Pre GE2025 Tunaposhangaa misafara ya Makonda tukumbuke Mbowe anatumia Usafiri wa Chopa kwenye mikutano ya Kawaida kabisa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nimeona akina Yoda, Tindo, Mshana Jr nk wanalalamikia msafara wa bodaboda zinazomsindikiza Komredi Makonda kwenye mikutano yake ya Chama

Niwashauri tu wangeanza kuhoji Matumizi mabaya ya ruzuku kukodi Chopa wanayopanda Watu Wawili tu Mbowe na Mrema

Sina Mengi

Mlale Unono 😀
 
Hii ni chawa promax

Amekwend mwana kwend R.ip
1706043561837.jpg
 
Hiyo chopa ni ya serekali? Watu wanahoji magari ya serekali kutumika kwenye ziara za huyo muhalifu kwa faida ya chama.
serekali = serikali. Kama hamuwezi kubana matumizi kwa hicho kidogo mlicho nacho mkipewa nchi si mtafanya msafara wa chopa angani? CHADEMA mna akili za kijinga sana.
 
Kwenye mikutano ya dhalimu magu si kulikuwa na helkopta zinazanguka angani na hukuwahi kujiliza hivi? Ni wapi uliwahi kuanzisha Uzi kupinga hizo akili za kijinga za ccm?
 
Nimeona akina Yoda, Tindo, Mshana Jr nk wanalalamikia msafara wa bodaboda zinazomsindikiza Komredi Makonda kwenye mikutano yake ya Chama

Niwashauri tu wangeanza kuhoji Matumizi mabaya ya ruzuku kukodi Chopa wanayopanda Watu Wawili tu Mbowe na Mrema

Sina Mengi

Mlale Unono 😀
Mbowe na CHADEMA wamewakosea nini?

Kila siku MBOWE! CHADEMA! MBOWE! CHADEMA!

Muwe mnawataja na wengine basi😃
 
Kwenye mikutano ya dhalimu magu si kulikuwa na helkopta zinazanguka angani na hukuwahi kujiliza hivi? Ni wapi uliwahi kuanzisha Uzi kupinga hizo akili za kijinga za ccm?
Makonda mmoja = Mbowe+lisu+mnyika+sugu× wajinga wooote wa Chadema
 
Hiyo chopa ni ya serekali? Watu wanahoji magari ya serekali kutumika kwenye ziara za huyo muhalifu kwa faida ya chama.
Chopa inatumia ruzuku za serikali ambayo ni kodi ya wananchi masikini
 
Hapo iliposhiwa na mafuta na ikabakia kuwa ya kupigia selfie
fb_img_1684849274867-jpg.2632462
 
Nimeona akina Yoda, Tindo, Mshana Jr nk wanalalamikia msafara wa bodaboda zinazomsindikiza Komredi Makonda kwenye mikutano yake ya Chama

Niwashauri tu wangeanza kuhoji Matumizi mabaya ya ruzuku kukodi Chopa wanayopanda Watu Wawili tu Mbowe na Mrema

Sina Mengi

Mlale Unono [emoji3]

IMG_6223.jpg
 
Back
Top Bottom