Naamini katiba hii iliopo inatosheleza kama ilivyo kama tu ikafuatwa na kuheshimiwa. Mbona J.K.Nyerere aliweza? Hatahivyo marekebisho yanaweza yakafanywa kupunguza au kuongeza athari zinazoonekana. Chanya au Hasi.
Kwa msingi huo unadai Katiba yetu ni nzee hatahivyo inafanya kazi kama ilivyo.
Kama Rais Nyerere aliweza kutawala bila ya kulewa na kuvimbiwa, Kwanini imshinde Tundu Lissu au mtu yeyote yule?
...
JK, nakumbuka.
Je, TL anashindwa nini, kama ndie atakae chaguliwa kuwa Raisi, ashindwe kufanya kama alivyofanya Rais J.K. Nyerere?
Eniweyi, sidhani kama katiba mpya ndio itamfanya Lissu au Mbowe kutotumia V8 kama ndio gari Serikali inaweza kumpatia. Ukizingatia kwamba anahitaji ulinzi na aina fulani ya Comfort akiwa kwenye gari.