, huku tukiendelea kuwa wategemezi kwa hao watu.
Na kwa bahati mbaya sana, hawa "wazungu wanaotupenda sana" kama ulivyosema wanaijua vizuri kabisa tabia yetu, hasa ya viongozi, kwamba hatuwezi kujiondoa katika...
 
Sasa hebu kila Mwanajf aainishe mwenyewe vitita vya pesa ambavyo Makamu wa Rais wa Marekani ameahidi Nchi yake itaichangia Tanzania, Sasa jioneeni wenyewe huruma waliyonayo Wazungu kwenu Watanzania.

Pamoja na kwamba wanatambua kuwa baadhi ya viongozi wenu waliokosa maono wanawaita Mabeberu lakini hawajawakatia tamaa, bado wanaendelea kuwasaidieni kiroho safi kabisa , tena wala hawakusema hatuwapi hela kwa vile Ripoti ya CAG imedai kwamba tuna viongozi wezi , wametoa tu kiroho safi kabisa , kazi ibaki kwenu wenyewe na wizi wenu.

Narudia tena, " Mungu Wabariki Wazungu"
Hayo ni makaratasi tuu, wenye hela ni sisi wenye gold na madini mengine.

Wao wanaprint karatasi na kuzipa thamani, sisi kwetu wanachukua madini na vitu halisia vyenye thamani.

Mfumo wa hela za karatasi wameutengeneza wao ili uwanufaishe wao.

Unadhani hizo hela alizo haidi anaenda kuzichimba kwenye mgodi tofauti na kwenda kuzi print kwenye machine?

Kwa taarifa yako, sisi bila wao tunaweza kuishi vizuri sana ila wao bila sisi hawawezi ishi ndiyo maana wanatengeneza mifumo kandamizi na kuisimamia kimabavu.
 
Kwa nini na sisi tusiprinti tu hizo karatasi?

Dhahabu inayochimbwa Marekani, Canada na Australia inaifanya hiyo ya kwenu Africa kuwa cha mtoto tu.
Hayo ni makaratasi tuu, wenye hela ni sisi wenye gold na madini mengine.

Wao wanaprint karatasi na kuzipa thamani, sisi kwetu wanachukua madini na vitu halisia vyenye thamani.

Mfumo wa hela za karatasi wameutengeneza wao ili uwanufaishe wao.

Unadhani hizo hela alizo haidi anaenda kuzichimba kwenye mgodi tofauti na kwenda kuzi print kwenye machine?

Kwa taarifa yako, sisi bila wao tunaweza kuishi vizuri sana ila wao bila sisi hawawezi ishi ndiyo maana wanatengeneza mifumo kandamizi na kuisimamia kimabavu.
 
Sasa hebu kila Mwanajf aainishe mwenyewe vitita vya pesa ambavyo Makamu wa Rais wa Marekani ameahidi Nchi yake itaichangia Tanzania, Sasa jioneeni wenyewe huruma waliyonayo Wazungu kwenu Watanzania.

Pamoja na kwamba wanatambua kuwa baadhi ya viongozi wenu waliokosa maono wanawaita Mabeberu lakini hawajawakatia tamaa, bado wanaendelea kuwasaidieni kiroho safi kabisa , tena wala hawakusema hatuwapi hela kwa vile Ripoti ya CAG imedai kwamba tuna viongozi wezi , wametoa tu kiroho safi kabisa , kazi ibaki kwenu wenyewe na wizi wenu.

Narudia tena, " Mungu Wabariki Wazungu"
742D7699-1BB6-477F-AF05-23FC0ABC935F.jpeg
 
Sidhani kama hizo hela zinatoka kwao za walipa Kodi wao,wanatulainisha tu ila watuibie vizuri........sisi Africa tumekosa viongozi tu .............wangekuwa na huruma wangewasaidia homeless huko kwao maana wapo kibao......
Hiyo misaada haijaanza leo ni toka uhuru na haijatusaidia kusimama wenyewe kiuchumi kwa hiyo ni mpumbavu tu ndio anashabikia huo ujinga.
 
Wakati huo huo ARV kutoka kwa hao wazungu bado unazichangamkia kila uchao.

Ukiwa mvuta bangi jitahidi usiwe na maadui
 
Unapowaongelea WAZUNGU, unawajumuisha RUSSIA na Ili nami nikuunge mkono?
 
Wakati huo huo ARV kutoka kwa hao wazungu bado unazichangamkia kila uchao.

Ukiwa mvuta bangi jitahidi usiwe na maadui
ARV'S ni tatizo ndugu sio ishu ya kuifurahia wala kuona wazungu wanatupenda sikia iko hivi huo ugonjwa wameleta wao kwa sababu zao za kutupunguza lakini tulipoanza kupukutika mwenye formula zake akataka kutoa dawa wakaona wamuue mtengenezaji wa formula ya huo ugonjwa na namna ya kuutibu anaitwa Robert garlow, formula zote wakabaki nazo ghafla wakabuni biashara ndani ya ugonjwa kwa kutengeneza hizo ARV'S ambazo mgonjwa atatakiwa kuzitumia kwa maisha yake yote huku zikiwa zinaua Figo zake na Figo zinapoanza kufeli kwa mtumiaji wa hizo dawa mtu anaanza kunenepa kusiko na mpango yaani anaanza kuwa na guu la bia mara kanenepa hadi sura harafu utasikia mnasema ana nawili dawa zinampenda kweli kweli, wazungu ukimwi kwao sio ishu haupo kivile ndio maana hawana mpango wa kutoa dawa au chanjo we fikiria COVID-19 ilivowapukutisha si chanjo waliipata ndani ya miezi tu, poleni sana watu weusi.
 
Hujajibu nilichokulliza naona unarukaruka tu.

Kwanini ARV zao unaendelea kuzibugia?

Kwanini huzikatai kisa zinatengenezwa na hao wazungu unao waona hawana maana?
 
Nimekujibu vzr tu ila unaonekana una kichwa nazi suala la kuendelea kuzitumia hiyo sio ishu yangu mimi nimejaribu kukupa facts za nini kinaendelea kweny suala la kuendelea kuzitumia hiyo ni ishu ya viongozi wenu wa kiafrica wanao wadalalia kwa wazungu ili wapate misaada bila kujali afya za watu wao coz wanajua watu wao ni wajinga hawana wanalo lijua.
 
Hujajibu nilichokulliza naona unarukaruka tu.

Kwanini ARV zao unaendelea kuzibugia?

Kwanini huzikatai kisa zinatengenezwa na hao wazungu unao waona hawana maana?
Pia hakuna mahala nimesema nahitaji hizo ARV'S za hao wazungu so keep in mind that mimi sio mteja wa hiyo bidhaa.
 
Sasa hebu kila Mwanajf aainishe mwenyewe vitita vya pesa ambavyo Makamu wa Rais wa Marekani ameahidi Nchi yake itaichangia Tanzania, Sasa jioneeni wenyewe huruma waliyonayo Wazungu kwenu Watanzania.

Pamoja na kwamba wanatambua kuwa baadhi ya viongozi wenu waliokosa maono wanawaita Mabeberu lakini hawajawakatia tamaa, bado wanaendelea kuwasaidieni kiroho safi kabisa , tena wala hawakusema hatuwapi hela kwa vile Ripoti ya CAG imedai kwamba tuna viongozi wezi , wametoa tu kiroho safi kabisa , kazi ibaki kwenu wenyewe na wizi wenu.

Narudia tena, " Mungu Wabariki Wazungu"
Kwani ulitaka kumfula mwanamke si unaanza kumuahidi vitu muhimu kama gari..ndo maana wadada wengi unakuta ni wasomi na warembo lakini wako tayari kuvaaa mpamasi ili wapewe gari waliaowhidiwa
 
Pia hakuna mahala nimesema nahitaji hizo ARV'S za hao wazungu so keep in mind that mimi sio mteja wa hiyo bidhaa.
Tatizo lako hutumii akili hata kidogo.

Wewe umejifanya kuwaongelea watanzania kwa ujumla wao kuwa hatuwahitaji hao wamarekani, nimekijibu kulingana na ulivyojibu unatoka unyooya
 
Back
Top Bottom