Tunaposhangaa wanaotuongoza hawajatufikisha tunapohitaji tuwe makini sana, tusije tukawa tunajipinga wenyewe

Baada ya Reginald mengi kufariki Tanzania cdhani kama kuna tajir mweusi kwenye top 10.
 
Mbona hujaongea jipya, wenzako wameshaongea sana.
Okay, ikiwa ndio level ya tafsir yako imeishia hapo sawa.

Japo jitahidi usiwe mkimbiz wa fikra zako mwenyewe
 
Unataka kusemaje kwani? Umaskini wa mtu mweusi tusimpe lawama mtu mweupe unasababishwa na sisi wenyewe amabao wengi wetu ni wavivu hatujitambui hatuna uaminifu na tunapenda starehe sana
Mkuu, uko sawia kabisa mkuu, ifike hatua, Kwanza tuone ni dhambi kubwa kuwa watu wa kulaumu tu bila kutafuta njia ya upenyo katika vyanzo hivyo vya lawama

Wazungu tumewalaumu vya kutosha ingawa Bado ukweli kwamba wameendelea kusinyaisha Uchumi wetu Kwa kutuwekea vikwazo na votisho kuhusiana na vyanzo vipya na vikubwa vya nchi zetu

Wakati huohuo unajiuliza, mbali na vikwazo tunavyotishiwa na ngozi nyeupe Bado wale wenzetu ngozi nyeupe ambao tunakaa nao kama raia wa nchi zetu hizi wanaendelea kuwini kwenye maswala ya kuwa na Uchumi mzuri

Tunabakia Sisi ngozi nyeusi!! Mbona hatutoboi, mbona matajiri ngozi nyeusi ni wa kutafuta saaana hata katika nchi za wenzetu huko, weusi tuko mkiani tu Kwa kila jambo!! Je kuna nini?

Mada hii ukiiangalia Kwa kina unaweza dhani kwamba labda unataka kutupeleka kwenye ubaguzi wa rangi, lah hasha!! Tunataka tuwekane sawa Sisi ngozi nyeusi,

Tuna nini? Au tunarogana Sana badala ya kuachia uwezo ambao Mungu ametupa tuutumie tunatumia nguvu za Kishetani mazingaombwe tu ambayo mwisho wa siku sio uhalisia wa mambo?

Je, Ni wazembe, wapiga domo Tu, hatupigi Hesabu kuishi maisha yetu, tunapenda starehe, tuko nyuma ya muda kila siku kwenye kazi zetu au, hatuna elimu ya Uchumi,

Tukisema mifumo labda inatutupa, je hao ngozi nyeupe mbona kwao wako kawaida tu na mambo Yao ni 🔥 kwenye mfumo huu huu tulionao?

Je, tunaviongozi wabovu labda ndio sababu, lakini mbona hao wenzetu wanazidi kuchanja mbuga?

Hapana aisee
 
I like your arguments
 
Viongozi wabovu ni zao la Jamii mbovu
Waafrika hatuna uwezo wa kujiongoza,
Watawala wa kiafrica ni fahari kwao kuongoza masikini kwa kufanya wawe masikini ili watawaliwe.Kama mtawala anajisifia kuwafanya matajiri wawe masikini ili awatawale unategemea nn Sasa.
 

Attachments

  • Screenshot_20200518_071225.jpg
    78.1 KB · Views: 2
Shida ni kutangulia kwao weupe na kupewa fikra pevu za kuona mbele kuliko mweusi,tukubali tusikubali kwa mawazo ya kipumbavu ya kupinga hata mazur yanayoonekana kufaulu kwa JPM wacha tuwe manamba tu
Mawazo ya kijima kwenye ulimwengu wa kisasa?
 
Bado atuwezi jiongoza,Kama Sheria tu tulizojiwekea hazifatwi kipi tunaweza.
Unashawaona ona hao weupe Wana Kinga ya kutoshtakiwa.Hivi unampa vipi mtu Kinga ya kutoshtakiwa then utegemee maendeleo toka kwake.
 
Nadhani kizazi kinachokuja kitakuwa tofauti, tuamini katika positive effects za utandawaz
 
Wasouth Africa wanajionaga wao ni zaidi ya waafrika. Wanadharau sana waafrika wenzao na wanajiona wao si part ya africa so watoe katika hesabu za uafrika.
Kila siku ni matukio makubwa ya uuaji na mengi hayaripotiwi na vyombo vya habari. Jamaa wana fujo ya kupitiliza nadhan pia Aparthed iliharibu vichwa
 
Mfumo ni mimi na wewe!tufanye ya kwetu kwa pamoja,lakini kumpa mtu mmoja anaefikiri ana akili kuliko wote ili atuongoze ni hatari sana kwa ustawi wetu!!!Kifupi huyu wa chato anazingua sana!!!
hoja ni kuwa kwa mtoa uzi tusije kujikaanga wenywe na mafuta yetu wenywe...
 
Kila siku ni matukio makubwa ya uuaji na mengi hayaripotiwi na vyombo vya habari. Jamaa wana fujo ya kupitiliza nadhan pia Aparthed iliharibu vichwa
Wale jamaa ni kizazi kilichopitia manyanyaso ya kimfumo na hawajarecover ile hali ya kujiona wao ni wahanga wa uonevu ndio maana kutwa kucha wao wanaona kubishana na kuleta upinzani ndio mbinu ya kupata haki.
 
Wale jamaa ni kizazi kilichopitia manyanyaso ya kimfumo na hawajarecover ile hali ya kujiona wao ni wahanga wa uonevu ndio maana kutwa kucha wao wanaona kubishana na kuleta upinzani ndio mbinu ya kupata haki.
Kabisa, mazingira yanaeza alter DNA; sasa kimezaliwa kizazi kinachoamini fujo ni njia pekee ya kudai haki nyimivu
 
Kabisa, mazingira yanaeza alter DNA; sasa kimezaliwa kizazi kinachoamini fujo ni njia pekee ya kudai haki nyimivu
Yeah true.... Kama sisi kizazi chetu kimeadopt ulalamishi kuliko kujadili na kuexecute suluhu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…