Pre GE2025 Tunaposhangaa misafara ya Makonda tukumbuke Mbowe anatumia Usafiri wa Chopa kwenye mikutano ya Kawaida kabisa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

..Mwalimu Nyerere alikuwa dikteta.

..alikuwa akiwaweka kizuizini au kuwapeleka uhamishoni wapinzani wake.

..mambo mengi mabaya yaliyofanywa ktk utawala wake yaliwezeshwa na ubovu wa katiba yetu.

..kitu ambacho kinamheshimisha Mwalimu Nyerere ni kutokuwa na tamaa ya mali na kutojihusisha na ufisadi.

..Katiba Mpya na Bora haiepukiki.
 
Dhana ni Ile Ile hakuna kitakachobadilika ikiwa ameshindwa kujidhibiti hana Serikali akiwanayo atawezaje Sasa? Utetezi wa kijinga

Ndio maana tuna taka katiba mpya kuepuka viongozi kujifanyia watakavyo.
 
Yaani we ndugu unatakiwa uamke usingizini. Wakati katakata ya umeme intufanya mafukara, sukari, petrol, Chakula na kila kitu viko Bei juu mshenji mmoja anazurura nchi nzima akikusanya watumishi wa umma na kuvuruga huduma za jamii kwa gharama kubwa ya misafara ya magari ya serikali.
Asichojua ni kuwa watanzania wa sasa wanahoji kila kitu. Yaani Mwenyezi anafanya kazi za RAIS naPM. Alafu mtu mwenyewe kichwani sasa!!

Muda ukifika watajua hawajui.
Advertise mmeona Dar juzi.

Ridiculous !!!
 
..Mwalimu Nyerere alikuwa dikteta.
Huo ni Uzushi.
..alikuwa akiwaweka kizuizini au kuwapeleka uhamishoni wapinzani wake.
Nitajie Nchi yeyote ile unayofanya ulinganishi ambayo watu hawawekwi kizuizini kwa uhalifu au uvunjaji wa Sheria kwa sababu wana Katiba mpya na iliyo bora.
..mambo mengi mabaya yaliyofanywa ktk utawala wake yaliwezeshwa na ubovu wa katiba yetu.
Kama yepi? Mbona unazusha mkuu?
..kitu ambacho kinamheshimisha Mwalimu Nyerere ni kutokuwa na tamaa ya mali na kutojihusisha na ufisadi.
πŸ˜‚ Hayo ni maoni yako. Sasa haheshimiki?πŸ˜‚
..Katiba Mpya na Bora haiepukiki.
Haya.
Basi usiwe unakimbia maswali.

Nikuulize, tena, ni kipengele kipi hicho ambacho wewe binafsi ungependa kuona kimeboreshwa au kubadilishwa kabisa.
Anza hapo...anzisha Uzi wake.
 
πŸ‘‰πŸŒˆπŸ₯±
Nyani ngubu na kibaraka wa mabwenyenye katika kampeni ya wakipendancho 🀣🀣

na mtachakazwa mbaya sana huko nyuma japo mnafedhehesha jamii zenu pia πŸ’
 
Nyani ngubu na kibaraka wa mabwenyenye katika kampeni ya wakipendancho 🀣🀣

na mtachakazwa mbaya sana huko nyuma japo mnafedhehesha jamii zenu pia πŸ’
πŸ₯±πŸ‘‰πŸŒˆ
 
Unapotoa Thead yako humu jitafakar lwanza na unachoandika. Halaf Acha ushabiki wako
 
..Ccm huwa hawaishiwi fedha.

..jiulize wanatoa wapi fedha za kutapanya bila kikomo kama sio kwa kutukamua kwa kodi, tozo, na ufisadi?
CCM ruzuku yao ni kubwa kuliko Chadema ndio maana hawaishiwi fedha .
Sasa Chadema ruzuku yao kiduchu wanalipana posho ,chamsingi wanachama na wapenzi wa chama jitahidini kuchangia chama kuliko kupambana kwenye keyboard na mwenezi Makonda.
 
..unabisha kwamba Mwalimu Nyerere hakuwa dikteta?

..Mwalimu alihamisha wananchi kwa nguvu na kuwapeleka ktk vijiji vya ujamaa.

..Sasa wewe unaona huo sio Udikteta?

..Kiongozi anayeweka watu kizuizini kwa sheria mbovu anaitwa dikteta.

..Wapinzani wa kisiasa wa Mwalimu Nyerere walikuwa wanawekwa kizuizini au kupelekwa uhamishoni.
 
Umewapiga kwenye mshono
 
Hiyo chopa ni ya serekali? Watu wanahoji magari ya serekali kutumika kwenye ziara za huyo muhalifu kwa faida ya chama.
Kwani hela za ruzuku za vyama siyo kodi ya wananchi, wewe vipi sijui umekula maharage ya wapi leo.
 
Kwani hela za ruzuku za vyama siyo kodi ya wananchi, wewe vipi sijui umekula maharage ya wapi leo.

Kwahiyo serekali ndio inapanga matumizi ya ruzuku wakishapokea cdm? Hakuna anayehoji matumizi ya ccm, tunahoji magari ya serekali kutumika na ccm kwa faida ya ccm kama chama.
 
Acha upotoshaji wa kijinga, wapi Ninahoji bodaboda kwenye msafara wa Makonda? Mimi ninahoji magari ya serekali sio vyombo vya moto vya watu binafsi.
 
Kwahiyo serekali ndio inapanga matumizi ya ruzuku wakishapokea cdm? Hakuna anayehoji matumizi ya ccm, tunahoji magari ya serekali kutumika na ccm kwa faida ya ccm kama chama.
CCM ndiyo imeunda serikali ili kutekeleza ilani yake ya uchaguzi. CDM ina serikali ya wapi.
 
Acha upotoshaji wa kijinga, wapi Ninahoji bodaboda kwenye msafara wa Makonda? Mimi ninahoji magari ya serekali sio vyombo vya moto vya watu binafsi.
Wivu tu na uelewa wako mdogo. Yaani huoni hata aibu kuandika uliyoandika kuanika ufinyu wa uelewa wako. Ungeuliza.
 
Wivu tu na uelewa wako mdogo. Yaani huoni hata aibu kuandika uliyoandika kuanika ufinyu wa uelewa wako. Ungeuliza.

Niulize matumizi ya vifaa vya umma kwa faida ya chama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…