Tunaposikia ya Makamba na Zitto kutaka kubinafsisha TANESCO, tukumbuke yaliyofanyika TTCL

Juzi Makamba amesema tanesco wanakusanya tilioni mbili, hizo zote zinaenda Wapi,kama si kulipa madeni na uendashaji wa shirika?
 
Wewe ni Koro kabisa kama jina lako. Mbona haya hatukuyasikia wakati JPM hizi nyimbo ziliimbwa kipindi cha JK wakati ufisadi kwenye Nishati umetamalaki. Leo baada ya mwamba kuondoka, mmerudi tena na swaga zenu za upigaji.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Nyerere alishangaa kwanini tumewapa Sekta binafsi TBL,NBC,NMB na SIGARA alipinga wazi wazi na hata hoja zake ukizichukulia Kwa wepesi ungekataa lakini alisema huwezi kuwapa watu (secta binafsi) vyanzo vikubwa vya mapato serikalini!!..Leo umeona TBL, NBC,NMB,na SIGARA wanavyofanya vyema!!..Je tungekubali tusiwape Sekta binafsi ingekuaje?
 
JPM alichoweza ni kuwapa Marafiki zake cake ya Taifa!!..
 
Zitto naa January ni Kama mtu mmoja, ukiona zitto katoa wazo ujue January ndio kalitoa. Zitto ni Kama mdoli wa january
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… jamaa kaingia juzi tu kashaanza kujitengenezea dili na umeme umekatika mji mzima tayariπŸ˜…
 
Aliwadhibiti wapigaji wa Pwani, akawafungulia mlango sukuma gang wenzake watupige.
 
Hahahahah kwenye % hapo ndipo tutapopigwa!

Jamaa ataambiwa tutailipa serikali gawio la 45% kila mwaka, ila ukikubali ku sign mkataba tuwalipe kwa 15% basi wewe tutakuingizia 5% yako pembeni ila kama hutapenda hii pia ni sawa.

Hivi kwa akili za mmbongo kwa jinsi tunavyopenda maisha ya ufahari nani atakatalia 5% hio kila mwaka? Ukiangalia mzigo ambao unaweza kuwa unaingia kwenye account yako personal ni almost 10B kila mwaka ya bure tu. Anasaini tu manina mkataba wa kuumiza nchi ili yeye ale na familia yake! Akishazeeka anapambana ampenyeze mwanaye nae mwishowe nchi inakuwa ya ki chifu huku wengine tukiendelea kulalamika tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…