Hiyo ndio tofauti ya Chama tawala na Chama cha upinzani.Ruzuku ni ya chama sio ya serekali. Magari ya SM, STK ni ya chama?
Chama ndio chenye serikali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ndio tofauti ya Chama tawala na Chama cha upinzani.Ruzuku ni ya chama sio ya serekali. Magari ya SM, STK ni ya chama?
Hiyo ndio tofauti ya Chama tawala na Chama cha upinzani.
Chama ndio chenye serikali
Hapo iliposhiwa na mafuta na ikabakia kuwa ya kupigia selfie![]()
Kuna gari la serikali hapo ?![]()
Hizi ni za ruzuku-kodi za wananchi.
😀😀😀😉Kuna gari la serikali hapo ?
Sina uhakika, lakini ndivyo inavyoonekana. We can assume?..Ccm huwa hawaishiwi fedha.
Wafadhili? Hatahivyo hata ikitokea CHADEMA wameshika Dola-watakamua kodi kulingana na kamba zao. In a sense kwamba wao ndio watakuwa Serikali/Serikalini...jiulize wanatoa wapi fedha za kutapanya bila kikomo kama sio kwa kutukamua kwa kodi, tozo, na ufisadi?
Sina uhakika, lakini ndivyo inavyoonekana. We can assume?
Wafadhili? Hatahivyo hata ikitokea CHADEMA wameshika Dola-watakamua kodi kulingana na kamba zao. In a sense kwamba wao ndio watakuwa Serikali/Serikalini.
Ni kuulize tu, labda utakuwa na za ndani za CHADEMA.
Unafikiri wana bajeti za kununua Noah pindi wakishika Dola?ki
Huna akiliNimeona akina Yoda, Tindo, Mshana Jr nk wanalalamikia msafara wa bodaboda zinazomsindikiza Komredi Makonda kwenye mikutano yake ya Chama
Niwashauri tu wangeanza kuhoji Matumizi mabaya ya ruzuku kukodi Chopa wanayopanda Watu Wawili tu Mbowe na Mrema
Sina Mengi
Mlale Unono [emoji3]
Hana akili JoHiyo chopa ni ya serekali? Watu wanahoji magari ya serekali kutumika kwenye ziara za huyo muhalifu kwa faida ya chama.
Hana akili huyuHizi wazungu wanaziiita 'whataboutisms'.. inasababisha mjadala unakuwa mrefu na hakutakuwa na nukta. nape,mwigulu na marehemu Filikunjombe walifanya kampeni na chopa 2015?je walitumia ruzuku vibaya?
Mwingine aendelee na "what about....?"[emoji38]
Makonda ni mpango wa Mungu,jiandae kuugua kisukari na presha kwa chuki ulizonazo dhidi yake.Hiyo chopa ni ya serekali? Watu wanahoji magari ya serekali kutumika kwenye ziara za huyo muhalifu kwa faida ya chama.
Kweli una AKILI NDOGO SANANimeona akina Yoda, Tindo, Mshana Jr nk wanalalamikia msafara wa bodaboda zinazomsindikiza Komredi Makonda kwenye mikutano yake ya Chama
Niwashauri tu wangeanza kuhoji Matumizi mabaya ya ruzuku kukodi Chopa wanayopanda Watu Wawili tu Mbowe na Mrema
Sina Mengi
Mlale Unono [emoji3]
Dhana ni Ile Ile hakuna kitakachobadilika ikiwa ameshindwa kujidhibiti hana Serikali akiwanayo atawezaje Sasa? Utetezi wa kijingaHiyo chopa ni ya serekali? Watu wanahoji magari ya serekali kutumika kwenye ziara za huyo muhalifu kwa faida ya chama.
Kwani ruzuku haitokani na kodi za Wananchi Maskini?Hiyo chopa ni ya serekali? Watu wanahoji magari ya serekali kutumika kwenye ziara za huyo muhalifu kwa faida ya chama.
Haya
wahenga hawakukosea waliposema,Hiyo chopa ni ya serekali? Watu wanahoji magari ya serekali kutumika kwenye ziara za huyo muhalifu kwa faida ya chama.
unadhani ataelewa sasa huyo mtu mzima anaeishi kwa wazaza wake?r🐒Kwani ruzuku haitokani na kodi za Wananchi Maskini?
Samahani lakini!
Naamini katiba hii iliopo inatosheleza kama ilivyo kama tu ikafuatwa na kuheshimiwa. Mbona J.K.Nyerere aliweza? Hatahivyo marekebisho yanaweza yakafanywa kupunguza au kuongeza athari zinazoonekana. Chanya au Hasi...tunahitaji katiba mpya na bora itakayodhibiti wanasiasa na watawala.
Kwa msingi huo unadai Katiba yetu ni nzee hatahivyo inafanya kazi kama ilivyo...katiba hii ya 1977 hata tukichagua kiongozi msafi lazima atalewa na kuvimbiwa na madaraka na mwisho wake sio mzuri kwetu.
..kama utakumbuka ktk kampeni za 2020 Lissu alikuwa akiwaambia wananchi kwamba anataka kubadilisha katiba ndani ya muda mfupi kwasababu hataki kuwa Raisi mungu-mtu kama watangulizi ktk nafasi hiyo.