Tunaposhangaa wanaotuongoza hawajatufikisha tunapohitaji tuwe makini sana, tusije tukawa tunajipinga wenyewe

Bess

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
547
Reaction score
656
Nitoe mifano kadhaa kabla sijaigusa Tz

Kutokana na takwimu za mamlaka South Africa, zaidi ya asilimia 80 ni blacks, na asilimia 8 tu ni jamii ya wazungu. Kutokana na vyanzo vya serikali, zaidi ya asilimia 72 ya mashamba makubwa ya biashara yanamilikiwa na wazungu na ni asilimia 4 pekee inayomilikiwa na waAfrika.

List ya matajiri 10 wa kwanza katika nchi hii ni wazungu na mmoja tu ni wa jamii ya kiAfrika katika hii 10 best.

Imefahamika pia katika nchi hii pato la familia ya kizungu ni $ 35,739 kwa mwaka tofauti na pato la familia ya kiAfrika $ 7479 kwa mwaka

Pia ukifuatilia vizuri takwimu zao utaona nusu ya wananchi south Afrika(wastani asilimia 50) wanaishi chini ya dola moja kwa siku, 100% ni weusi, ikiwa na maana hii asilimia 50 ni maskini wa kiwango cha chini sana (tafsiri ya WB)

Chumi kubwa Afrika ukiondoa Nigeria, ni jamaa wenye asili ya kiAsia, Morocco, Libya, Misri, Tunisia na North Sudan(S.Sudan wengi wao kwa kweli ni jamii yetu wamepewa uhuru na utajir wa mafuta kesho yake baada ya uhuru vita vikalipuka). North Afrika(nchi 7) inachukua theluthi nzima ya GDP ya Afrika, hii ni kutokana na Afdb

Nakumbuka pia India kaskazini ni matajir wa kutupwa wengi wao weupe, na India kusini ni wahindi weusi na ni maskini wa kutupwa

Nakumbuka hapa kwa takwimu za 2017 USA, masikini wanaoishi chini ya mstari wa umaskini wako 42Million (wastan wa population ya Tz) na wengi wao ni blacks

Funzo;
Nadhani tunaposhangaa wanaotuongoza hawajatufikisha tunapohitaji tuwe makini sana, tusije tukawa tunajipinga wenyewe; ama hatujui jamaa wanaotuongoza ni cream ya sisi tulivyo? (Wana jina la wasomi)....

Ni aheri wanaoitwa wanafanya maamuzi magumu watuongoze kwenda mbele kuliko kuwaamini wengine tunaofanana nao kufikiri. Nasikia kwamba yapo majina ya wataalamu wa kujenga hoja(sio watendaji) wanasifiwa watuongoze. This is my Africa
 
Hoja yako, tuongozwe na whites?
Hoja tuwafahamu wachache wanaoweza kutuongoza, vigezo vya kuwajua viwe utendaji sio uhodari kwenye porojo.

Angalia walio mdomoni mwa vijana ni wataalamu wa kujenga hoja na sio utofauti wa kimatendo. Mfano mtu anajua kuelezea vifungu vy sheria anaitwa kwamba ni mkomboz wa watu
 
Mfumo ni mimi na wewe!tufanye ya kwetu kwa pamoja,lakini kumpa mtu mmoja anaefikiri ana akili kuliko wote ili atuongoze ni hatari sana kwa ustawi wetu!!!Kifupi huyu wa chato anazingua sana!!!
Naweza kusema ndugu yetu wa Chato ana maamuzi ya kutufanya tupige hatua, hofu yangu ni yule mwingine anayeaminiwa anajua vifungu vya sheria....na sio utendaji. Kwamba ni mjenzi wa hoja akipewa uwanja wa kuongea.

Africa haihitaji bingwa wa porojo za mdomoni bali mtendaji
 
Ni hoja Fikisrishi Sana hii, kwamba inaonyesha ngozi nyeusi hatuko makini kwenye muono wa mbali, fursa tunaziogopa,ama Sisi sio wabunifu ama ni wabunifu ila porojo ni nyingi, au tuna kila sifa zoote hizo na zaidi Ila starehe zinatuponza, au tufanye kwamba starehe nazo hatuna Ila ni watu tusiojua kuishi Kwa kutumia Hisabati nini??

Nauliza tu, Kwa sababu, nchi zetu hizi za Kiafrica zinaongozwa na ngozi nyeusi lakini wale walio na Utajiri makubwa sio weusi ni Eidha warabu, wahindi, ama wazungu,

Halafu wanaoongoza kulalamikia utawala kuwa haujawaletea chochote ni Sisi weusi, swali!

Kwa nini jamii ya ngozi nyeupe ambayo tunaishi Nayo, bado huchomoza tu hata kwenye Uongozi ambao ngozi nyeusi huulalamikia kuwa hauna tija! Ni wa kifisadi n.k?

Kuna mahali ngozi nyeusi inabidi kuzomewa aisee,sio kwamba hawajui kuongoza, sio kwamba si wasomi Ila kuna mahali....
 
Huyo mtaalamu wa hoja hajapata fursa ya kufanya kitu kwahiyo bado tusihukumu,kiukweli kwenye utandaji wa Magufuli hamna shaka vitu anavyofanya vinaonekana ingawa mambo mengine anachemka kama kuminya demokrasia
Naweza kusema ndugu yetu wa Chato ana maamuzi ya kutufanya tupige hatua, hofu yangu ni yule mwingine anayeaminiwa anajua vifungu vya sheria....na sio utendaji. Kwamba ni mjenzi wa hoja akipewa uwanja wa kuongea.

Africa haihitaji bingwa wa porojo za mdomoni bali mtendaji
 
Naweza kusema ndugu yetu wa Chato ana maamuzi ya kutufanya tupige hatua, hofu yangu ni yule mwingine anayeaminiwa anajua vifungu vya sheria....na sio utendaji. Kwamba ni mjenzi wa hoja akipewa uwanja wa kuongea.

Africa haihitaji bingwa wa porojo za mdomoni bali mtendaji
je tuliwahi kumpa nafasi?kwann tunawabeza wapinzani kila mara hata nafasi hatuwapi??mbona chama tawala ni mafisadi na majizi lakini tunayahamisha wizara tu??
 
Huyo mtaalamu wa hoja hajapata fursa ya kufanya kitu kwahiyo bado tusihukumu,kiukweli kwenye utandaji wa Magufuli hamna shaka vitu anavyofanya vinaonekana ingawa mambo mengine anachemka kama kuminya demokrasia
Uko sahihi kwamba ni mzuri kiutendaji,

angalizo ni kwamba tuache kusifia watu wengine kiushabiki na kuacha sifa ya utendaji kivitendo
 
Naweza kusema ndugu yetu wa Chato ana maamuzi ya kutufanya tupige hatua, hofu yangu ni yule mwingine anayeaminiwa anajua vifungu vya sheria....na sio utendaji. Kwamba ni mjenzi wa hoja akipewa uwanja wa kuongea.

Africa haihitaji bingwa wa porojo za mdomoni bali mtendaji
Nyumbu hawatakuelewa
 
Swali, umewahi kufika South Africa?

Unawajua vizuri hao weusi unaowatetea na akili zao zilivyo?
mzee kwani Kila nchi tunazoziongelea duniani tumewah kufika?

Ok, siku hiz kupata taarifa hakuzuiwi na mipaka
 
Ni hoja Fikisrishi Sana hii, kwamba inaonyesha ngozi nyeusi hatuko makini kwenye muono wa mbali, fursa tunaziogopa,ama Sisi sio wabunifu ama ni wabunifu ila porojo ni nyingi, au tuna kila sifa zoote hizo na zaidi Ila starehe zinatuponza, au tufanye kwamba starehe nazo hatuna Ila ni watu tusiojua kuishi Kwa kutumia Hisabati nini??

Nauliza tu, Kwa sababu, nchi zetu hizi za Kiafrica zinaongozwa na ngozi nyeusi lakini wale walio na Utajiri makubwa sio weusi ni Eidha warabu, wahindi, ama wazungu,

Halafu wanaoongoza kulalamikia utawala kuwa haujawaletea chochote ni Sisi weusi, swali!

Kwa nini jamii ya ngozi nyeupe ambayo tunaishi Nayo, bado huchomoza tu hata kwenye Uongozi ambao ngozi nyeupe huulalamikia kuwa haufai??

Kuna mahali ngozi nyeusi inabidi kuzomewa aisee,sio kwamba hawajui kuongoza, sio kwamba si wasomi Ila kuna mahali....
Unataka kusemaje kwani? Umaskini wa mtu mweusi tusimpe lawama mtu mweupe unasababishwa na sisi wenyewe amabao wengi wetu ni wavivu hatujitambui hatuna uaminifu na tunapenda starehe sana
 
Ni hoja Fikisrishi Sana hii, kwamba inaonyesha ngozi nyeusi hatuko makini kwenye muono wa mbali, fursa tunaziogopa,ama Sisi sio wabunifu ama ni wabunifu ila porojo ni nyingi, au tuna kila sifa zoote hizo na zaidi Ila starehe zinatuponza, au tufanye kwamba starehe nazo hatuna Ila ni watu tusiojua kuishi Kwa kutumia Hisabati nini??

Nauliza tu, Kwa sababu, nchi zetu hizi za Kiafrica zinaongozwa na ngozi nyeusi lakini wale walio na Utajiri makubwa sio weusi ni Eidha warabu, wahindi, ama wazungu,

Halafu wanaoongoza kulalamikia utawala kuwa haujawaletea chochote ni Sisi weusi, swali!

Kwa nini jamii ya ngozi nyeupe ambayo tunaishi Nayo, bado huchomoza tu hata kwenye Uongozi ambao ngozi nyeupe huulalamikia kuwa haufai??

Kuna mahali ngozi nyeusi inabidi kuzomewa aisee,sio kwamba hawajui kuongoza, sio kwamba si wasomi Ila kuna mahali....
wivu weyewe kwa wenyewe...muhindi anaenda kuchukua mkopo bank na proposal tu...nenda mweusi watakuambia lete hati ya nyumba..
 
Ndio maana nimeamua kutakasa familia yangu kwa kuowa Muhindi na kupiga ban watoto wangu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na 100% black being!
 
Shida ni kutangulia kwao weupe na kupewa fikra pevu za kuona mbele kuliko mweusi,tukubali tusikubali kwa mawazo ya kipumbavu ya kupinga hata mazur yanayoonekana kufaulu kwa JPM wacha tuwe manamba tu
 
Back
Top Bottom