Tunaposhangaa wanaotuongoza hawajatufikisha tunapohitaji tuwe makini sana, tusije tukawa tunajipinga wenyewe

Unataka kusemaje kwani? Umaskini wa mtu mweusi tusimpe lawama mtu mweupe unasababishwa na sisi wenyewe amabao wengi wetu ni wavivu hatujitambui hatuna uaminifu na tunapenda starehe sana
Nilitaka kuamini hayo mkuu, unasemaje wewe mkuu
 
-Tatizo ni mtazamo wa mtu mmoja mmoja juu ya kitu kinachoitwa maendeleo.

Kunawanaotafsiri maendeleo ni kujenga madaraja
Wengine ni kuingia kwenye Uchumi wa Kati.
Wengine ni reli.
Hilo ni kundi la maendeleo vitu.

Wapo wanaotafsiri maendeleo ni yafuatayo
-Haki
-Elimu
-Afya
-Uhuru
-Utu
Hilo ni kundi la maendeleo mtu/watu

Sasa jiulize wewe upo kundi gani
 
Swali, umewahi kufika South Africa?

Unawajua vizuri hao weusi unaowatetea na akili zao zilivyo?
Wavivu, wabwabwaji, wahalifu, walevi, mateja, wabakaji, wauaji na huwezi kuwaelewa?!
Wanataka quick cash! Flashy lifestyle...

Very very sad! Opportunities zipo nyingi kwa wazawa weusi, ila hawabebeki..

Everyday is Saturday........................... 😎
 
Safi sana kiongozi. Wasouth hawabebeki hata kwa mbeleko ya aina gani.
 
Good observation, angalia billionaires wengi Tz ama millionaires wana asili ipi,

Nina mifano ya Asians walioingia Tz wenye kipato cha kawaida, kwa wepesi wao kuona fursa sasa sio wa level ile ile tena

Ukienda hapo kariakoo mtu ana duka kubwa badala atafute suppliers mwenyewe anasubiri mhindi ama muarabu awe connector wake viwandani.


Ukiwatafuta vijana wetu wasomi wenye kujua kanuni za uwekezaji unawakuta kwenye mitandao ya kijamii wakibishana na kutukana

Afadhali awamu hii ajira wametangulizwa wazawa kwenye taasisi za kimataifa wengi wamefaidika, otherwise ku-compete na international applicants yamkini tusingaliweza
 
Ndio maana nimeamua kutakasa familia yangu kwa kuowa Muhindi na kupiga ban watoto wangu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na 100% black being!
Hahahaaa
 
Mfumo ni mimi na wewe!tufanye ya kwetu kwa pamoja,lakini kumpa mtu mmoja anaefikiri ana akili kuliko wote ili atuongoze ni hatari sana kwa ustawi wetu!!!Kifupi huyu wa chato anazingua sana!!!
Hiyo nafasi ya kuingizwa/kuingia kwenye mfumo ipo?
 
Upo sahihi.
 
Ndio maana nimeamua kutakasa familia yangu kwa kuowa Muhindi na kupiga ban watoto wangu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na 100% black being!
Tatizo la mtu mweusi ndio linaanzia hapa!
Botha kaburu mbaguzi aliliona hili akawaua weusi engi kwa kuwatumia wanawake weupe majasusi.
 
Huyo mtaalamu wa hoja hajapata fursa ya kufanya kitu kwahiyo bado tusihukumu,kiukweli kwenye utandaji wa Magufuli hamna shaka vitu anavyofanya vinaonekana ingawa mambo mengine anachemka kama kuminya demokrasia
Aliwahi kuwa waziri wa mambo ya nje na mwenzie alikuwa waziri wa ujenzi. Wakati mmoja alipendwa na kusifiwa kwa ujenzi wa barabara na madaraja huyu mwingine twambie alisifiwa na kupendwa kwa kipi
 
Watu Weusi ni jamii DUNI yenye Ujinga,Ushamba na Uvivu kuliko jamii zingine zote duniani.

Just imagine hata hapa Tanzania katika matajiri 10 kama yupo Mtu mweusi labda ni mmoja tu au hayupo kabisa.

Sehemu kubwa ya uchumi umeshikwa na Asians

Engineering companies ni za nje hasa kutoka China.

Viwanda vya vifaa vya ujenzi vingi ni vya Wahindi

Viwanda vya Nguo vingi vya Wahindi

Viwanda vya vyakula (food processing) vya Wahindi

Viwanda vya plastic ukiacha Cello, vingi vya Wahindi

Wakulima wakubwa wa kisasa ukiondoa viongozi wakubwa wa serikali basi ni Makalasinga, Wazungu na wahindi

Katika Miradi mikubwa ukiwakuta wabongo basi ni VIBARUA.

Hata Serikali yenyewe haiwaamini watu wake na ndio maana pamoja na kutoka Wahandisi wengi kwa miaka yote hapa nchini bado tu serikali inawatrust na kuwapa tenda watu wa nje, in all areas kwenye barabara, Madaraja na Majengo makubwa.

Nikikuambia katika wanafunzi products wa SUA unitajie mbegu yoyote maarufu waliyoitengeneza na inayotumika hapa Tanzania huwezi, nitajie Vifaa vya kilimo vinavyotengenezwa hapa nchini HAKUNA. Tunaorder Pembejeo, Mbegu na Mbolea kutoka Nje.

Nikiwaambia wabongo kuwa sisi ni Watumwa wa ngozi nyeupe mpaka leo wanabisha

Tazama, kama Wahindi wamewekeza hapa kwetu, halafu wamewaajiri wabongo kisha watu wanafanya kazi kwa shift usiku na mchana kisha kwa mwezi Mtu analipwa elfu 60 na matusi ya Wahindi juu, tena katika ardhi yao...what's that.

Ngozi nyeusi imefanya na Ubongo kuwa Mweusi.
 
Wapo wanaotafsiri maendeleo ni uwepo wa 100% wa haya;
-Haki
-Uhuru
-Utu
Yakiitwa kwamba haya ni maendeleo ya watu na sio vitu

swali ni moja., mbona kuna Asians wanakuja maskini Tz wanakuwa millionaires na billionaires katika mazingira wazawa wanayolalamikia?

Nikizuiwa kuandamana ni kufungiwa kitambaa usoni nisione fursa na kuzitumia?

Nadhan usomi sio utaalam wa kupinga na ustadi wa kujua vifungu vya sheria, bali ni wepesi wa kuona fursa na kuzitumia ama kuelimisha wengine wazitumie
 
Mwanaume unalilia nini,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…