EL_CHAPO_UNO
JF-Expert Member
- Apr 14, 2022
- 273
- 521
Harafu hakuna mahali uliponiuliza swali lolote nakushangaa unasema nikujibu swali ulilouliza so kama skanka huziwezi waachie wanaoweza zitakutia ukichaa na ubongo wako wa bata huo.
Na wewe upo kwenye hilo kundi unalisema la wajingaNimekujibu vzr tu ila unaonekana una kichwa nazi suala la kuendelea kuzitumia hiyo sio ishu yangu mimi nimejaribu kukupa facts za nini kinaendelea kweny suala la kuendelea kuzitumia hiyo ni ishu ya viongozi wenu wa kiafrica wanao wadalalia kwa wazungu ili wapate misaada bila kujali afya za watu wao coz wanajua watu wao ni wajinga hawana wanalo lijua.
Haijawahi na haitatokeaHarafu hakuna mahali uliponiuliza swali lolote nakushangaa unasema nikujibu swali ulilouliza so kama skanka huziwezi waachie wanaoweza zitakutia ukichaa na ubongo wako wa bata huo.
Kumbe kilaza bye!Haijawahi na haitatokea
Inawezekana walizitoa wewe hukujua au zikaishia tumboni mwa akina Biswaro na Dotto.Mkuu hizo ni ahadi hewa, marais wote US waliokuja Tanzania na waliishia kutoa ahadi hewa. Obama alipokuja aliahidi kutoa $7.5b kwa ajili ya powerpull kwa Tanzania ili iweze kuwa msambazaji mkubwa wa umeme kusini mwa jangwa la Sahara. Usiwaamini sana hao matapeli.
Kilaza ni wazazi wako waliokuzaaKumbe kilaza bye!
Shida wewe ni [emoji304]Kilaza ni wazazi wako waliokuzaa
Shida wew ni [emoji304]Kilaza ni wazazi wako waliokuzaa
Nakuona kwenye ubora wako maana matangazo ni biashara.Shida wewe ni [emoji304]
Hangaya kawa kama mfanyakazi wa nyumbani kaitwa na boss
Ni mpumbavu wa kiwango cha "stupid" ya Mh. Rais anayeweza hata kufikiri kuwa Africa ni masikini sababu ya wazungu.Africa ni masikini kwa sababu ya uongozi mbovu.NUKTA.
Hapo si ndio kwnye kampeni zenuNakuona kwenye ubora wako maana matangazo ni biashara.View attachment 2571893
Hata mkikashifu na mkikesha makaburini mnawanga mama yetu ndiye rais wa JMT.Hangaya kawa kama mfanyakazi wa nyumbani kaitwa na boss
Utajua mwenyeweHapo si ndio kwnye kampeni zenu
My wife unampenda sana HangayaHata mkikashifu na mkikesha makaburini mnawanga mama yetu ndiye rais wa JMT.
Huyo mwingine mkitaka mfuateni akhera
...period....Ni mpumbavu wa kiwango cha "stupid" ya Mh. Rais anayeweza hata kufikiri kuwa Africa ni masikini sababu ya wazungu.
Ukweli usiohitaji hata uone mlango wa darasa la kwanza ni kuwa Africa inafukarishwa na uongozi mbovu.
Biashara ni matangazo kama kawaida yenu sukuma gang. Naona unafanya mazoezi ya kunyoonya koniMy wife unampenda sana Hangaya
CCM haina tumbo la uzazi bwashee!! Ntake radhi haraka sana.Kizazi Cha kijinga Cha ccm kina mtu muelewa kweli?
kitu usichokijua kwa mtazamo wako wa kawaida unaona hivyo kwa uhalisia hizo pesa wanakuja kuzirudisha kwa mtindo mwingine kwa mfano mdogo tu umesikia mama akilala mika kampuni inayotuuzia ndege ya mizigo boing imetuongezea pesa nyingi tofauti na makubaliano ya awali ,hiyo kampuni ya boing ni kampuni ya kimarekani na hizo pesa wakitupiga zinarudi marekani na wananufaika wamarekani zaidi achilia mbali makampuni ya madini ya kimarekani yaliopo nchini na yanayokuja yataendelea kutupiga laki na wanatupa 20 elfu kama masaada .tustukeSasa hebu kila Mwanajf aainishe mwenyewe vitita vya pesa ambavyo Makamu wa Rais wa Marekani ameahidi Nchi yake itaichangia Tanzania, Sasa jioneeni wenyewe huruma waliyonayo Wazungu kwenu Watanzania.
Pamoja na kwamba wanatambua kuwa baadhi ya viongozi wenu waliokosa maono wanawaita Mabeberu lakini hawajawakatia tamaa, bado wanaendelea kuwasaidieni kiroho safi kabisa , tena wala hawakusema hatuwapi hela kwa vile Ripoti ya CAG imedai kwamba tuna viongozi wezi , wametoa tu kiroho safi kabisa , kazi ibaki kwenu wenyewe na wizi wenu.
Narudia tena, " Mungu Wabariki Wazungu"