Bess
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 547
- 656
Nitoe mifano kadhaa kabla sijaigusa Tz
Kutokana na takwimu za mamlaka South Africa, zaidi ya asilimia 80 ni blacks, na asilimia 8 tu ni jamii ya wazungu. Kutokana na vyanzo vya serikali, zaidi ya asilimia 72 ya mashamba makubwa ya biashara yanamilikiwa na wazungu na ni asilimia 4 pekee inayomilikiwa na waAfrika.
List ya matajiri 10 wa kwanza katika nchi hii ni wazungu na mmoja tu ni wa jamii ya kiAfrika katika hii 10 best.
Imefahamika pia katika nchi hii pato la familia ya kizungu ni $ 35,739 kwa mwaka tofauti na pato la familia ya kiAfrika $ 7479 kwa mwaka
Pia ukifuatilia vizuri takwimu zao utaona nusu ya wananchi south Afrika(wastani asilimia 50) wanaishi chini ya dola moja kwa siku, 100% ni weusi, ikiwa na maana hii asilimia 50 ni maskini wa kiwango cha chini sana (tafsiri ya WB)
Chumi kubwa Afrika ukiondoa Nigeria, ni jamaa wenye asili ya kiAsia, Morocco, Libya, Misri, Tunisia na North Sudan(S.Sudan wengi wao kwa kweli ni jamii yetu wamepewa uhuru na utajir wa mafuta kesho yake baada ya uhuru vita vikalipuka). North Afrika(nchi 7) inachukua theluthi nzima ya GDP ya Afrika, hii ni kutokana na Afdb
Nakumbuka pia India kaskazini ni matajir wa kutupwa wengi wao weupe, na India kusini ni wahindi weusi na ni maskini wa kutupwa
Nakumbuka hapa kwa takwimu za 2017 USA, masikini wanaoishi chini ya mstari wa umaskini wako 42Million (wastan wa population ya Tz) na wengi wao ni blacks
Funzo;
Nadhani tunaposhangaa wanaotuongoza hawajatufikisha tunapohitaji tuwe makini sana, tusije tukawa tunajipinga wenyewe; ama hatujui jamaa wanaotuongoza ni cream ya sisi tulivyo? (Wana jina la wasomi)....
Ni aheri wanaoitwa wanafanya maamuzi magumu watuongoze kwenda mbele kuliko kuwaamini wengine tunaofanana nao kufikiri. Nasikia kwamba yapo majina ya wataalamu wa kujenga hoja(sio watendaji) wanasifiwa watuongoze. This is my Africa