paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Mkuu, ukweli mchunguwivu weyewe kwa wenyewe...muhindi anaenda kuchukua mkopo bank na proposal tu...nenda mweusi watakuambia lete hati ya nyumba..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, ukweli mchunguwivu weyewe kwa wenyewe...muhindi anaenda kuchukua mkopo bank na proposal tu...nenda mweusi watakuambia lete hati ya nyumba..
Nilitaka kuamini hayo mkuu, unasemaje wewe mkuuUnataka kusemaje kwani? Umaskini wa mtu mweusi tusimpe lawama mtu mweupe unasababishwa na sisi wenyewe amabao wengi wetu ni wavivu hatujitambui hatuna uaminifu na tunapenda starehe sana
Tuache kusingizia mabeberu tufanye kazi na kuielewa dunia ya sasa ni kutumia akili hakuna anelazimishwa kituNilitaka kuamini hayo mkuu, unasemaje wewe mkuu
Wavivu, wabwabwaji, wahalifu, walevi, mateja, wabakaji, wauaji na huwezi kuwaelewa?!Swali, umewahi kufika South Africa?
Unawajua vizuri hao weusi unaowatetea na akili zao zilivyo?
Safi sana kiongozi. Wasouth hawabebeki hata kwa mbeleko ya aina gani.Wavivu, wabwabwaji, wahalifu, walevi, mateja, wabakaji, wauaji na huwezi kuwaelewa?!
Wanataka quick cash! Flashy lifestyle...
Very very sad! Opportunities zipo nyingi kwa wazawa weusi, ila hawabebeki..
Everyday is Saturday........................... 😎
Good observation, angalia billionaires wengi Tz ama millionaires wana asili ipi,Ni hoja Fikisrishi Sana hii, kwamba inaonyesha ngozi nyeusi hatuko makini kwenye muono wa mbali, fursa tunaziogopa,ama Sisi sio wabunifu ama ni wabunifu ila porojo ni nyingi, au tuna kila sifa zoote hizo na zaidi Ila starehe zinatuponza, au tufanye kwamba starehe nazo hatuna Ila ni watu tusiojua kuishi Kwa kutumia Hisabati nini??
Nauliza tu, Kwa sababu, nchi zetu hizi za Kiafrica zinaongozwa na ngozi nyeusi lakini wale walio na Utajiri makubwa sio weusi ni Eidha warabu, wahindi, ama wazungu,
Halafu wanaoongoza kulalamikia utawala kuwa haujawaletea chochote ni Sisi weusi, swali!
Kwa nini jamii ya ngozi nyeupe ambayo tunaishi Nayo, bado huchomoza tu hata kwenye Uongozi ambao ngozi nyeusi huulalamikia kuwa hauna tija! Ni wa kifisadi n.k?
Kuna mahali ngozi nyeusi inabidi kuzomewa aisee,sio kwamba hawajui kuongoza, sio kwamba si wasomi Ila kuna mahali....
Wavivu, wabwabwaji, wahalifu, walevi, mateja, wabakaji, wauaji na huwezi kuwaelewa?!
Wanataka quick cash! Flashy lifestyle...
Very very sad! Opportunities zipo nyingi kwa wazawa weusi, ila hawabebeki..
Everyday is Saturday........................... 😎
HahahaaaNdio maana nimeamua kutakasa familia yangu kwa kuowa Muhindi na kupiga ban watoto wangu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na 100% black being!
Hiyo nafasi ya kuingizwa/kuingia kwenye mfumo ipo?Mfumo ni mimi na wewe!tufanye ya kwetu kwa pamoja,lakini kumpa mtu mmoja anaefikiri ana akili kuliko wote ili atuongoze ni hatari sana kwa ustawi wetu!!!Kifupi huyu wa chato anazingua sana!!!
Upo sahihi.Naweza kusema ndugu yetu wa Chato ana maamuzi ya kutufanya tupige hatua, hofu yangu ni yule mwingine anayeaminiwa anajua vifungu vya sheria....na sio utendaji. Kwamba ni mjenzi wa hoja akipewa uwanja wa kuongea.
Africa haihitaji bingwa wa porojo za mdomoni bali mtendaji
Hoja yake tuongozwe na JPM mileleHoja yako, tuongozwe na whites?
Tatizo la mtu mweusi ndio linaanzia hapa!Ndio maana nimeamua kutakasa familia yangu kwa kuowa Muhindi na kupiga ban watoto wangu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na 100% black being!
Aliwahi kuwa waziri wa mambo ya nje na mwenzie alikuwa waziri wa ujenzi. Wakati mmoja alipendwa na kusifiwa kwa ujenzi wa barabara na madaraja huyu mwingine twambie alisifiwa na kupendwa kwa kipiHuyo mtaalamu wa hoja hajapata fursa ya kufanya kitu kwahiyo bado tusihukumu,kiukweli kwenye utandaji wa Magufuli hamna shaka vitu anavyofanya vinaonekana ingawa mambo mengine anachemka kama kuminya demokrasia
Watu Weusi ni jamii DUNI yenye Ujinga,Ushamba na Uvivu kuliko jamii zingine zote duniani.Ni hoja Fikisrishi Sana hii, kwamba inaonyesha ngozi nyeusi hatuko makini kwenye muono wa mbali, fursa tunaziogopa,ama Sisi sio wabunifu ama ni wabunifu ila porojo ni nyingi, au tuna kila sifa zoote hizo na zaidi Ila starehe zinatuponza, au tufanye kwamba starehe nazo hatuna Ila ni watu tusiojua kuishi Kwa kutumia Hisabati nini??
Nauliza tu, Kwa sababu, nchi zetu hizi za Kiafrica zinaongozwa na ngozi nyeusi lakini wale walio na Utajiri makubwa sio weusi ni Eidha warabu, wahindi, ama wazungu,
Halafu wanaoongoza kulalamikia utawala kuwa haujawaletea chochote ni Sisi weusi, swali!
Kwa nini jamii ya ngozi nyeupe ambayo tunaishi Nayo, bado huchomoza tu hata kwenye Uongozi ambao ngozi nyeusi huulalamikia kuwa hauna tija! Ni wa kifisadi n.k?
Kuna mahali ngozi nyeusi inabidi kuzomewa aisee,sio kwamba hawajui kuongoza, sio kwamba si wasomi Ila kuna mahali....
Hawataki kufanya kazi,wanapenda starehe,kunywa na migomo.Swali, umewahi kufika South Africa?
Unawajua vizuri hao weusi unaowatetea na akili zao zilivyo?
Atii.....hahahaha,Ndio maana nimeamua kutakasa familia yangu kwa kuowa Muhindi na kupiga ban watoto wangu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na 100% black being!
Black skin resembles black brain sio?Ndio maana nimeamua kutakasa familia yangu kwa kuowa Muhindi na kupiga ban watoto wangu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na 100% black being!
Wapo wanaotafsiri maendeleo ni uwepo wa 100% wa haya;-Tatizo ni mtazamo wa mtu mmoja mmoja juu ya kitu kinachoitwa maendeleo.
Kunawanaotafsiri maendeleo ni kujenga madaraja
Wengine ni kuingia kwenye Uchumi wa Kati.
Wengine ni reli.
Hilo ni kundi la maendeleo vitu.
Wapo wanaotafsiri maendeleo ni yafuatayo
-Haki
-Elimu
-Afya
-Uhuru
-Utu
Hilo ni kundi la maendeleo mtu/watu
Sasa jiulize wewe upo kundi gani
Mwanaume unalilia nini,Nitoe mifano kadhaa kabla sijaigusa Tz
Kutokana na takwimu za mamlaka South Africa, zaidi ya asilimia 80 ni blacks, na asilimia 8 tu ni jamii ya wazungu.
Kutokana na vyanzo vya serikali, zaidi ya asilimia 72 ya mashamba makubwa ya biashara yanamilikiwa na wazungu na ni asilimia 4 pekee inayomilikiwa na waAfrika.
List ya matajiri 10 wa kwanza katika nchi hii ni wazungu na mmoja tu ni wa jamii ya kiAfrika katika hii 10 best.
Imefahamika pia katika nchi hii pato la familia ya kizungu ni $ 35,739 kwa mwaka tofauti na pato la familia ya kiAfrika $ 7479 kwa mwaka
Pia ukifuatilia vizuri takwimu zao utaona nusu ya wananchi south Afrika(wastani asilimia 50) wanaishi chini ya dola moja kwa siku, 100% ni weusi, ikiwa na maana hii asilimia 50 ni maskini wa kiwango cha chini sana (tafsiri ya WB)
Chumi kubwa Afrika ukiondoa Nigeria, ni jamaa wenye asili ya kiAsia, Morocco, Libya, Misri, Tunisia na North Sudan(S.Sudan wengi wao kwa kweli ni jamii yetu wamepewa uhuru na utajir wa mafuta kesho yake baada ya uhuru vita vikalipuka). North Afrika(nchi 7) inachukua theluthi nzima ya GDP ya Afrika, hii ni kutokana na Afdb
Nakumbuka pia India kaskazini ni matajir wa kutupwa wengi wao weupe, na India kusini ni wahindi weusi na ni maskini wa kutupwa
Nakumbuka hapa kwa takwimu za 2017 USA, masikini wanaoishi chini ya mstari wa umaskini wako 42Million (wastan wa population ya Tz) na wengi wao ni blacks
Funzo;
Nadhani tunaposhangaa wanaotuongoza hawajatufikisha tunapohitaji tuwe makini sana, tusije tukawa tunajipinga wenyewe; ama hatujui jamaa wanaotuongoza ni cream ya sisi tulivyo? (Wana jina la wasomi)....
Ni aheri wanaoitwa wanafanya maamuzi magumu watuongoze kwenda mbele kuliko kuwaamini wengine tunaofanana nao kufikiri. Nasikia kwamba yapo majina ya wataalamu wa kujenga hoja(sio watendaji) wanasifiwa watuongoze. This is my Africa