Msela Baharia
JF-Expert Member
- Jun 12, 2016
- 766
- 1,104
Baada ya Reginald mengi kufariki Tanzania cdhani kama kuna tajir mweusi kwenye top 10.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ni jiwe la kurusha gizani lazima kama kuna mtu atalia tu
Mkuu, uko sawia kabisa mkuu, ifike hatua, Kwanza tuone ni dhambi kubwa kuwa watu wa kulaumu tu bila kutafuta njia ya upenyo katika vyanzo hivyo vya lawamaUnataka kusemaje kwani? Umaskini wa mtu mweusi tusimpe lawama mtu mweupe unasababishwa na sisi wenyewe amabao wengi wetu ni wavivu hatujitambui hatuna uaminifu na tunapenda starehe sana
I like your argumentsMkuu, uko sawia kabisa mkuu, ifike hatua, Kwanza tuone ni dhambi kubwa kuwa watu wa kulaumu tu bila kutafuta njia ya upenyo katika vyanzo hivyo vya lawama
Wazungu tumewalaumu vya kutosha ingawa Bado ukweli kwamba wameendelea kusinyaisha Uchumi wetu Kwa kutuwekea vikwazo na votisho kuhusiana na vyanzo vipya na vikubwa vya nchi zetu
Wakati huohuo unajiuliza, mbali na vikwazo tunavyotishiwa na ngozi nyeupe Bado wale wenzetu ngozi nyeupe ambao tunakaa nao kama raia wa nchi zetu hizi wanaendelea kuwini kwenye maswala ya kuwa na Uchumi mzuri
Tunabakia Sisi ngozi nyeusi!! Mbona hatutoboi, mbona matajiri ngozi nyeusi ni wa kutafuta saaana hata katika nchi za wenzetu huko, weusi tuko mkiani tu Kwa kila jambo!! Je kuna nini?
Mada hii ukiiangalia Kwa kina unaweza dhani kwamba labda unataka kutupeleka kwenye ubaguzi wa rangi, lah hasha!! Tunataka tuwekane sawa Sisi ngozi nyeusi,
Tuna nini? Au tunarogana Sana badala ya kuachia uwezo ambao Mungu ametupa tuutumie tunatumia nguvu za Kishetani mazingaombwe tu ambayo mwisho wa siku sio uhalisia wa mambo?
Je, Ni wazembe, wapiga domo Tu, hatupigi Hesabu kuishi maisha yetu, tunapenda starehe, tuko nyuma ya muda kila siku kwenye kazi zetu au, hatuna elimu ya Uchumi,
Tukisema mifumo labda inatutupa, je hao ngozi nyeupe mbona kwao wako kawaida tu na mambo Yao ni 🔥 kwenye mfumo huu huu tulionao?
Je, tunaviongozi wabovu labda ndio sababu, lakini mbona hao wenzetu wanazidi kuchanja mbuga?
Hapana aisee
Waafrika hatuna uwezo wa kujiongoza,Nitoe mifano kadhaa kabla sijaigusa Tz
Kutokana na takwimu za mamlaka South Africa, zaidi ya asilimia 80 ni blacks, na asilimia 8 tu ni jamii ya wazungu. Kutokana na vyanzo vya serikali, zaidi ya asilimia 72 ya mashamba makubwa ya biashara yanamilikiwa na wazungu na ni asilimia 4 pekee inayomilikiwa na waAfrika.
List ya matajiri 10 wa kwanza katika nchi hii ni wazungu na mmoja tu ni wa jamii ya kiAfrika katika hii 10 best.
Imefahamika pia katika nchi hii pato la familia ya kizungu ni $ 35,739 kwa mwaka tofauti na pato la familia ya kiAfrika $ 7479 kwa mwaka
Pia ukifuatilia vizuri takwimu zao utaona nusu ya wananchi south Afrika(wastani asilimia 50) wanaishi chini ya dola moja kwa siku, 100% ni weusi, ikiwa na maana hii asilimia 50 ni maskini wa kiwango cha chini sana (tafsiri ya WB)
Chumi kubwa Afrika ukiondoa Nigeria, ni jamaa wenye asili ya kiAsia, Morocco, Libya, Misri, Tunisia na North Sudan(S.Sudan wengi wao kwa kweli ni jamii yetu wamepewa uhuru na utajir wa mafuta kesho yake baada ya uhuru vita vikalipuka). North Afrika(nchi 7) inachukua theluthi nzima ya GDP ya Afrika, hii ni kutokana na Afdb
Nakumbuka pia India kaskazini ni matajir wa kutupwa wengi wao weupe, na India kusini ni wahindi weusi na ni maskini wa kutupwa
Nakumbuka hapa kwa takwimu za 2017 USA, masikini wanaoishi chini ya mstari wa umaskini wako 42Million (wastan wa population ya Tz) na wengi wao ni blacks
Funzo;
Nadhani tunaposhangaa wanaotuongoza hawajatufikisha tunapohitaji tuwe makini sana, tusije tukawa tunajipinga wenyewe; ama hatujui jamaa wanaotuongoza ni cream ya sisi tulivyo? (Wana jina la wasomi)....
Ni aheri wanaoitwa wanafanya maamuzi magumu watuongoze kwenda mbele kuliko kuwaamini wengine tunaofanana nao kufikiri. Nasikia kwamba yapo majina ya wataalamu wa kujenga hoja(sio watendaji) wanasifiwa watuongoze. This is my Africa
Angekuwa mzee wa visasi angewapoteza wote haoNdo maana wazungu walimpenda sana Tata Madiba
Mawazo ya kijima kwenye ulimwengu wa kisasa?Shida ni kutangulia kwao weupe na kupewa fikra pevu za kuona mbele kuliko mweusi,tukubali tusikubali kwa mawazo ya kipumbavu ya kupinga hata mazur yanayoonekana kufaulu kwa JPM wacha tuwe manamba tu
Bado atuwezi jiongoza,Kama Sheria tu tulizojiwekea hazifatwi kipi tunaweza.Ni hoja Fikisrishi Sana hii, kwamba inaonyesha ngozi nyeusi hatuko makini kwenye muono wa mbali, fursa tunaziogopa,ama Sisi sio wabunifu ama ni wabunifu ila porojo ni nyingi, au tuna kila sifa zoote hizo na zaidi Ila starehe zinatuponza, au tufanye kwamba starehe nazo hatuna Ila ni watu tusiojua kuishi Kwa kutumia Hisabati nini??
Nauliza tu, Kwa sababu, nchi zetu hizi za Kiafrica zinaongozwa na ngozi nyeusi lakini wale walio na Utajiri makubwa sio weusi ni Eidha warabu, wahindi, ama wazungu,
Halafu wanaoongoza kulalamikia utawala kuwa haujawaletea chochote ni Sisi weusi, swali!
Kwa nini jamii ya ngozi nyeupe ambayo tunaishi Nayo, bado huchomoza tu hata kwenye Uongozi ambao ngozi nyeusi huulalamikia kuwa hauna tija! Ni wa kifisadi n.k?
Kuna mahali ngozi nyeusi inabidi kuzomewa aisee,sio kwamba hawajui kuongoza, sio kwamba si wasomi Ila kuna mahali....
Nadhani kizazi kinachokuja kitakuwa tofauti, tuamini katika positive effects za utandawazViongozi wabovu ni zao la Jamii mbovu
Waafrika hatuna uwezo wa kujiongoza,
Watawala wa kiafrica ni fahari kwao kuongoza masikini kwa kufanya wawe masikini ili watawaliwe.Kama mtawala anajisifia kuwafanya matajiri wawe masikini ili awatawale unategemea nn Sasa.
Kila siku ni matukio makubwa ya uuaji na mengi hayaripotiwi na vyombo vya habari. Jamaa wana fujo ya kupitiliza nadhan pia Aparthed iliharibu vichwaWasouth Africa wanajionaga wao ni zaidi ya waafrika. Wanadharau sana waafrika wenzao na wanajiona wao si part ya africa so watoe katika hesabu za uafrika.
hoja ni kuwa kwa mtoa uzi tusije kujikaanga wenywe na mafuta yetu wenywe...Mfumo ni mimi na wewe!tufanye ya kwetu kwa pamoja,lakini kumpa mtu mmoja anaefikiri ana akili kuliko wote ili atuongoze ni hatari sana kwa ustawi wetu!!!Kifupi huyu wa chato anazingua sana!!!
Wale jamaa ni kizazi kilichopitia manyanyaso ya kimfumo na hawajarecover ile hali ya kujiona wao ni wahanga wa uonevu ndio maana kutwa kucha wao wanaona kubishana na kuleta upinzani ndio mbinu ya kupata haki.Kila siku ni matukio makubwa ya uuaji na mengi hayaripotiwi na vyombo vya habari. Jamaa wana fujo ya kupitiliza nadhan pia Aparthed iliharibu vichwa
Kabisa, mazingira yanaeza alter DNA; sasa kimezaliwa kizazi kinachoamini fujo ni njia pekee ya kudai haki nyimivuWale jamaa ni kizazi kilichopitia manyanyaso ya kimfumo na hawajarecover ile hali ya kujiona wao ni wahanga wa uonevu ndio maana kutwa kucha wao wanaona kubishana na kuleta upinzani ndio mbinu ya kupata haki.
Yeah true.... Kama sisi kizazi chetu kimeadopt ulalamishi kuliko kujadili na kuexecute suluhu....Kabisa, mazingira yanaeza alter DNA; sasa kimezaliwa kizazi kinachoamini fujo ni njia pekee ya kudai haki nyimivu