johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
serekali = serikali. Kama hamuwezi kubana matumizi kwa hicho kidogo mlicho nacho mkipewa nchi si mtafanya msafara wa chopa angani? CHADEMA mna akili za kijinga sana.Hiyo chopa ni ya serekali? Watu wanahoji magari ya serekali kutumika kwenye ziara za huyo muhalifu kwa faida ya chama.
serekali = serikali. Kama hamuwezi kubana matumizi kwa hicho kidogo mlicho nacho mkipewa nchi si mtafanya msafara wa chopa angani? CHADEMA mna akili za kijinga sana.
Mbowe na CHADEMA wamewakosea nini?Nimeona akina Yoda, Tindo, Mshana Jr nk wanalalamikia msafara wa bodaboda zinazomsindikiza Komredi Makonda kwenye mikutano yake ya Chama
Niwashauri tu wangeanza kuhoji Matumizi mabaya ya ruzuku kukodi Chopa wanayopanda Watu Wawili tu Mbowe na Mrema
Sina Mengi
Mlale Unono 😀
Utakufa vibaya wewe si kwa wivu huoHiyo chopa ni ya serekali? Watu wanahoji magari ya serekali kutumika kwenye ziara za huyo muhalifu kwa faida ya chama.
Makonda mmoja = Mbowe+lisu+mnyika+sugu× wajinga wooote wa ChademaKwenye mikutano ya dhalimu magu si kulikuwa na helkopta zinazanguka angani na hukuwahi kujiliza hivi? Ni wapi uliwahi kuanzisha Uzi kupinga hizo akili za kijinga za ccm?
Makengeza manUsifananishe mbwowe na kiazi kimoja kipendacho attention
Chopa inatumia ruzuku za serikali ambayo ni kodi ya wananchi masikiniHiyo chopa ni ya serekali? Watu wanahoji magari ya serekali kutumika kwenye ziara za huyo muhalifu kwa faida ya chama.
Makonda mmoja = Mbowe+lisu+mnyika+sugu× wajinga wooote wa Chadema
Chopa inatumia ruzuku za serikali ambayo ni kodi ya wananchi masikini
Nimeona akina Yoda, Tindo, Mshana Jr nk wanalalamikia msafara wa bodaboda zinazomsindikiza Komredi Makonda kwenye mikutano yake ya Chama
Niwashauri tu wangeanza kuhoji Matumizi mabaya ya ruzuku kukodi Chopa wanayopanda Watu Wawili tu Mbowe na Mrema
Sina Mengi
Mlale Unono [emoji3]
Makonda mmoja = Mbowe+lisu+mnyika+sugu× wajinga wooote wa Chadema