Ni hela yakeNimeona akina Yoda, Tindo, Mshana Jr nk wanalalamikia msafara wa bodaboda zinazomsindikiza Komredi Makonda kwenye mikutano yake ya Chama
Niwashauri tu wangeanza kuhoji Matumizi mabaya ya ruzuku kukodi Chopa wanayopanda Watu Wawili tu Mbowe na Mrema
Sina Mengi
Mlale Unono [emoji3]